LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Yeah Saudi blah blah but US na UK huwezi kuwatoa hapo ndio wasambazaji wakubwa wa silaha na misaada mingine
Si vile, mambo ni tofauti kidogo. Kati ya nchi inazouza silaha nyingi duniani kuna ufuatano huu:
1. Marekani
2. Urusi
3, China
4. Ufaransa
wanofuata ni Ujerumani, Uingereza, Hispania na Italia.
Si ajabu kwamba nchi zenye nguvu ya kiuchumi na viwanda vingi zinazalisha pia silaha nyingi na kuziuza nje. Urusi iko kidogo nje ya mantiki maana tasnia yake ni dhaifu kiasi kimataifa, ila inauza silaha nyingi kupita cheo chake kati ya wazalishaji bidhaa duniani. (uchumi wa kitaifa wa Urusi hutazamiwa tofauti kadri unavyochagua kipimo gani; lkn. utajiri wake ni zaidi mafuta na gesi, si uzalishaji nje ya hayo)
Kwa nchi ambayo raia wako kwenye nafasi ya 92 tu kimapato duniani, inaweka mkazo mkubwa sana kwenye jeshi na tasnia ya kivita. (yaani nchi 91 raia huwa na mapato mazuri zaidi kwa wastani kuliko Urusi)
 
Hapo ndio utajuwa unafiki wa West, uhuru wa kuongea leo yamewashinda wanleta yaleyale ya ujamaa. Kesho huku tukifunga magazeti wasilete kelele uhuru wa kuongea hawana tena jeuri ya kuongea hayo. wasije kusema uhuru wa mashoga maana hawana tena jeuri ya kusema. leo tumejuwa kila uhuru una limit
kwa kweli sikufikir kama platform za youtub zitafungaa matangazo ya RT stori haziw balans.mim hipenda kuchungulia chungulia sana RT kuona side b
 
Mkuu umeongea jambo la point ambalo hata waziri mkuu wa Pakistan aliliongea siku chache zilizo pita.

Ali sema tabia za kuchagua makundi zime igharimu sana Pakistan kwa muda mrefu kwa sababu saa nyingine unajizolea maadui ambo siyo wa lazima.

Mfano angalia ikitokea Marekani akaishambulia Iran nchi pekee itakayo baki salama dhidi ya makombora ya Iran hapo mashariki ya kati ni Oman tu,kitacho ifanya ibaki salama ni siasa zake ambazo zime jitenga na makundi ya kuhamasisha uhasama dhidi ya Iran .

lakini hao hakina Qtaar,UAE,saudia,na wangine hiyo miji yao walio ijenga kwa gharama kubwa itageuka magofu kwa sababu ya kuendekeza makundi.

Ila huu mgogoro umevivua nguo vyombo vya habari vya kimagharibi vinavyo jiita huru kumbe ni takataka.
Kumbe hata TBC tuache kuilaumu maana kila mtu ana tumikia maslahi ya bwana wake.



Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Kunywa Pepsi Big naja lipia kabisa [emoji3577][emoji1666]
 
MENGI ya andiko hili nimeyapenda ila hilo la vyombo vya habari vya magharibi kuwa ni takataka limeifanya siku yangu kuwa nzuri sana. Kama unavyosema TBC ni afadhali mara elfu kuliko hao wapumbavu na washenzi wa Al jezeera, Sky News, BBC, CNN na kadhalika....ni washenzi tu ...hakuna habari pale....Yaani vita hivi vimetufundisha mengi ukiacha vyombo vya habari lakini unafiki wa wazungu ni wa kiwango cha juu sana...Watu wamekufa Afghanistani, Libya, Irak, Serbia lakin i hatujawahi kuona muungano wa wazungu kama huu...duh...Vita hii imewaumbua mno hawa washenzi...
Kiwango cha PhD [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
duh mkuu unaziona wap leo RT imeondolewa sijui youtube live stream.kila nikifungua inasema it is not available in your country.na jana tu nikicheki matangazo yao.huwa napenda kuchek mana wanaonyesha bila upendeleo
Niliangalia BBC asubuhi nilivyoamka tu.
 
UK amenisikitisha sana, imposing sanctions against Russia, lakini ameshindwa kuchukua wakimbizi zaidi ya 1000?

Ukrainians wanalia, Boris Johnson show some humanity, nimeangalia Al Jazeera nikajisikia vibaya. West ni mataifa mabaya sana, I wish a massive power shift.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eeeh huyo ndo muingereza... Imagine huyo ni mweupe mwenzie nawaza kwa sauti Ukraine wangekuwa weusi ka sisi sizan ata kama 10 wangefika.
 
The State Duma suggested that due to the persecution of Russians abroad, they should apply to international arbitration.

The initiative was taken by the deputy Vitaly Milonov, he also announced the need to block content inciting discord on the Internet.

A copy of his appeal addressed to the head of the Ministry of Digital Development Maksut Shadayev is at the disposal of RT.
SmartSelect_20220309-103148_Gallery.jpg
 
Amka VSBC (Venus Star Broadcasting Cooperation)

Leo nitawaletea taarifa moja kwa moja kutoka Ukraine. Maana Shirika langu la utangazaji limetuma wanahabari wengi sana huko Ukraine.
 
British orchestras reject a "general boycott" and will not abandon Russian composers.

This was stated by the Association of British Orchestras (ABO), which includes the English National Opera and the Royal Opera House, writes The Telegraph. The publication explains that the work of Russian classics "internally corresponds to the historical canon of Western classical music."

Earlier, the Metropolitan Opera canceled Anna Netrebko's performances in New York due to the situation in Ukraine, and the Bavarian State Opera announced that it was breaking off cooperation with her and Valery Gergiev.
SmartSelect_20220309-103148_Gallery.jpg
 
kwa kweli sikufikir kama platform za youtub zitafungaa matangazo ya RT stori haziw balans.mim hipenda kuchungulia chungulia sana RT kuona side b
Vitu vya kushangaza sana leo wamerudi kule enzi za ujamaa control media wakati wao ndio walikuwa wanasisitiza uhuru wa habari leo watatoa wapi nguvu ya kuja kunyoshea kidole wengine. Wazungu wanafiki sana wametisha watu hata kuongea ukweli hawawezi ni lazima utukane Russia ndio mtu mzuri. Juzi nimemuona Lampard ka balance maneno lakini hakuongea neno baya kuhusu Abrahmavic unaona kabisa hakubaliani na Serikali yake lakini ole wake asifie kwingine atashambuliwa ndio maana kina Tery wamekaa kimyaa tu hawana la kusema.
 
Italian authorities have arrested the yacht of Russian oligarch Andrey Melnichenko, writes la Repubblica.

It is estimated at €530 million. Earlier, the EU put Melnichenko on the sanctions list.
SmartSelect_20220309-103148_Gallery.jpg
 
Back
Top Bottom