[emoji298]️The transfer of depleted uranium missiles to Ukraine is not a nuclear escalation, it is only about helping Ukraine defend itself, British Foreign Secretary James Cleverly said, Reuters reported.
[emoji328]: Reuters
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wewe nae umetokea wapi tena, mbona hatukujui?Utaje huo mfumo mbadala utakaosimama bila ya Marekani kuafiki!! Hebu taja nchi zinazounda BRIC ili tuchambue mahusiano yake kiuchumi na Marekani!!
Hata mimi sikujui pia!!Wewe nae umetokea wapi tena, mbona hatukujui?
Hebu rudia kuandika hilo swali lako mara Tatu ili nijiridhishe kua, wewe sio robot.Unawezaje kuandika pumba hivi? Nimekudharau
Muelekeze huyu mshambaUnajua ni kwa nini wanaziagiza toka Iran? kuweza kutengeneza na kuwa na ubora unaotakiwa vitani ni mambo mawili tofauti kabisa!!
Hao Brics watafanya biashara baina yao pekee?Ndio maana sanctions zinakwenda kupatiwa dawa muda sio mrefu, BRICKS wanakuja na mfumo mwingine wa kibenki ku replace SWIFT ya marekani.
Muda sio mrefu hata vinchi vidogovidogo vitamdindishia mmarekani. Marekani akileta mikwara yake mbuzi ya sanctions, nchi hizo zitaachana na mfumo wa marekani na kuamia mfumo wa BRICKS
Wazee oneni hili topolo. Ndo nini hiki sasa limeandikaHebu rudia kuandika hilo swali lako mara Tatu ili nijiridhishe kua, wewe sio robot.
Mainland US kupata vita ni ngumu sana, US ataendelea kutumia proxies kudhoofisha maadui zake.Hao jamaa watamchangia USA wakiwa wapi ?....ndani ya ardhi ya USA au wakiwa huko kwenye nchi nyingine kama Ukraine ?...au ndani ya ardhi zao ?...
US alipo Chini ana Mexico, Juu ana Canada, Pembeni Atlantic na Pacific.Dah!...mkuu unadhani ni rahisi kuivamia US na kupigana ndani ya ardhi yake ?....hao wachovu hapo juu hawajahi hata kuwaza hilo.
Utatokea upande gani na askari wangapi watatikiwa mpaka uivamie US na ufanikiwe ? Labda utumie mbinu za kigaidi kama Osama (japo bado sio rahisi kwa Sasa).
Jisomee hapa chini (Why USA Can never be invaded)
[emoji116]
Mambo mengine bora kukaa kimya tuKama wana Drone Bora ni kwa nini wananunua za Iran? Unajua walipotungua Drone toka Ukraine waliipeleka Iran. kwa nini waliipeleka Iran??
I'd mpya hii nayoMambo mengine bora kukaa kimya tu
Yanii aweze kuitungua halafu ajui ataifanyia vipi uchunguzi hivi inaingia kweli akilini [emoji38][emoji38]
Kwa ivo kuitungua na kuijuia teknolojia iliyotumika kuitengeneza vinahusianaje? Kwenye Operesheni ya kumkamata Osama ni kwa nini Marekani waliilipua ile helkopta yao iliyopata ajali??Mambo mengine bora kukaa kimya tu
Yanii aweze kuitungua halafu ajui ataifanyia vipi uchunguzi hivi inaingia kweli akilini 😆😆
Nilimuona kwenye picha nikawa na jiuliza huyu ni katelephone wetu ama gin imenibamba sioni vizuri kumbe ni yeye😂 najarinu kuweka picha inagoma; mods mmekuwajeNimeona
Tumepeleka PM majaliwa huko.Viva Mama ingawa umejifunika blanket lakini miguu Iko nje.
Ni feki sababu wanatumika na master kutenda ujinga huku wamarekani local wakiumia. Nataka nikuagize vitu hapo marekaniKwa ivo wale wamarekani kama kina John Kirby wanaotaka vita isisitishwe Ukraine wao ni Wamarekani Feki??
Nipo Kihodombi nawezaje kununua vitu Marekani. Sasa Master anayewatuma ni nani kama na wao pia ni wamarekani?? Wale Waafrika waliopo vitani upande wa Urusi nao wametumwa na nani??Ni feki sababu wanatumika na master kutenda ujinga huku wamarekani local wakiumia. Nataka nikuagize vitu hapo marekani
Huyu tulimhakimishia usalama toka mwanzo was OP hatu gusi ili tuwashikishe adabu vizuriHuyu jamaa kiboko 🥱🥱🥱[emoji116][emoji116][emoji116]
[emoji298]️Volodymyr Zelensky visited frontline positions of the Ukrainian military in the Bakhmut area.
The President also awarded defenders of Bakhmut, the President's website reported.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ukraine amefanikiwa kudhibit hilo eneo???Usiku wa kuamkia leo Sevastopol ilivamiwa na drone za Ukraine, video zimeachiwa jioni hii
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Aisee!!Huyu tulimhakimishia usalama toka mwanzo was OP hatu gusi ili tuwashikishe adabu vizuri
Kaka naomba usome hii link utaoata a,b,c issue hapa sio hela itakayotumika kama medium of exchange baina ya Nchi na Nchi bali ni uhalali wa hiyo hela inakuwa backed na nini.Kwahiyo ndugu tuseme labda Tanzania itatubidi tuwe na pesa za inchi zote ulimwenguni ili tukitaka kufanya nazo bihashara tusitumie Dollar au Euro? Nafikiri changamoto za kukosekana kwa pesa moja yakutumika ulimwenguni kote ndiyo ulipelekea matumizi ya Dollar, inaleta ukakasi unaposema turudi kwenye bihashara za kubadilishana bidhaa ilo ni kupiga hatua 1000 nyuma badala ya kwenda mbele.
Mantiki yangu ilikuwa kwamba unapoona hawa mabwana Uchina na Russia wanafurukuta lengo siyo kuusaidia ulimwengu bali ni kutengeneza ufalme mpya ambao nao utakuwa na mbinyo wa aina yake na mateso ya aina yake haiwezi tokea kamwe ulimwengu ukawa ni kila nchi kujiamulia kivyake haswa mambo ya kiuchumi ni aiwezekani maana ukwasi/ubepari haukubali iyo hali