Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu ni vema tukajielimisha kidogo kuhusu vita. Mimi nadhani kwenye vita nako kuna sheria na kanuni zake. Sidhani kama upo vitani wewe ukawalenga raia na kuwamiminia risasi; ukabomoa miradi ya raia kama ya maji, umeme, kuchoma maghara ya nafaka na nnyumba za raia n.k. nadhani hii sio sahihi, ndio maana nchi nyingine zinakupigia kelele kuwa unachofanya sio kizuri, na pengine ukashitakiwa kwenye mahakama zao (UN). Unatakiwa uwapige wanajeshi wenzako, piga maghara ya silaha zao, bomoa madaraja; kwa kifupi haribu vitu vya kijeshi na wanajeshi wao, na so vinginevyo.

Big-up Mkuu.
US yeye watu aliowaua Libya, Iraq na Afghanistan UN walichukua uamuzi gani? 🤣
 
Alafu wakikaa kwenye media wanakwambia tumetungua missile 50 katika missile 65.
Wakati hapo missile 4 hakuna hata moja iliyotunguliwa.anga jeupe kabisa.zike anti air missile sijui zilikuja Ukraine kutalii[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2554880
Mwendo wa kuchoma vibanda tu🤣
 
ICC wanataka Putin akamatwe...[emoji23][emoji23]
Screenshot_20230317-183948_1.jpg


Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Wanazima tu ukweli toka siku ile drones ilibebwa. US na technology yote alonayo ashindwe kuiona drone?? Hapana. Wahuni wameruka nayo since that day
Hahah wahuni walishaiteka toka day 1 wakazuga iko majini 🤣🤣🤣 ndio maana US walipotaka kwenda kuitafuta jamaa wakawahi baharini kutinga eneo ambapo inasadikika ilizama 🤣🤣🤣 kumbe walishaijam wakachukua taarifa na kuizimisha wakawa wameihifadhi stoo tu.

Leo wanazuga eti wameshaikota majini. 🤣Mrusi mshenzi sana yani na kitakachofuata drone zote za US zitakuwa zinakaangwa na s400
 
The International Criminal Court (ICC) has issued arrest warrants for Russian President Vladimir Putin and Maria Lvova-Belova, the Russian official allegedly overseeing the forced deportations of Ukrainian children to Russia

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 

ICC issues an arrest warrant for Putin​

The International Criminal Court (ICC) issued an arrest warrant for Putin, accusing him of being responsible for war crimes committed in Ukraine.

The ICC issued the warrant on suspicion of unlawful deportation of children and illegal transfer of people from the territory of Ukraine to the Russian Federation.

Moscow has repeatedly denied accusations that it has committed atrocities during the war in Ukraine.

=========================

Wale mnaosema mahakama ya Icc ni kwa ajili ya wanyonge tu tafuteni hoja nyingine tena.

Huyu muhalifu itabidi ajifiche huko huko Urusi maisha yake yote yaliyobaki ili kukwepa mkono wa sheria.
 
Tumia Akili hii haina madhara yoyote hakuna dunia hii anayeweza Kumkamata putin.hakuna nchi yoyote Putin atakayoenda inayoweza Kumkamata putin.kila siku nakushauri kutumia Akili.
Hilo nakubali, Putin anaweza asikamatwe kirahisi, lakini kutolewa huo warranty Kuna ujumbe umetumwa kwa ulimwengu,.. kumbuka Kwa Sasa Putin hatoweza kutembelea nchi wanachama wa ICC, Sheria za ICC zinataka nchi wanachama kuwajibika kwa kumkamata mshukiwa anayetaftwa na mahakama hiyo iwapo anatembelea katika mipaka ya hiyo nchi husika,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hilo nakubali, Putin anaweza asikamatwe kirahisi, lakini kutolewa huo warranty Kuna ujumbe umetumwa kwa ulimwengu,.. kumbuka Kwa Sasa Putin hatoweza kutembelea nchi wanachama wa ICC, Sheria za ICC zinataka nchi wanachama kuwajibika kwa kumkamata mshukiwa anayetaftwa na mahakama hiyo iwapo anatembelea katika mipaka ya hiyo nchi husika,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Dah..!
 
Back
Top Bottom