NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,002
Mzee amekua kichaa sasa. Russia issue yake ni Ukraine. But mnato mmoja akiingilia kichapo atapata.The United States will respond to any move by Russia towards NATO, said Joe Biden.
“We will protect every inch of NATO territory ... That's why I sent 12,000 troops to the borders with Russia - to Latvia, Estonia, Romania and so on,” the American president said at a press conference.
He stressed that the US "does not intend to wage war against Russia in Ukraine" because a direct confrontation between NATO and Russia is "a third world war." Galip SV Liwagu
“And we should strive to prevent it,” Biden said.View attachment 2147573
Hizi habari unapata wapi, generals 9 wameuliwa? General mwenye 4 stars anaenda kufanya nini Ukraine. Hata Lt. General na Major General si rahisi aendePutin majeshi yake yameshindwa ku chukua ukraine in 2 days general 9 wameuliwa na mkuu wa majeshi wa Putin yupo kifo cha ndani .Putin amekasirika vibaya mno so Leo ame waomba wanajeshi wa nchi za afrika na Middle East waende wakamsaidie .Belarus amekubali ila kesho anapigwa sanctions .Je wewe mtanzania unaweza kumsaidia Putin .View attachment 2147480
Hili la uume kusimama milele , Allah aliangalie upya , na kusema wanaume watapewa wanawake matipwatipwa aweke na vimodo piaKama wewe umesikia, unataka nikubishie ulichosikia wewe?
Sasa unataka wanaume wapewe nini, Wanaume wenzao? Kwani wao ni kina Father Kit Cunningham?
Hata mbuzi huwaoni? Hata kuku huwaoni? Una macho lakini hayaoni? Basi hata masikio yako hayasikii?
tumia google translateWe jamaa sio wote tunajua kirussia/ Ukraine
Hapo ndio utajuwa unafiki wa West, uhuru wa kuongea leo yamewashinda wanleta yaleyale ya ujamaa. Kesho huku tukifunga magazeti wasilete kelele uhuru wa kuongea hawana tena jeuri ya kuongea hayo. wasije kusema uhuru wa mashoga maana hawana tena jeuri ya kusema. leo tumejuwa kila uhuru una limitduh mkuu unaziona wap leo RT imeondolewa sijui youtube live stream.kila nikifungua inasema it is not available in your country.na jana tu nikicheki matangazo yao.huwa napenda kuchek mana wanaonyesha bila upendeleo
Halafu Waukraine watashangilia na kuendelea kuwa watiifu kwa serikali ya Urusi?Mwisho wa siku Urusi itatangaza Rais mpya wa Ukrain
Kila uhuru una Limit. Hata uhuru wa mashoga unaoupigia kelele unafanyika sana tu huku ila ukiufanya wazi wazi ndo Jamhuri tunakula kichwa.Hapo ndio utajuwa unafiki wa West, uhuru wa kuongea leo yamewashinda wanleta yaleyale ya ujamaa. Kesho huku tukifunga magazeti wasilete kelele uhuru wa kuongea hawana tena jeuri ya kuongea hayo. wasije kusema uhuru wa mashoga maana hawana tena jeuri ya kusema. leo tumejuwa kila uhuru una limit
Ata anachokiongea hakijui msamehe tu!!Halafu Waukraine watashangilia na kuendelea kuwa watiifu kwa serikali ya Urusi?
Hawa pro Putin wengi wanaweka maarifa yao pembeni na kujivika mahaba kuntu!!Halafu Waukraine watashangilia na kuendelea kuwa watiifu kwa serikali ya Urusi?
Wao walikuwa kila siku wanatuambia free of expression no limit leo yamewashinda. Tuendeshwe na sheria leo yamewashinda na wanataifisha mali za watu bila kupitia mahakama. Mahakama zimepigwa bypassKila uhuru una Limit. Hata uhuru wa mashoga unaoupigia kelele unafanyika sana tu huku ila ukiufanya wazi wazi ndo Jamhuri inakula kuchwa.
Ni mtanzania mwenzetu.Ata anachokiongea hakijui msamehe tu!!