Mkuu ile ilikuwa ni operation ya kuwatafuta magaidi.. Kama unakumbuku wakati ule kulikuwa na wimbi kubwa la UGAIDI na wengi walikuwa wanatokea huko. Hapakuwepo maangamizi ya watu kiasi hichi. Narudia ile ilikuwa "Military Operation" na hii ya Putini alisema ni "Special Military Operation". Hizo ni operation mbili tofauti.
Sema nishastaafu majadiliano na watu mfano wako jamaa angu. Labda nikushauri kitu we kama Mtanzania mwenzangu, kwe kadamnasi ka hii jitahidi kila neno linalokutoka akilini liwe kwenye mpangilio na uwe na kumbu kumbu vile.
Ukiona kuna mmoja au wawil wame'qoute katika mawil matatu ulioandika basi jua kuna walio wengi zaidi wameona na wamekisoma kile ulicho andika na of course wakaamua kupuuza.
It's not like mevamia mjadala ulio kua nao ila basi tu niliamua kuku'quote ili ujue tunaona kile venye unaandika.
On your previous comment umedai hakuna operation ya kuchukua miaka... tumekupa mfano wa the so called Operation iliyochukua miaka 20 umerudi nyuma kutafuna maneno yako ya awali, ingawa ilichukua 20yrs yet umeamua kuiita Operation. So hapo kama sio mahabba kwa baba enu US basi inaonesha how lowly and poorly brain ako inavyochakata mambo.
Na ninasema siwezi kabiiisa kujadiliana na watu mfano wako si kwamba nakudharau la hasha... Tatizo Una lack specific point of reference, Your thoughts, Your way of thinking haina basics... You define vitu not based on facts ila just your lustful wishes.
In this world, the very little you know kwenye ulimwengu wa Geopolitics. Ila since ni haki yako kuzungumza no objection kwa hilo. But We do mind you! "HOJA NI HOJA, na IMANI NI IMANI..." it take just "kuambiwa tu" hivi na vile kua "Beliefs oriented" ila it takes time and dedication kukusanya a lot of data ili kua "facts oriented".
Na kwa sababu most of you ni wavivu, most of you mmeanza kuzijua za nje 24th Feb Last year mlivosikia Russia kaingia Ukraine... So hatuwalaum!
Haijalishi nn kile mnasema kujipa tabasam hewa... Waswahil tuna msemo wetu kua kelele za Chura hazimtishi Tembo kunywa maji. You are so called Umoja wa kujihami... Ka kikundi ka wale mnaowaita wababe wa dunia.
Kama kweli mna akili the way mnavyojinasibu, Mbona hamjiulizi kama kweli kinachoendelea Ukraine kinawakera na wana kilaani kweli kweli hao International Community, kwanini wasiende kama walivyoenda sehem zinginezo duniani to mention but few Libya, Afghanistan, Iraq na kwingineko wakamchape Putin mchezo uishe? Wanaogopa nn mzee?
So kama unaitizama Dunia hii kwenye TV na kwenye vijiwe vya kahawa pole sana mwamba. Na hizi habari za Masaaa kadha wa kadha mara imeenda ikarudi ni hoja ambazo kama kweli mko matured sio za kutoka kwenye vinywa vyenu. Zinawafaa watoto wa chekechea kulingishiana pipi na Biscuits.