Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu

Mimi sioni kabisa kuingia kwa Russia Arm (a.k.a Red Army) kwa sasa kwenye huu mgogoro. Labda escalation iwe kubwa sana. Ambayo itaingiza NATO army hapo. Then Red Army ndio itaingia.

Initially, kweli Red Army iliingia na ndio wakawamaliza jeshi la Ukraine.

Baada ya jeshi la Ukraine kumalizwa ndio Ukraine waka switch kwenye kupiganisha mercenaries... wanawaita "International Legions"

Na ndio hapo hapo Red Army nao waka switch waka outsource hii SMO kwa Wagner. Ili mercenaries wapigane.

US alitaka kufanya ushenzi wa kulidhoofisha jeshi la Russia kwa kulipiganisha vita ya ki mamluki.

Kwa sasa hivi, Wagner PMC wataendelea kupigana mpaka US waonyeshe next move...
Mkuu picha yako ya Dunia ni ajabu kidogo... Jeshi la Urusi liko kabisa Ukraine likipigania vita. Wagner wako hasa Bakhmut lakini hii ni sehemu ndogo to ya mstari wa mapigano. Mahali pengine ni Jeshi la Shirikisho la Urusi.

Ona alichoseme Prigozhin





euronews.com


Wagner boss defies Kremlin Ukraine 'Nazi' narrative​




4–5 Minuten


By Joshua Askew • Updated: 24/03/2023 - 16:26
 Yevgeny Prigozhin prior to a meeting of Russian President Vladimir Putin in Moscow, Russia, July 4, 2017.

Yevgeny Prigozhin prior to a meeting of Russian President Vladimir Putin in Moscow, Russia, July 4, 2017. - Copyright Sergei Ilnitsky/Copyright 2011 The AP. All rights reserved
The boss of the notorious Wagner mercenary force has openly contradicted key aspects of the Kremlin's narrative about the Ukraine war, according to the US-based Insitute for the Study of War (ISW).
Yevgeny Prigozhin denied claims Russia is fighting NATO and questioned whether there are actually Nazis in Ukraine.
The Kremlin has repeatedly justified its invasion of its neighbour as necessary to purge Kyiv of neo-Nazis, who threaten the peace and security of Russia, despite there being little evidence of this.
In parallel, it has increasingly pitched the war as an existential struggle against NATO, which they claim is butting up against Russia's borders.
Prigozhin said Moscow is fighting “exclusively with Ukrainians” equipped with NATO-provided equipment and some “Russophobic” mercenaries who voluntarily support Ukraine - but not NATO itself, said the ISW on Thursday.
He expressed doubt about “denazification” objectives in Ukraine, unsure “Nazis” were in the country, while "effectively rejecting" the long-standing Kremlin claims that Russia needs to defend itself against a NATO threat.
"It is ridiculous to think" that Russian officials did not know NATO would come to Kyiv's aid, the ISW quoted Prigozhin as saying.

Once a close ally of Russian President Vladimir Putin's, the paramilitary unit which includes former convicts in its ranks has become increasingly conspicuous on the battlefield in Ukraine, with Prigozhin appearing to challenge the conventional Russian army on several occasions.
Independent Russian outlets have speculated that Prigozhin might have political ambitions of his own in mind.
Wagner troops have been engaged in a gritty, tooth-and-claw struggle for Bakhmut in eastern Ukraine, which is believed to have depleted its ranks, recently filled with as many as 40,000 prisoners.
In its Thursday assessment, the ISW said Prigozhin had "softened his rhetoric towards the Russian Ministry of Defense (MoD) likely out [of] fear of completely losing his mercenary force in Bakhmut."
He raised concerns about a possible Ukrainian counter-offensive, claiming 200,000 reserves were massing on the eastern front.
The ISW said these "exaggerated statements... [were] likely an attempt to secure more supplies and reinforcements from the Russian MoD to save his forces in Bakhmut."
Between 20,000 and 30,000 Russian troops have been killed and wounded in the battle for the old salt mining town since it began last summer, Western officials say.
The seismic nature of the battle is out of all proportion to Bakhmut's strategic significance, they add.
However, the fight has become deeply symbolic, with Russia keen for clear battlefield victories after a series of setbacks and Ukraine wanting to prove its mettle to western backers.
In an implicit nod to divisions within the Kremlin, Prigozhin also called on the Russian military and media to stop underestimating Ukrainian forces and engaging in internal conflicts.
The killing of nine Chinese goldmine workers in the Central African Republic last Sunday has been reported to be tied to Wagner, and the fact that it coincided with a long-awaited meeting between Putin and Chinese President Xi Jinping has further soured the relationship between the group and Moscow.
The Russian MoD has been trying to diminish and reduce the role of Wagner forces in Ukraine, with Bloomberg reporting it will not allow the mercenary leader to get the credit for Bakhmut on TV.
Some 90% of Bakhmut's pre-invasion population have fled since the fighting started.
 
Mkuu, siwezi kuamini macho yangu yaani Waziri Mkuu wa Poland ambaye yeye na Rais wa Poland walikiwa very bellicose lonapokuja siala Russia - leo hii wanakitia kulegeza kamba - kweli Duniani kuna mambo - sasa hii inaleta picha gani kwa Continental Europe - ina maana vikwazo walivyo iwekea Urusi vinawa athili wao kikubwa na sio Urusi - Putin once said kwamba: Dunia haiwezi kujifanya as if Russia does not exit, na kweli!!
Mkuu wangu

Ni kwamba continental Europe kwa kiasi kikubwa sana development yake imekuwa attributed na Cheap resources from Russia.

Ndio maana President Putin anawaambia kwamba you cannot turn blind on this contribution ya Russia kwa Europe development.
 
Alichofanya nikujbu vikali sanaaa na kuonyesha hamuogop

Mkuu punguza propaganda.us bases zilishambuliwa na kuua mhandisi mmoja na kujeruhi wengine.us kalipiza kwa mashambulizi ya ndege na kuua wapiganaji 19.kasome tena
source ; telegram,al arabiya,rt,india today,mehr news
 
SMO is well calculated and all objectives will be achieved.

Tambua kwamba Russia inaweza kurusha kombora 1 tu la nuke pale Kiev na hii SMO ikaisha.

Kwa hiyo kaa kwa kutulia.
Mkuu sasa Urusi imeamua kutorusha nyuklia Kyiv na badala yake inaendelea kutuma askari ili wasagwe (karibu lakhi mbili sasa) na kuona jinsi gani vifaa vyake vinabomolewa.
Je inawezakana waliamua kutojaribu nyukla kwa sababu wameshaambiwa waziwazi na Marekani wasijaribu au wataona cha mtema kuni??
Maana hadi leo hawakuona bado pigo kutoka NATO - nisipokosei hawapendi kujaribu
 
Mkuu sasa Urusi imeamua kutorusha nyuklia Kyiv na badala yake inaendelea kutuma askari ili wasagwe (karibu lakhi mbili sasa) na kuona jinsi gani vifaa vyake vinabomolewa.
Je inawezakana waliamua kutojaribu nyukla kwa sababu wameshaambiwa waziwazi na Marekani wasijaribu au wataona cha mtema kuni??
Maana hadi leo hawakuona bado pigo kutoka NATO - nisipokosei hawapendi kujaribu
I dont understand your context.
 
Watu watachukia mno humu Kwa taarifa hii.
Breaking News Pope Francis has signed a decree to forbid Priests or bishops to bless Same Sex marriages in the Roman catholic church and he has directed all Bishops and priests everywhere in the world to condemn this barbaric and satanic acts we call LGBTQ rights! The official Position of the Catholic Church is that LGBTQ rights should not be entertained on earth! 👏👏👏👏👏💪💪💪💪💪
 
Watu watachukia mno humu Kwa taarifa hii.
Breaking News Pope Francis has signed a decree to forbid Priests or bishops to bless Same Sex marriages in the Roman catholic church and he has directed all Bishops and priests everywhere in the world to condemn this barbaric and satanic acts we call LGBTQ rights! The official Position of the Catholic Church is that LGBTQ rights should not be entertained on earth! 👏👏👏👏👏💪💪💪💪💪
Huyu kiongozi kumuelewa inahitaji akili za kijasusi. Mara nyingi huwa anasema kinyumenyume.
 
Watu watachukia mno humu Kwa taarifa hii.
Breaking News Pope Francis has signed a decree to forbid Priests or bishops to bless Same Sex marriages in the Roman catholic church and he has directed all Bishops and priests everywhere in the world to condemn this barbaric and satanic acts we call LGBTQ rights! The official Position of the Catholic Church is that LGBTQ rights should not be entertained on earth! [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]

Roman inatumiwa sana na mipango ya NWO hata hao mapapa ni vibaraka wao.
 
I dont understand your context.
Mkuu hapa juu ulisema
"SMO is well calculated and all objectives will be achieved.
Tambua kwamba Russia inaweza kurusha kombora 1 tu la nuke pale Kiev na hii SMO ikaisha."

Najibu: Urusi hairushi kombora la nyuklia kwa sabab iliambiwa na Biden itapata jibu kali sana. Hivyo Urusi inachagua njia ya kupeleka askari wake kwenye machinjo bila kutumia nyuklia zake.
Isipokuwa Bw. Medvedev anapenda kutisha vile kila baada ya siku chache,
 
Mkuu hapa juu ulisema
"SMO is well calculated and all objectives will be achieved.
Tambua kwamba Russia inaweza kurusha kombora 1 tu la nuke pale Kiev na hii SMO ikaisha."

Najibu: Urusi hairushi kombora la nyuklia kwa sabab iliambiwa na Biden itapata jibu kali sana. Hivyo Urusi inachagua njia ya kupeleka askari wake kwenye machinjo bila kutumia nyuklia zake.
Isipokuwa Bw. Medvedev anapenda kutisha vile kila baada ya siku chache,
Okay. Sasa nimekuelewa.

Kuhusu kurusha silaha ya maangamizi kama hiyo Nuke, tambua kwamba military Doctrine ya Russia inasema kwamba endapo ni kitisho kikubwa cha kuangamiza Russia ndio watatoa hizo Nukes.

Kwa hiyo ondoa hofu. Hapo Ukraine Wagner PMC wapo na watawachapa mdogo mdogo mpaka Ukraine wanyooshe mkino juu.
 
Back
Top Bottom