The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
We jamaa sio wote tunajua kirussia/ Ukraine
Tena hao Taiwan wanatakiwa waanze sasa wakichelewa kidogo tuu watawahiwa na watashindwa kufurukuta.
Saizi hao wanaomzunguka wanampiga fix ,eti kuna volunteers 😀😀😀Putin majeshi yake yameshindwa ku chukua ukraine in 2 days general 9 wameuliwa na mkuu wa majeshi wa Putin yupo kifo cha ndani .Putin amekasirika vibaya mno so Leo ame waomba wanajeshi wa nchi za afrika na Middle East waende wakamsaidie .Belarus amekubali ila kesho anapigwa sanctions .Je wewe mtanzania unaweza kumsaidia Putin .View attachment 2147480
Saizi kisingizio ni ukubwa wa Ukraine 😁😁😁Hakuna kitu rahisi. Huyu mjinga alidhania ataichukua tu Ukraine kirahisi.. si angemuuliza mjinga mwenzake Idd Amin kuhusu Kagera war.. au Hitler kuhusu germany and WW2?
Kichwa kizito huyo, Unahakikisha haitokei kwa kuweka troops Mlangoni kwa Maniac, Huyo akiamua kurusha kitu mtashtukia kipo Washington, World war inazuiwa kwa watu kukaa chini kufikia muafaka, sio kuprovide militarily equipmentsAnd we should strive to prevent it,” Biden said.
By helping Ukrainees with weapons you"re not preventing ww3.
duh mkuu unaziona wap leo RT imeondolewa sijui youtube live stream.kila nikifungua inasema it is not available in your country.na jana tu nikicheki matangazo yao.huwa napenda kuchek mana wanaonyesha bila upendeleoJust 10miles away from the heart of Kyev BBC.