Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Russia does not recognize the jurisdiction of the International Criminal Court (ICC) and considers its decisions null and void, Kremlin Spokesman Dmitry Peskov told reporters on Friday, commenting on the body's issuance of an arrest warrant for Russian President Vladimir Putin.
 
ICC issues an arrest warrant for Putin​

The International Criminal Court (ICC) issued an arrest warrant for Putin, accusing him of being responsible for war crimes committed in Ukraine.

The ICC issued the warrant on suspicion of unlawful deportation of children and illegal transfer of people from the territory of Ukraine to the Russian Federation.

Moscow has repeatedly denied accusations that it has committed atrocities during the war in Ukraine.

=========================

Wale mnaosema mahakama ya Icc ni kwa ajili ya wanyonge tu tafuteni hoja nyingine tena.

Huyu muhalifu itabidi ajifiche huko huko Urusi maisha yake yote yaliyobaki ili kukwepa mkono wa sheria.
Hakuna nchi yoyote ile inayoweza kumkamata Putin...hata Marekani wenyewe ambao hawaitambui ICC au siyo signatory wa ICC hawawezi
 
Ijapakuwa mm sio mwanauchumi kwa uelewa wangu Ni kwamba Kama utaenda India unaenda benki unabadilisha hela kuto ka shilingi kwenda lupia ndio utaingia mtaani kununua mzigo nao wakija tz watafanya hivyo hivyo itatakiwa uwe na akaunti ya tz na india ili uweze kutumia tshiling ukiwa Tanzania na ukienda kule unabadilisha hela unatumia lupia mawazo yangu.
Ww umeelewa somo
[emoji298][emoji298]View attachment 2555614

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hii ngoma imeshakuwa ngumu kwa west na America... Vikwazo vimekwama wamehamia kwenye Mahakama ambayo Russia sio mwanachama.. ha ha Da Afande Sele alisema mapema
 
Ila Kamlio nimekapenda ngoja nidownload nifanye mwito wa simu.Alichokifanya kidume RUSSIA ingekuwa kafanya mnyonge ungesikia upinde wanasema "ALL OPTIONS ARE ON THE TABLE"😁😁😁😁😁😁😁
Hahahahahah Russia wanacheza nae kwa taadhari maana ni kama Bomu la mkono lililokatwa pini. Mda wowote kinanuka.
 
ICC issues an arrest warrant for Putin​

The International Criminal Court (ICC) issued an arrest warrant for Putin, accusing him of being responsible for war crimes committed in Ukraine.

The ICC issued the warrant on suspicion of unlawful deportation of children and illegal transfer of people from the territory of Ukraine to the Russian Federation.

Moscow has repeatedly denied accusations that it has committed atrocities during the war in Ukraine.

=========================

Wale mnaosema mahakama ya Icc ni kwa ajili ya wanyonge tu tafuteni hoja nyingine tena.

Huyu muhalifu itabidi ajifiche huko huko Urusi maisha yake yote yaliyobaki ili kukwepa mkono wa sheria.
Kwani Albashir wa Sudan si alikuwa anatembelea mataifa kibao alikamatwa na nani?
 
ICC issues an arrest warrant for Putin​

The International Criminal Court (ICC) issued an arrest warrant for Putin, accusing him of being responsible for war crimes committed in Ukraine.

The ICC issued the warrant on suspicion of unlawful deportation of children and illegal transfer of people from the territory of Ukraine to the Russian Federation.

Moscow has repeatedly denied accusations that it has committed atrocities during the war in Ukraine.

=========================

Wale mnaosema mahakama ya Icc ni kwa ajili ya wanyonge tu tafuteni hoja nyingine tena.

Huyu muhalifu itabidi ajifiche huko huko Urusi maisha yake yote yaliyobaki ili kukwepa mkono wa sheria.
Urusi sio mwanachama wa ICC..unamkamata kwa kifungu kipi labda kilichoibana nchi ya urusi? Watatumia sheria ipi kama haya sio maigizo ya kuwatia hofu na kuwavunja moyo Pro-Russia?

Hawana lolote zaidi ya kuwafariji Ukraine na west..na kujikosha kwa kaburi la makamanda wao la 400m yaan kabur la makamanda la futi 1,300+...unahisi ili kuondoa machungu ya drone kumwagiwa mafuta na kuyumba had kuzama watayaondoaje bila kujifariji kwa RB ya Tz kumkamata mkenya nchini kwake kenya..does it make sense?
 
Hao washoga watakua washafuta kila kitu kwenye memory ya hyo drone..maana wanajua kitu km hcho kinaweza kutokea, ndio maana kamanda wao alisema haina umuhimu sana kwa sasa..
UNAFIKILI KWANINI ILIMWAGIWA WESE KABLA HAIJAANGUSHWA???

Lile wese lilikuwa linakata contact na kituo kilichokuwa kinaiendesha hiyo drone. YAANI KWA KIFUPI MASHOGA HAWAWEZI KUFANYA CHOCHOTE KWENYE HIYO DRONE.

Russia kwa technology tu, amewakata ngebe mashoga
 
Watu wanataka technology siyo vitu vya kwenye memory tu
Russia hawezi tengeneza ule ushubwada..usioweza hata kuhimili upepo ya Su-27..ushubwada unakufa kwa upepo na mafuta tuu Russia autengeneze wa nini? Russia anatuma mtu kabisa...anaingia hadi nchini kwao anafanya alilotumwa anaondoka...na haongei...wao ndio watapiga kelele..ndio maana aliahidi hatamuua Zelensky, maana kipindi cha mwanzo alijificha kwenye hayo mahandaki yaliyofumuliwa wikijuzi...akiogopa kufa, mpaka alipopewa ahadi hatauliwa ndio anajitokeza(kumbuka Zelensky anamuamin sana Putin kauli yake akisema kasema sio kigeugeu)
 
ICC issues an arrest warrant for Putin​

The International Criminal Court (ICC) issued an arrest warrant for Putin, accusing him of being responsible for war crimes committed in Ukraine.

The ICC issued the warrant on suspicion of unlawful deportation of children and illegal transfer of people from the territory of Ukraine to the Russian Federation.

Moscow has repeatedly denied accusations that it has committed atrocities during the war in Ukraine.

=========================

Wale mnaosema mahakama ya Icc ni kwa ajili ya wanyonge tu tafuteni hoja nyingine tena.

Huyu muhalifu itabidi ajifiche huko huko Urusi maisha yake yote yaliyobaki ili kukwepa mkono wa sheria.
Naona mashoga wamekimbilia kwa lefa wao wa michongo🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
[emoji38][emoji38][emoji38] wanafikiri huyu ni Uhuru Kenyatta

#UPDATE The International Criminal Court on Friday announced it had issued an arrest warrant against Russian President Vladimir Putin for the "unlawful deportation" of Ukrainian childrenView attachment 2555568
Kwahiyo na Duda wa poland nae ataitwa ICC kwakua kwake ndiko walikojibebea raia wa Ukrain zaid na 10milion..au hao ICC wanafikiri hao wa"ukrain" 2milion waliokimbilia Urusi hawana uchaguzi wa mahali pa kwenda? Waache maigizo..wanajidhalilisha kwa kujionyesha kwenye uso wa dunia kua wao sio taasisi huru, ni chombo cha mfukoni cha matajiri wa usa na west..
 
Russia hawezi tengeneza ule ushubwada..usioweza hata kuhimili upepo ya Su-27..ushubwada unakufa kwa upepo na mafuta tuu Russia autengeneze wa nini? Russia anatuma mtu kabisa...anaingia hadi nchini kwao anafanya alilotumwa anaondoka...na haongei...wao ndio watapiga kelele..ndio maana aliahidi hatamuua Zelensky, maana kipindi cha mwanzo alijificha kwenye hayo mahandaki yaliyofumuliwa wikijuzi...akiogopa kufa, mpaka alipopewa ahadi hatauliwa ndio anajitokeza(kumbuka Zelensky anamuamin sana Putin kauli yake akisema kasema sio kigeugeu)
Sahih

Zele anamuamin Putin zaid kuliko Babu

Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom