LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Uarabu umeanzia wapi?
Wewe asilimia 90 ya uendeshaji wa maisha yako hapa duniani unatumia vitu/vifaa vya mnaowaita Wamagharibi, gari badala ya ngamia, bunduki badala ya jambia, ndege badala ya punda au farasi, dawa za hospitalini badala ya nyungu, simu badala ya kuandika ktk magome halafu huoni umejitia upofu.
 
UK amenisikitisha sana, imposing sanctions against Russia, lakini ameshindwa kuchukua wakimbizi zaidi ya 1000?

Ukrainians wanalia, Boris Johnson show some humanity, nimeangalia Al Jazeera nikajisikia vibaya. West ni mataifa mabaya sana, I wish a massive power shift.
 
UK wanafiki wanaongea ila Action 0
 
Mkuu unatamani UKRAINE ishinde ila haiwezekani, unajipa moyo kwa kuokota tweet za watu ila bado hutoboi, nchi haikaliki, watu wanakimbia, miji imebakia magofu.
😂 😹 leta zako tuone zaidi mnashmbulia mashule, hospitali, na makazi ya watu warusi wako wakichoka wanaenda kuiba kuku
mmeomba msaada kwa assad na litishenko aibuuu super power ya buza
 
.
Screenshot_20220311-231352.jpg
 
Back
Top Bottom