LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Nyie pigeni tu umbea ila sisi tunafanya kweli.bado wilaya 4 tutangaze umilii wa jimbo la Mariupol
Mariupol_map_2022_03_11.jpg
 
Nyie pigeni tu umbea ila sisi tunafanya kweli.bado wilaya 4 tutangaze umilii wa jimbo la MariupolView attachment 2147641
Sasa ata aibu huoni kama mpaka leo baada ya wiki tatu za kuanzisha vita ya uvamizi na masilaha mengi na askari zaidi ya 120,000 hamjaweza kuuteka mji mdogo kama Maurpol ambao ni.mji mdogo sana na haulindwi kama miji mingine apo unaona kuwa mna jeshi kweli yaani sijui nikueleze vip

Maana ulichokiongea hadi mimi mwenyewe nimeona aibu yaani baada ya wiki tatu za vita bado hamjafaulu kuuteka mji mdogo kama maurpol aisee Russian tuliwaover rate sana kifupi jeshi lenu ni dhaifu mno dhaifu kupindukia ikumbukwe maurpol ni mji ambao wal serikali ya Ukrain haijaweka nguvu nyingi kuulinda am kuukomboa ameweka nguvu kidogo sana pale!!
 
Upo uwanja wa vita? Maana umejuaje kama haulindwi
 
Sisi hatuangalii muda, hata iwe miaka 20 kikubwa lengo litimie.nyie muda chukueni sisi tuachieni ukraine
 
hilo jimbo tangu siku ya kwanza ya mwezi 3 mnashambulia mpaka sasa hamjalichukua?
Yaaani ndo hadi mimi kanchekesha kweli nilidhani ataona aibu ata kuliongelea ilo swala kumbe yeye ni hamnazo anajitoa ufahamu ningekuwa mimi ndo pro Russia wala nisingeliongelea kabisa ilo jimbo maana majeshi ya Russia yameonyesha udhaifu mkubwa mno kwenye mapigano ya hilo jimbo yaani baada ya vita ya wiki tatu bado majeshi ya Russia hayajaweza kuuteka huo mji na ikumbukwe huo ni mji mdogo sana na mji ambao wala serikali ya Ukraime haijaweka nguvu kubwa kuulinda huo mji
 
Sisi hatuangalii muda, hata iwe miaka 20 kikubwa lengo litimie.nyie muda chukueni sisi tuachieni ukraine
Sasa ndo mmeamia kwenye hoja hii ama kweli warusi mmeshikwa pabaya ile ya kuvimaliz vita ndani ya masaa 24 hamuitaki tena sasa ivi mmeamia kwenye hii ya kutojali muda ata ikiwa ni miaka 20 sawa tu duuh majanga aya aisee sio mchezo mmevishwa shanga sasa!!
 
Masaa 24 kwani unaenda kukomboa mateka?.kuchukua nchi kubwa sio jambo dogo kama unavyofikili.niambie ni wapi marekani alienda mwezi 1 akachukua nchi
 
Back
Top Bottom