Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana. Bado upo na wazo ya kizamani enzi za mababu zetu wanapewa shanga wanatoa dhahabu.
Mawazo yako ni ya kimaskini. Kwa mwandiko wako wewe ni mtoto wa mwisho unategemea kuendelea kunyonya maziwa ya mama yako wakati ndevu zimeanza kuota.
Acha shobo mtoto wa kiume utapakatwa uanze kulia tena
 
Sawa lakini ukweli ndiyo huo. Hebu wewe elezea hilo lengo la kuwa na fedha kwa kila eneo litakavyofikiwa. Kwa kuanzia na hapa kwenye Jumuiya yetu ya Afrika ya Mashariki na uelezee ni jinsi gani kuwepo kwa fedha hiyo kutapunguza utegemezi wa kutumia Dollar kwenye kufanya biashara na mataifa mengine.
Hawezi kuelezea. Mzowee tu huyu binti. Ni mbishi kiasili
 
IMG_20230325_153353_480.jpg
 
Mkuu kusoma takwimu ni changamoto? Urusi kuna idadi ya wageni iliyorithiwa tangu siku za USSR, pamoja na mapatano na nchi jirani (zilizokuwa sehemu za USSR) kuwaruhusu raia zao waingie Urusi bila visa. Maana wanahitajika kama wafanyakazi kwa kazi za duni na mishahara midogo.
"Russia attracts large numbers of migrants from the former republics of the Soviet Union, where the standard of living is often significantly lower than in Russia. This creates powerful, primarily economic, incentives for migration. Moreover, Russia has a visa-free border-crossing regime with these countries" (Changing migration trends in Russia)
Ukilinganisha na nchi za Ulaya magharibi: hakuna foleni ya watu wanaotaka kuingia Urusi, maana kila mmoja kutoka nchi hizo anaweza kuingia bila kibali.
Kinyume nchi za Ulaya magharibi zinalengwa na watu kutoka nchi za mbali (lakini si mbali sana na Urusi k.v. Afghanistan, Iran, Irak), ambao mara nyingi hawapati visa. Watu hao wanatumia gharama, wanavumilia hatari za kuvuka bahari na kukaa njiani miaka wakitaka kufika nchi za Umoja wa Ulaya.
Nionyeshe watu wanaovumilia matatizo hayo wakijaribu kufika Urusi . .
Point yako ni nini hasa au unampinga jamaa au unatoa clarification???Wageni si wageni tu..either kutoka nchi jirani au nchi za mbali au mpaka wawe weusi....au ulitaka wavuke bahari ambayo haipo....
 
View attachment 2564823
Vifaru aina ya T54 vikisafirishwa kwa reli kuelekea magharibi
Warusi wameanza kuchukua vifaru vya kale kabisa aina T54- T55 kutoka sehemu za maegesho kuelekea magharibi . . Watazamaji wanahisi sababu yake upungufu wa vifaru baada ya kupotea vingi kwenye mapigano. T 54 zilianza kutengenezwa tangu 1946, T55 kuanzia 1958.
Kuna makadirio labda vitatumiwa tu kama mizinga tu, maana Urusi bado ina akina kubwa ya grenedi za 100 mm, ambayo ni saizi ya mizinga ya aina hiyo. Wengi wanaamini siku hizi havifai tena kwa mapigano . .

Russia "Moves" Its Mothballed T-54 Tanks To Ukraine War Zone​


Ashish Dangwal

Rumors have begun to go viral that Kremlin has begun drawing mothballed T-54 and T-55 tanks from a storage base in Russia’s far east and is moving them to the war front in Ukraine, according to Conflict Intelligence Team (CIT), an open-source intelligence organization based in Georgia.
These vintage battle tanks are said to be loaded onto train rakes and moved westward, likely for deployment in the Ukraine operations, according to the OSINT group.
Images and videos of a train transporting T-54/55 series tanks surfaced on social media. According to the CIT, the tanks were reportedly seen leaving the city of Arsenyev in the far eastern Primorsky Krai region of Russia.
A significant number of T-54/55s were put in storage after the Cold War, primarily in the Far East. This was because these old tanks were no longer needed for Russia’s conventional forces and were replaced by more modern tanks.
Although CIT has positively identified T-54s, it is unclear whether T-54s or T-55s from a later generation accompany the other tanks.
Some old videos of similar tank movements that popped up in 2022 have reappeared on social media, purporting to depict T-54s or T55s tanks on their route to the front lines.
The main difference between the two tanks—typically regarded as belonging to the same broad series—is the T-55’s inclusion of additional radiation protection for use in the Cold War’s predicted nuclear warfare.
The CIT stated that employing the vintage T-54 is preferable to not having tanks but cited several problems with the now-obsolete equipment, such as basic sights, a lack of rangefinders, and poor gun stabilization.
The OSINT team said the tanks were being moved “westward,” but whether these old tanks would be used in the fight in Ukraine is still unknown.
In any case, the T-54 entered low-rate production in the Soviet Union in 1946 before being replaced by the more advanced T-55, which began production in 1958.
During the early stages of the Cold War, the T-54/55 series was the mainstay of the Soviet and Warsaw Pact tank armies. But, in 1962, the superior T-62 entered service, followed by progressively more contemporary models, principally the T-64, T-72, and T-80.
Screen-Shot-2023-03-22-at-2.51.55-PM.png
An annotated photo of a T-54B, transported by rail, showing the muzzle compensator at the end of the main gun. CIT
According to CIT, some T-62s Russia pulled from storage and put back into duty were built at Arsenyev’s 1295th Central Tank Reserve and Storage Facility.
The group also previously tracked a train carrying a shipment of T-62M(B) tanks as it moved through Yekaterinburg, hundreds of kilometers to the west.
Russia has already been observed attempting to take ground while using ancient armor. Following the destruction of more modern tanks, an elite Russian battalion was observed deploying 60-year-old T-62 tanks.
In February, a monitoring group that keeps tabs on Russian weapons losses said that Moscow had lost at least 1,500 tanks in Ukraine. Another report published by the International Institute for Strategic Studies last month estimated that Ukraine had probably lost more than 2,000 tanks.
T-54 tanks
T-54 Tank

Soviet-Era T-54/55 Tanks​

Soviet tanks never engaged the North Atlantic Treaty Organization (NATO) during the Cold War.
However, Syria utilized the T-54/55 in its conflict with Israel during the Six-Day War, but American M48 Patton and British Centurion tanks outperformed the Soviet-made armor in every way.
The T-54/55 also saw action in Vietnam, Cambodia, and Uganda throughout the 1970s. These tanks were extensively exported and are still used by many militaries worldwide today. But they are now being superseded by more contemporary tanks in the Russian Army.
The Kremlin continued to maintain thousands of T-54/55 tanks after the fall of the Soviet Union. Over 400 of those tanks were still in service in the 1990s. It seems doubtful that the Russian tanks can make a substantial difference in the conflict, given their losses thus far.
Russia was not the only country that kept a sizable number of these tanks after the collapse of the Soviet Union. But most former Warsaw Pact countries that used the T-54/55 tanks have retired them. Poland even used many of them as shooting targets at its testing grounds.
T-54/T-55 - Wikipedia
T-54/T-55 – Wikipedia
Additionally, Ukraine had inherited a sizeable number that was still in use as recently as ten years ago. As Russia began its military operations in Ukraine over a year ago, several older systems were still in limited service and used as armored rescue vehicles.
Besides that, Slovenia also supplied Ukraine with 28 M55S tanks in October last. Despite sharing a similar design to the original T-55 from the Cold War era, the improved M55S had a more lethal 105mm Royal Ordnance L7 main gun fitted with a thermal insulation jacket, making it one of the most effective tank guns ever.
Kwani ni kosa kutumia vifaru vya zamani?
 
"Not too generous": the Polish prime minister accuses Germany of not supporting Ukraine enough.

Germany has not provided enough support for Ukraine, Polish Prime Minister Mateusz Morawiecki told POLITICO in an interview Friday, lashing out at Berlin while Europe looks for ways to continue arming Kiev.

Among his suggestions: NATO allies should dramatically increase their spending to 3 percent of economic output, the EU should explore new debt facilities for defense purposes, and countries should accelerate efforts to repurpose frozen Russian assets for military action.
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Dawa ime waingia NATO ndege zao zinaishia Romania[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1205][emoji631] NATO is doing the same old thing — US Lockheed EP-3E Aries II electronic reconnaissance aircraft is flying over the Romanian coast. Apparently, they refuse to go to the Black Sea without fighters' cover.

#Russia #Crimea #Putin #Ukraine
 
Kwani ni kosa kutumia vifaru vya zamani?
Hapana!!! Ni dalili ya nguvu na hasa ushujaa. Ukichukua debe hizo za kale kutoka makumbusho (yaani vifaru vya aina T 54 na T55) unaonyesha kwamba huogopi kifo wala chochote. Yaani ukiwa na akili (na ukiongozwa na jeniasi Putin) unajua vema kwamba magari yako hayana uwezo wala kinga lakini unapuuza hatari na matatizo yote! 😉
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
[emoji298]️ Briefing by Chief of Nuclear, Biological, and Chemical Protection Troops of Russian Armed Forces Lieutenant General Igor Kirillov on consequences of West nations' supplying Kiev-regime with depleted uranium ammunition

[emoji821] is.gd/OPcne9
IMG_20230325_163512.jpg
IMG_20230325_163548.jpg
IMG_20230325_163537.jpg
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
#Wagner Breaksthrough Southern #Bakhmut Reaching The Center | Full Front Update 25/03/23 russiatruth.co/wagner-breakst… via @russia_truth Wagner wanachanja mbuga kuelekea kwenye mapango ya wanamgambo wa Ukraine
Screenshot_20230325-163823.jpg
 
Point yako ni nini hasa au unampinga jamaa au unatoa clarification???Wageni si wageni tu..either kutoka nchi jirani au nchi za mbali au mpaka wawe weusi....au ulitaka wavuke bahari ambayo haipo....
Mkuu sikujadili idadi ya wageni katika nchi yoyote. nilidokeza tu kuna nchi ambako watu wa mbali wanapanga foleni mpakani ili wapate (labda) nafasi ya kuingia ingawa hawana vibali wakiona pia hatari nyingi kuvuka mipaka.
Nikisikia maoni hapa nashangaa namna gani foleni hizo hazionekani mpakani mwa nchi ambazo ni paradiso za maendeleo na ustawi kama vile Urusi, lakini zinaonekana mpakani mwa nchi zinazozidi kufilisika kila siku kama vile Ufaransa, Uingereza, Hispania au Ujerumani, tena nchi ambazo hazina usalama kwa sababu mkuu Medvedev anaeleza kila siku jinsi atakavyozibadilisha kuwa majivu matupu.
Hii angalau picha ninayopata nikisoma michango hapa uwanjani.
Kwa hiyo nimeshangaa kidogo.
 
Chelsea Manning, Edward Snowden na Julian Asange sidhani kama wanaiona tofauti ya Urusi na Marekani likija swala la uhuru wa maoni
Hapana. Leaking na kutoa mawazo tofauti ni mambo mawili tofauti kabisa. Lakini kwa Urusi kufanya "Leaking" adhabu yake ni kifo.

Kulinganisha Kina Assange na huo ujinga wa watu wa Urusi kuzuia watu kutoa mawazo tofauti na serikali haupo Marekani.
 
Enemy spies report: "MI-6 transmitted intelligence to Ukraine that the Russian General Staff has accumulated significant reserves of equipment, ammunition, soldiers in the Crimea for a counterattack in the upcoming battle of the Sea of Azov. For the last 3 months, reserves have been formed in warehouses and military bases that are capable of providing everything necessary the Russian army throughout the year" - from Ukrainian sources t.me/vicktop55/13962
IMG_20230325_164451.jpg
 
Hapana!!! Ni dalili ya nguvu na hasa ushujaa. Ukichukua debe hizo za kale kutoka makumbusho unaonyesha kwamba huogopi kifo wala chochote. Yaani ukiwa na akili (na ukiongozwa na jeniasi Putin) unajua vema kwamba magari yako hayana uwezo wala kinga lakini unapuuza hatari na matatizo yote! 😉
Nyie hamtakiwi kuangalia Urusi anatumia silaha gani au wanakufa wangapi.nyie pambaneni ili mumtoe Mrusi Ukraine maana wenzenu huko Urusi wanakula bata tu wakati ukraine asilimia 75 ya watu wake wapo ukimbizini.

Kule zanzibar kuna wa Ukraine kama wote awataki kurudi kwao kwa sababu ya vita.imebidi waombe msaada wa ifadhi.
 
Back
Top Bottom