Sawa muda unaongea msije kukimbia kama mlivyofanya jana na leoMajivu yepi bwana Acheni vitisho!wiki ya tatu hii mnatisha tisha huku wanajeshi wenu wanaishia mnaenda kuchukua mamluki..
Vinarushwa na jeshi au na Al Qaida magaidi?Hahaha vitisho wakati usiku huu Kiev hawalali vitu vinashuka toka Black Sea
Wewe asilimia 90 ya uendeshaji wa maisha yako hapa duniani unatumia vitu/vifaa vya mnaowaita Wamagharibi, gari badala ya ngamia, bunduki badala ya jambia, ndege badala ya punda au farasi, dawa za hospitalini badala ya nyungu, simu badala ya kuandika ktk magome halafu huoni umejitia upofu.Uarabu umeanzia wapi?
We unaleta picha fake ngoja mkutane IS livewarusi wamesanda sasa mnategemea magaidi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unatamani iwe kweli, lakini hata ndani ya moyo wako huamini. Watu wanakimbia nchi, watu wanakufa, Ukraine hali si nzuri...kijana mdogo
picha feki? unaumwa wewe nakuwekea na source ukapitie mwenyeweWe unaleta picha fake mkutane IS live
Black Sea Fleet wameshakula Vodka sasa iv wanashusha ICBM Kiev kuna mashine Inaitwa Kilo Class inasabisha hayo madude mda huuVinarushwa na jeshi au na Al Qaida magaidi?
Mapicha ya magumashi hata Zelensk akiuwawa bado utaleta mapicha yakoRussia UAV
Mkuu unatamani UKRAINE ishinde ila haiwezekani, unajipa moyo kwa kuokota tweet za watu ila bado hutoboi, nchi haikaliki, watu wanakimbia, miji imebakia magofu.Russia UAV
ntaendelea kuleta kama yanakukeraMapicha ya magumashi hata Zelensk akiuwawa bado utaleta mapicha yako
UK wanafiki wanaongea ila Action 0UK amenisikitisha sana, imposing sanctions against Russia, lakini ameshindwa kuchukua wakimbizi zaidi ya 1000?
Ukrainians wanalia, Boris Johnson show some humanity, nimeangalia Al Jazeera nikajisikia vibaya. West ni mataifa mabaya sana, I wish a massive power shift.
😂 😹 leta zako tuone zaidi mnashmbulia mashule, hospitali, na makazi ya watu warusi wako wakichoka wanaenda kuiba kukuMkuu unatamani UKRAINE ishinde ila haiwezekani, unajipa moyo kwa kuokota tweet za watu ila bado hutoboi, nchi haikaliki, watu wanakimbia, miji imebakia magofu.