green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
Anawaza Sanction tuUyu rais kilaza sana aseee [emoji28][emoji28][emoji28]
Cha ajabu nini kuwa na mercenaries??Warusi wamefanya Mambo ya aibu!jinsi Nyie warusi wa kigamboni mlivyokuwa mnawasifia na kutuelezea aina mbalimbali za silaha zao nzitonzito Leo wao sio wa kukimbilia Syria,,,wamewaangusha sana
warusi wamesanda sasa mnategemea magaidi? 😂😂😂😂😂
wamegoma kuwasaidia lakini wamewapa silhaWatu wanasema usimpige nyoka ambaye hujui kichwa chake kiko wapi.
Na unaweza ukawa na vitu vya kufanya na hujui ni
Ni namna gani ya kufanya.
Hiyo ndio imemghalimu sana mrusi. Na ukiona mtu anakazana sana kusema ukraine lazima ashindwe hii vita basi ujue haiuji vita.
Hebu piga hesabu nchi za ulaya wamegoma kuisaidia ukraine lakini wamewapa siraha pesa na makomandoo wa kujitolea bado urusi amewekewa vikwazo vya kufa mtu.
Dunia isipo muangalia vizuri putin anadamu ya hitra kwa sababu wanasema hata hitra naye alianza hivyo hivyo alikuwa na Malengo ya kuwa rais wa dunia kwa sababu alikuwa anasema hivi vya mipaka vilikuwa vinamchanganya.
Z
Duuh.The Kiev authorities have banned the mayors of Ukrainian cities from any humanitarian contacts with Russia, "all those who disagree are simply shot," the Russian Defense Ministry said.View attachment 2147060
mpaka tupate kichwa chake huyu[emoji35][emoji35][emoji35]Zelensky denies the development of chemical or other weapons of mass destruction in Ukraine, and the laboratories in the country, according to him, are left over from Soviet times and are engaged in "ordinary science."View attachment 2146471
shukran MKUU acha tuoneUkraine atagundua amekula hasara baadae sana. Urusi atapata shida kiuchumi na Marekani atapata faida ila European countries za kawaida watateseka. Mengineyo nasubiri ila sitarajii Russia ahimili vikwazo kirahisi
usiwastue MKUU watakimbiaWameamua sasa kusema kinachoendelea, taratibu watu wataelewa hii OP.View attachment 2146538
Russia atachapika vilivyo.. waitusiwastue MKUU watakimbia
Em tupee link Jomba
Anayeumia zaidi ni Urusi maana anakosa kodi, hawa wataweza fidia mapato kwingineMwenyewe huwa naona hizi sanction mbona zinaleta hasara kwa hao wenye makampuni pia,imagine MacDonald anafunga migahawa zaidi ya 800 si hasara hiyo!anyway sijajua labda Ni njia za ku sympathize na wahanga
sawaRussia atachapika vilivyo.. wait