Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu naona na wewe ni wale wale. Hoja yangu nimeimalizia kwa kukuuliza kwamba "vita imeisha? " badala ya kujibu hoja wewe unaleta blabla tu.
Sisi tulishamaliza operation tokea mwezi wa tano mwaka jana, baada ya wakataa ushoga kupiga kula ya kutaka kujiunga na Urusi na bunge la urusi kuyakubali maombi yao
 
Mkuu ni vema tukajielimisha kidogo kuhusu vita. Mimi nadhani kwenye vita nako kuna sheria na kanuni zake. Sidhani kama upo vitani wewe ukawalenga raia na kuwamiminia risasi; ukabomoa miradi ya raia kama ya maji, umeme, kuchoma maghara ya nafaka na nnyumba za raia n.k. nadhani hii sio sahihi, ndio maana nchi nyingine zinakupigia kelele kuwa unachofanya sio kizuri, na pengine ukashitakiwa kwenye mahakama zao (UN). Unatakiwa uwapige wanajeshi wenzako, piga maghara ya silaha zao, bomoa madaraja; kwa kifupi haribu vitu vya kijeshi na wanajeshi wao, na so vinginevyo.

Big-up Mkuu.
Acha kujitoa ufahamu wewe...usifiriki watu wote humu hawajui unachoandika..Tunajua sana.TUNACHOKATAA NA TUNACHOPINGA ni undumilakuwili....yaani as if kuna nchi zina haki ya kuonea wengine...US wamefanya uhalifu wa kivita mara ngapi, Hao western world....mbona hatusikii makelele....Huu ndo ubaguzi ambao hatupendi....
 
One of the most experienced American F-16 pilot has just volunteered to fly for the Ukrainian Air Force.

Dan Hampton flew 151 sorties in Iraq, Kosovo and the Persian Gulf.

He says many U.S. pilots he has talked to feel the same urge to go to Ukraine.

[emoji631][emoji1255]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Amechagua kifo.
 
West warns Ukraine not to blow ‘last ditch effort’ – NYT

A New York Times story on Thursday suggested that the US and its allies are running out of ammunition for Ukraine, while Kiev is using up the troops and shells that will be needed for their planned spring offensive to fight for Artyomovsk instead.

Called Bakhmut by the Kiev authorities, Artyomovsk is now almost entirely surrounded by Russian forces. Ukrainian troops attempting to hold the town are running out of ammunition, the Times reported, with one brigade commander complaining of a “catastrophic shortage” of artillery shells.

Some US and EU officials now worry that Ukraine is using up thousands of shells a day in the battle for Artyomovsk at a pace that is “unsustainable” and “could jeopardize a planned springtime campaign,” which Kiev’s Western sponsors “hope will prove decisive,” according to the Times.

The Pentagon has reportedly even “raised concerns” with Kiev about this, warning Ukraine about “wasting ammunition.”

Sio kweli kwamba hawana silaha, ni kwamba matajiri wa west wenye hizo kampuni za silaha hawatoi silaha bure, hata km ni serikali ndio inataka, kwasababu wao ndio wameshika mpini(uchumi,elimu,afya,vyombo vya habari na nguvu ya umma{brain washed}) , serikali kashika makali >politics,

Ukijifanya unajua sana matajir wanatumia pesa na mashinikizo unakwenda na maji, mfano ni Trump-alijifanya mwenzao, alipoingia madarakani akajisahau akahisi yeye ndio mfalme wa matajir wote, wakimwambia fanya hivi yeye anatweet "fake news..fake news.." wakamtoa mhula mmoja hajaamini hadi leo..kafanya na maandamano lkn wapii.. Sio wananchi waliomtoa, ni matajiri wa usa na ulaya walimtoa kupitia brain washed power na media, nyingi wafanyakazi ni watu wao km walivyomuweka wakamtoa.

Mwingine ni Bojo=Boris Johnson na mama aliefuata..mwingine ni Mario draghi wa italy...aliambiwa resign mweenyewe..usituletee kujua hapa..na sababu andika uchumi umeyumba..kwan nchi gan uchum haukuyumba 2022 (ispokua Tanzania pekee tuambiwa uchumi umekua had tukatangaziwa na IMF tumeingia uchumi wa kati) Na sababu ni proxy war ukrain ili kavita kawe karefu refu wauze silaha..eeh ndioo..kwani uwongo
Urusi ilivyoingiza kikosi mpakani mwa ukrain Zelensky akakubali kukaa mezani wayamalize..telegram iliyotumwa kutoka kwa wauza silaha kupitia mgongo wa serikali za west ilipomfikia Zelensky akagairi makubaliano na kusaini kiapo hatak tena makubaliano Putin akiwa madarakani...(can you imegine..una mgogoro utatokaje madaraka zaid ya kufanywa km Ghadafi?)

West wakizitaman rasilmali zako watazipata tuu iwe kwa hiyari au kwa mtutu, kwasasa wamempora Russia biashara zote za ulaya..kisa ni wivu wa maendeleo yao...hawajali km wananchi wao wanaumia ama laa..
Wamemmaliza wameanzana na Uchina..kisa wivu wa maendeleo yao...wakishirikiana na Australia.

Tuombe MUNGU hilo jini la west lisiongeze makucha huku kwetu Africa, maana naona limetegesha mkia pale Congo.
 
One of the most experienced American F-16 pilot has just volunteered to fly for the Ukrainian Air Force.

Dan Hampton flew 151 sorties in Iraq, Kosovo and the Persian Gulf.

He says many U.S. pilots he has talked to feel the same urge to go to Ukraine.

[emoji631][emoji1255]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Dan Hampton njoo uongeze nguvukazi washoga zko wanakuhitaji..
 
Acha kujitoa ufahamu wewe...usifiriki watu wote humu hawajui unachoandika..Tunajua sana.TUNACHOKATAA NA TUNACHOPINGA ni undumilakuwili....yaani as if kuna nchi zina haki ya kuonea wengine...US wamefanya uhalifu wa kivita mara ngapi, Hao western world....mbona hatusikii makelele....Huu ndo ubaguzi ambao hatupendi....
Mkuu nakushuru kwa kunielewa; sasa tulijadili hili la kuwa ndumila kuwili. Undumilakuwili upo sana miongoni mwetu, tabia hii sio nchi kwa nchi tu bali hata binadamu tunaoneana na kunyanyasana, kwa hiyo hakuna cha ajabu hapo, tuvumiliane tu.
 
Urusi ndo kinara wa ushoga

Miaka ya 1990's harakati za kuuingiza Tz ulifanyika kupitia mlango wa kisiasa (wabongo walikataa vyama vingi ila Nyerere hakua na namna kuwakatalia washoga, ndani ya sera za kisiasa zimo sera za kuwatetea washoga in future(ambayo ni sasa 30yrs now) sera za utandawazi na sera za ovyo kwa mgongo wa "haki za binadamu" pamoja na tamthilia nyingi zenye maudhui ya ushoga hasa za kifilipino zilianza kuonyeshwa baada ya sera za kiliberal kuingi nchini tv zetu zilianza kuonyesha tamthilia mbalimbal na harakati mbalimbali za "watu weupe" zilianza nchini..zingine zikiingilia hadi uhuru wa serikali zetu.

Mafunzo ya afya na zana za afya zilitusaidia kiasi na kupromote sera za West kwa upande mwingine, km ubebaji mimba kabla ya kumaliza shule uonekane sio kosa(unakua ni mzigo kwa familia na mpasuko mkubwa wa familia) vilainishi KY's jelly, na utumiaji wa dawa za kulevya kutoka nje..sisi dawa za kulevya zilikua ni bangi na mirungi, ila west sera zao zikachochea had cocain zikaja.

Miaka 30 sasa matokeo yake tumeona ushoga umekomaa..usagaji umekomaa..wanasambaza hadi vitabu katika mitaala ya shule zetu Tz hasa za international academy vinavyoshawish watoto wachague transgender km wakijiskia hivyo..unashangaa katoto kako ka kiume kana mambo ya kikekike km kanatamanisha kafukunyuliwe kumbe kanasomea mitaala ya washoga shuleni huko.

Inasikitisha sana..
 
Sio kweli kwamba hawana silaha, ni kwamba matajiri wa west wenye hizo kampuni za silaha hawatoi silaha bure, hata km ni serikali ndio inataka, kwasababu wao ndio wameshika mpini(uchumi,elimu,afya,vyombo vya habari na nguvu ya umma{brain washed}) , serikali kashika makali >politics,
Ukijifanya unajua sana matajir wanatumia pesa na mashinikizo unakwenda na maji, mfano ni Trump-alijifanya mwenzao, alipoingia madarakani akajisahau akahisi yeye ndio mfalme wa matajir wote, wakimwambia fanya hivi yeye anatweet "fake news..fake news.." wakamtoa mhula mmoja hajaamini hadi leo..kafanya na maandamano lkn wapii.. Sio wananchi waliomtoa, ni matajiri wa usa na ulaya walimtoa kupitia brain washed power na media, nyingi wafanyakazi ni watu wao km walivyomuweka wakamtoa.
Mwingine ni Bojo=Boris Johnson na mama aliefuata..mwingine ni Mario draghi wa italy...aliambiwa resign mweenyewe..usituletee kujua hapa..na sababu andika uchumi umeyumba..kwan nchi gan uchum haukuyumba 2022 (ispokua Tanzania pekee tuambiwa uchumi umekua had tukatangaziwa na IMF tumeingia uchumi wa kati) Na sababu ni proxy war ukrain ili kavita kawe karefu refu wauze silaha..eeh ndioo..kwani uwongo
Urusi ilivyoingiza kikosi mpakani mwa ukrain Zelensky akakubali kukaa mezani wayamalize..telegram iliyotumwa kutoka kwa wauza silaha kupitia mgongo wa serikali za west ilipomfikia Zelensky akagairi makubaliano na kusaini kiapo hatak tena makubaliano Putin akiwa madarakani...(can you imegine..una mgogoro utatokaje madaraka zaid ya kufanywa km Ghadafi?)
West wakizitaman rasilmali zako watazipata tuu iwe kwa hiyari au kwa mtutu, kwasasa wamempora Russia biashara zote za ulaya..kisa ni wivu wa maendeleo yao...hawajali km wananchi wao wanaumia ama laa..
Wamemmaliza wameanzana na Uchina..kisa wivu wa maendeleo yao...wakishirikiana na Australia.. Tuombe MUNGU hilo jini la west lisiongeze makucha huku kwetu Africa, maana naona limetegesha mkia pale Congo.
kaka uko sahihi asilimia 90.Tatizo wlilokutana nalo kwa sasa ni kuwa wanadeal na some the very best brain,kwa ufupi RUSSIA ina wasomi wabobevu wa fani nyingi sana kuliko wengi tunavyojua.Embu angalia kwenye ECONOMY walivyoweza kuinitiate Multipolar economy kwa kupunguza influence ya US/WEST kwenye matumizi ya pesa.Sasa hivi hata ule mfumo wa kutuma pesa bila kupitia SWIFT umeishaanza kushika kasi duniani.Nchi nyingi zimekubali ni risk kuwaamini hawa USA na WEST.

Ukiangalia hata kwenye international tarde dedolarization of trade inafanyika kwa kasi kubwa sana.kiufupi wachumi duniani wamekubali ni risk kuugemeza uchumi wako klwa WEST.Hawa wanyonya damu wamefanya dhulma mpaka kwenye uwekezaji wa kimichezo.Unamnyanganya Abrahamovic Chelsea wakati hajawahi kuchukua hata senti kama faida bali amekuwa akiweka pesa kila mwaka.

International diplomacy nayo MRUSI anafaynya vizuri sana angalia ukubwa wa biashara kwenye BRICS na vile vile uhusiano wa kidiplomasia baina ya IRAN na SAUDIA kurejea ni pigo kubwa kwa US,kiufupi kumchokonoa RUSSIA kumeifanya US imepoteza pakubwa kuliko ilivyotarajia.
 
Dollar Down — Africa Now With Paula Slier

As Africa has grown wary of the dominance of Western currencies, the search for alternatives is gaining momentum.

The BRICS bank is pushing for international trade in local currencies while enthusiasm for cryptocurrency is on the rise. In this show, we explore the declining influence of the US dollar and what could take its place.

Watch the full episode here.

Subscribe to RT

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Japan Skirting Russian Oil Price Cap – media

Japan purchased Russian crude oil at $68.50 per barrel in February, TASS news agency reported on Thursday, citing calculations based on statistics from the Japanese Finance Ministry.

The figure is above the $60 price cap that Tokyo agreed to with its Western allies, in an effort to punish Russia over the conflict in Ukraine. Last month, Japanese importers reportedly bought 232,700 barrels of oil from Russia with a total value of 2.125 billion yen ($15.945 million).

The Western price cap which came into force in December bans Western corporations from providing insurance and other services to shipments of Russian crude unless the cargo is purchased at or below the set price. The plan was pitched by Washington and backed by the G7, EU and Australia.

Subscribe to RT

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Picha yako ya dron ni ya zamani kidogo . . . Nafikiri hata droni za Urusi hazitunzi data kwenye boksi hadi kurudi bali kuzirusha online . . . .
Braza drone zinafanyiwa (data recovering)tu unakuta kila kitu
Ile puto ya mchina ndo bado
Yenyewe inajishambulia ikishamaliza kazi yake au ikishtukiwa inaripuka kabisa na kujiungiza
 
De-dollarization on the move in Tanzania 🇹🇿 🇹🇿 ☝️

Haya mambo yameiva. Wachumi njooni mtupe somo: Tunaambiwa tutanunua TATA kutoka India kwa hela yetu ama ya India na Wahindi nao wakitaka kununua korosho vivyo hivyo. Sasa ulinganifu wa hizo fedha utakuwaje?.
 
Vikwazo mtavitoa wenyewe.
FraIIfjaUAE0suy.jpg
 
Back
Top Bottom