LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Kunguru
Screenshot_20220311-231453.jpg
 
Warusi wamefanya Mambo ya aibu!jinsi Nyie warusi wa kigamboni mlivyokuwa mnawasifia na kutuelezea aina mbalimbali za silaha zao nzitonzito Leo wao sio wa kukimbilia Syria,,,wamewaangusha sana
Cha ajabu nini kuwa na mercenaries??
USA mwenyewe sio tu anachukua mercenaries huwa anachukua kampani ya jeshi zima la Uingereza.
Tactics hizo babu
 
Watu wanasema usimpige nyoka ambaye hujui kichwa chake kiko wapi.
Na unaweza ukawa na vitu vya kufanya na hujui ni
Ni namna gani ya kufanya.
Hiyo ndio imemghalimu sana mrusi. Na ukiona mtu anakazana sana kusema ukraine lazima ashindwe hii vita basi ujue haiuji vita.
Hebu piga hesabu nchi za ulaya wamegoma kuisaidia ukraine lakini wamewapa siraha pesa na makomandoo wa kujitolea bado urusi amewekewa vikwazo vya kufa mtu.
Dunia isipo muangalia vizuri putin anadamu ya hitra kwa sababu wanasema hata hitra naye alianza hivyo hivyo alikuwa na Malengo ya kuwa rais wa dunia kwa sababu alikuwa anasema hivi vya mipaka vilikuwa vinamchanganya.
wamegoma kuwasaidia lakini wamewapa silha
kajifunze kwanza maana yamsaada tafadhali
 
Ukraine atagundua amekula hasara baadae sana. Urusi atapata shida kiuchumi na Marekani atapata faida ila European countries za kawaida watateseka. Mengineyo nasubiri ila sitarajii Russia ahimili vikwazo kirahisi
shukran MKUU acha tuone
 
Mwenyewe huwa naona hizi sanction mbona zinaleta hasara kwa hao wenye makampuni pia,imagine MacDonald anafunga migahawa zaidi ya 800 si hasara hiyo!anyway sijajua labda Ni njia za ku sympathize na wahanga
Anayeumia zaidi ni Urusi maana anakosa kodi, hawa wataweza fidia mapato kwingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom