Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji298]️The transfer of depleted uranium missiles to Ukraine is not a nuclear escalation, it is only about helping Ukraine defend itself, British Foreign Secretary James Cleverly said, Reuters reported.

[emoji328]: Reuters

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app

Duuh we Jamaa ivi kumbe una infinix na unasumbua hivi [emoji23][emoji23][emoji23] ukraine wakupe simu nzur yenye uwezo .
 
Tunadanganywa na kupumbazwa, propaganda kama hizi ndio tunalishwa na wapuuzi mfano wa kipanya..

Ilianza hivi, anadai amekamata warusi 159, hii ilikuwa mwaka uliopita

1679511327262.png


Baada ya mwaka, Transgender ameandika hivi
1679511539957.png

Hatimaye
1679511623944.png

1679511797655.png

Wahuni wanaitumia ukraine kupiga hela za michango....hakuna cha ghost wala gosti

1679511890190.png
 
Ndio maana sanctions zinakwenda kupatiwa dawa muda sio mrefu, BRICKS wanakuja na mfumo mwingine wa kibenki ku replace SWIFT ya marekani.

Muda sio mrefu hata vinchi vidogovidogo vitamdindishia mmarekani. Marekani akileta mikwara yake mbuzi ya sanctions, nchi hizo zitaachana na mfumo wa marekani na kuamia mfumo wa BRICKS
Hao Brics watafanya biashara baina yao pekee?

Wanunuzi wakubwa ni US, Europe

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Hao jamaa watamchangia USA wakiwa wapi ?....ndani ya ardhi ya USA au wakiwa huko kwenye nchi nyingine kama Ukraine ?...au ndani ya ardhi zao ?...
Mainland US kupata vita ni ngumu sana, US ataendelea kutumia proxies kudhoofisha maadui zake.

North Korea ni keherehere anayetaka kuanzisha vita makusudi na SouthKorea au Japan ili US awe busy asiweze mzuia China kuivamia Taiwan.

North Korea kwa artillery ni mbaya sana, South Korea lazima ajipange haswaa

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Dah!...mkuu unadhani ni rahisi kuivamia US na kupigana ndani ya ardhi yake ?....hao wachovu hapo juu hawajahi hata kuwaza hilo.

Utatokea upande gani na askari wangapi watatikiwa mpaka uivamie US na ufanikiwe ? Labda utumie mbinu za kigaidi kama Osama (japo bado sio rahisi kwa Sasa).

Jisomee hapa chini (Why USA Can never be invaded)
[emoji116]

US alipo Chini ana Mexico, Juu ana Canada, Pembeni Atlantic na Pacific.



Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Mambo mengine bora kukaa kimya tu
Yanii aweze kuitungua halafu ajui ataifanyia vipi uchunguzi hivi inaingia kweli akilini 😆😆
Kwa ivo kuitungua na kuijuia teknolojia iliyotumika kuitengeneza vinahusianaje? Kwenye Operesheni ya kumkamata Osama ni kwa nini Marekani waliilipua ile helkopta yao iliyopata ajali??

Teknolojia haitegemei mapenzi bali imegunduliwa wapi.
 
Ni feki sababu wanatumika na master kutenda ujinga huku wamarekani local wakiumia. Nataka nikuagize vitu hapo marekani
Nipo Kihodombi nawezaje kununua vitu Marekani. Sasa Master anayewatuma ni nani kama na wao pia ni wamarekani?? Wale Waafrika waliopo vitani upande wa Urusi nao wametumwa na nani??
 
Huyu jamaa kiboko 🥱🥱🥱[emoji116][emoji116][emoji116]


[emoji298]️Volodymyr Zelensky visited frontline positions of the Ukrainian military in the Bakhmut area.

The President also awarded defenders of Bakhmut, the President's website reported.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Huyu tulimhakimishia usalama toka mwanzo was OP hatu gusi ili tuwashikishe adabu vizuri
 
Kwahiyo ndugu tuseme labda Tanzania itatubidi tuwe na pesa za inchi zote ulimwenguni ili tukitaka kufanya nazo bihashara tusitumie Dollar au Euro? Nafikiri changamoto za kukosekana kwa pesa moja yakutumika ulimwenguni kote ndiyo ulipelekea matumizi ya Dollar, inaleta ukakasi unaposema turudi kwenye bihashara za kubadilishana bidhaa ilo ni kupiga hatua 1000 nyuma badala ya kwenda mbele.

Mantiki yangu ilikuwa kwamba unapoona hawa mabwana Uchina na Russia wanafurukuta lengo siyo kuusaidia ulimwengu bali ni kutengeneza ufalme mpya ambao nao utakuwa na mbinyo wa aina yake na mateso ya aina yake haiwezi tokea kamwe ulimwengu ukawa ni kila nchi kujiamulia kivyake haswa mambo ya kiuchumi ni aiwezekani maana ukwasi/ubepari haukubali iyo hali
Kaka naomba usome hii link utaoata a,b,c issue hapa sio hela itakayotumika kama medium of exchange baina ya Nchi na Nchi bali ni uhalali wa hiyo hela inakuwa backed na nini.

Kumbuka kabla ya USD kutumiwa kama fedha ya facilitate trade kulikuwapo na British pound ilianguka baada ya vita na Ku loose value ndipo ika emerge USD kulingana na makubaliano ya Breton wood ya 1944.

Hata hivyo pamoja na kukubaliwa USD itumike Ku facilitate trade ilikuwa inathaminishwa na gold au rasilimali za Nchi.Baada ya USA kuingia vitani na Vietnam uchumi wake alianza kuporomoka hivyo ikabidi Rais wa kipkndi hicho Richard Nikkison kuiondoa USD kwenye kuthaminishwa na gold au rasilamali na kuithaminisha kutokana na uhitaji (demand) na kuifanya USD kuwa only peace of paper.

Soma hapa uongeze maarifa
 
Back
Top Bottom