jameshyela
JF-Expert Member
- Oct 13, 2022
- 2,043
- 15,861
Haki za mashoga zipo palepale huko US,aje Republican au democrats!Mambo ya LGTB siyo mambo ya Wamarekani bali ya chama cha siasa kinachoitwa Democratic ambacho ndicho chama tawala kwa sasa nchini Marekani. Kwa ivo wakija Republican haya mambo ya ushoga kushadadiwa hutayasikia tena.
Leo Republican wangekuwa madarakani, Uganda ingeshangiliwa kwa hatua yake ya kupambana na ushoga badala ya kukaripiwa. Jambo rahisi unalifanya liwe gumu bila ya sababu za msingi!!
Wanaungua kama mishikaki.[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Russia O Group forces assaulted a Ukrainian trench position and secured it. Near Svatovo-Kremmina areaView attachment 2563421View attachment 2563422
Nakubaliana na wewe lakini Republican wanaona si sawa mtu kuwa shoga ila shoga akiuawa na wao hulaani mauaji ya huyo shoga. Ila kama haki fulani fulani zinatamkwa kisheria basi hakuna budi kutekelezwa hata kama aliyeko madarakani ni Republican.Haki za mashoga zipo palepale huko US,aje Republican au democrats!
Sema wanatofautiana tu levels za kuupigia ushoga promo!
Badala ya kumchallenge unamtukana.Ila we jamaa... Bora wazazi wako wangetumia kondomu.... Nakuingiza ignore list chap...
Thibitisha kama hao ni wanajeshi wa Wagner please!Wanaungua kama mishikaki.View attachment 2563639
Kwani ukiignore list kuna chochote utampunguzia au kumwongezea?Ila we jamaa... Bora wazazi wako wangetumia kondomu.... Nakuingiza ignore list chap...
Kwani nilisemaje kwenye comment yangu?Thibitisha kama hao ni wanajeshi wa Wagner please!
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Uraàaaaaaaaa [emoji635]Nawasalimu kwa jina la Putin.
SMO iendelee....Nawasalimu kwa jina la Putin.
Urusi kushindwa kwenye hii vita maana yake ni WW3!Mkuu naona hatari ya Urusi kuporomoka. Kwa sasa si rahisi kuona jinsi watakavyomaliza. Putin aliongeza ugumu wa kupatana na Ukraine kwa kutangaza mikoa hii ya Ukraine kuwa sehemu za Urusi. Ukraine haitakubali kamwe (isipokuwa jeshi la Putin linafaulu kuteka Kyiv) na Putin hawezi kurudi nyuma. Zele ametangaza baada ya mauaji ya Bucha (kabla alikuwa tayari kupatana) anapaswa kupata kila kitu pamoja na Donbas na Krim.
Kwa hiyo ama Urusi anafaulu kushinda kabisa (ambayo sioni) au Urusi inapigwa hadi inapaswa kukubali aondoke.
na hapa naona hatari ya kuporomoka kwa Urusi (Medvedyev mwenyewe alisema vile). Hii ingekuwa hali ya hatari kwa Asia ya Kati.
Au wataendelea kuchinjana hadi kuchoka kabisa pande zote?
Hata kipindi Trump Yuko madarakani,TZ tukiendelea kupata maonyo kutoka US juu ya haki za mashoga!Nakubaliana na wewe lakini Republican wanaona si sawa mtu kuwa shoga ila shoga akiuawa na wao hulaani mauaji ya huyo shoga. Ila kama haki fulani fulani zinatamkwa kisheria basi hakuna budi kutekelezwa hata kama aliyeko madarakani ni Republican.
Ni mambo ya Wamarekani na Marekani kwa ujumla.Mambo ya LGTB siyo mambo ya Wamarekani bali ya chama cha siasa kinachoitwa Democratic ambacho ndicho chama tawala kwa sasa nchini Marekani. Kwa ivo wakija Republican haya mambo ya ushoga kushadadiwa hutayasikia tena.
Leo Republican wangekuwa madarakani, Uganda ingeshangiliwa kwa hatua yake ya kupambana na ushoga badala ya kukaripiwa. Jambo rahisi unalifanya liwe gumu bila ya sababu za msingi!!
Mkuu kushindwa vitani ni swali la ufafanuzi. Hatimaye ni swali la kuishia nguvu.Urusi kushindwa kwenye hii vita maana yake ni WW3!
Russia wameshaapa kuwa "Victory in Ukraine is inevitable"!
West wanatakiwa kuwa makini sana!
Russia’s military action in Ukraine is different, Medvedev claimed, because “we are fighting for our people on our land.” Moscow’s true opponent is not “the semi-Nazi or Nazi regime in Kiev,” but rather NATO, with 3.6 million troops and an economy fueled by a population of 800 million, which “provides vehicles, weapons and money” to Kiev.[emoji633]Spain to send first 6 Leopard 2 tanks to Ukraine by the end of next week, Spanish Defence Ministry reported.
[emoji328]: Twitter / Spanish Defence Ministry
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app