Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Just Imagine, 🤔
Your browser is not able to display this video.


"If I could , I would vote for Putin in the US presidential election" - a simple American

In Tiktok, a poll of urban residents "Biden vs. Putin" is gaining a trend. One of the respondents answered that if it were possible to vote for Putin as a candidate for the US presidential election, He would do so!
 

***Said Arabia na Irani hakuna tena uhasama-China amefanya kazi take vizuri sana
***Syria na Oman wamefanya peace treat
***Jana makubaliano yanaendelea kufanyika chini ya Russia kuhusu peace treat kati ya Said Arabia na Syria.
***Umoja wa Nchi za kiarabu zinapendekeza Syria kurudishwa katika Umoja huo.

Yule mfitinishi na shetani USA & NATO yake wanaogombanisha ndugu,kazi wanayo.
 
Hujamwelewa kabisa jamaa alicho maanisha, wanao pigana huko Ukraine majoroty ni wanamgambo wa Kusini Mashariki mwa Ukraine wenye asili ya Urusi wakisaidiwa na wanajeshi wachache wa Urusi pamoja na Wagner Group,, kwa maneno mengine Russia haijaona haja ya kuingiza wanajeshi wake kwa wingi na silaha nyingine za kisasa - wanasubiri USA/NATO wajiingize kwenye vita hii rasimi ndio Urusi ianze kufanya vitu vyake hivi sasa tunaweza kusema Russian military is saving her military assets and soldiers for a rainy day ili iweze ku-deal na US/NATO wakijiingiza kichwa kichwa kwenye mgogoro/vita hii.
 
russia must lose on the battlefield, in the economy, in international relations because its full-scale defeat will be a reliable guarantee against new aggressions and crises.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
russian troops are focusing efforts on conducting offensive actions in four directions, where Ukrainian defenders have repelled more than 85 enemy attacks over the past day.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Video
Hii sio Bakhmut Hii ni France
Hebu fikiria Kama hii hali Itokee China au Urusi Aende Kuwasaidia Hawa Watu Nini kitaikumba France
Yaani Afanye kama wanavyo Fanya kwenye Mataifa ya Africa

View attachment 2563753
USA na NATo vikitoke kama hivi kwenye mataifs mengine wapo mbele kutuma majeshi kwenda kusaidia waandamanaji kisha wanakoleza mgogoro na kuitangazaia dunia kuwa current regime haitakiwi.

Wamefanya hivyo Syria,Libya,Venezuela, na Nchi nyingine.Sasa unajiuliza waandamanaji hao Issue yao hamtako Macron.

Vipi Leo hii.China au Russia apeleke kikosi kiende Ufaransa kuwasaidia hao waandamanaji
 
Jaribio lolote la kumkamata Rais Putin nje ya mipaka ya Urusi litakuwa Sawa na tangazo rasmi la Vita,

tu

Tutatumia kila Silaha tuliyonayo kutoa majibu ya uhakika na Dunia itashuhudia kile ambacho hakijawahi kutokea,

kila ukitembea ukumbuke kuwa angani kuna nguvu Kuu mbili,

moja inaitwa MUNGU naya pili ni Makombora ya Hypersonic ya Urusi

'' Dmitry Medvedev ''
 
Putin is brilliant upstairs anajua vizuri alisemalo - he knows what is doing na atafanya operation ya SMO kwa wakati wake na sio nyinyi mnavyo taka.

Biden hana ubavu wa kuitishia Urusi kwenye masuala ya nuclear arsenal wakati USA hawana hata nuklia delivery system hata moja ya kufilia kasi hata ya MACH 9, hawana hata air defense systems za kujikinga na SARMAT ICBM yenye uwezo wa kupitia South pole na kwenda kushambulia USA with MIRV, Russia vile vile wana uwezo wa ku-intercept na ku-destroy most American land based and sea/submarine launched ICBM kwa kutumia S-550 na MiG-31.

Joe Biden hayo yote anayajua vizuri sana anajitia kichwa ngumu tu,lakini ubavu wa kushindana na Russia kwenye masuala ya silaha za Nuclear hana kabisa.
 
The main points from Putin's interview to Pavel Zarubin:

About depleted uranium shells for Ukraine:
Shells with such uranium do not belong to the category of weapons of mass destruction, but they generate radiation dust and pollute crop areas. Russia has something to answer - we have hundreds of thousands of such shells, but so far we have not used them.

On tactical nuclear weapons in Belarus: We agreed, without violating the START Treaty, to deploy tactical nuclear weapons in Belarus. On July 1, the construction of a storage facility for it will be completed there. This is not unusual - the United States has been deploying nuclear weapons in NATO countries for a long time.

About the talks with Xi Jinping:
The leader of China is well prepared, it was interesting to talk with him, he knows the details about his country and the world economy. Xi Jinping paid much attention to Beijing's peace plan for Ukraine. But the main focus of the talks was on the economy.

About the terrorist attacks on Nord Stream:
The president fully agrees with the conclusions of journalist Seymour Hersh about the involvement of the US intelligence services. Denmark responded in a streamlined way to Russia about a joint survey of the Nord Stream lines, that it does not need help, and even now this survey no longer makes sense

About analogies between pension reforms in France and Russia:
In Russia, all preferential early retirement regimes have been preserved, but not in France, citizens there consider this approach to be excessively harsh. But the protests in France are an internal affair of this country.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…