Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hayo maandano ya pension reform yana uhusiano gani na vita?
Umri wa kustaafu unaongezwa, moja ya sababu ni pension fund kutokuwa na fungu la kutosha. Wananchi wanashangaa kama pesa ya kusaidia Ukraine inapatikana, kwanini pesa ya wastaafu iwe shida?! Au kwa lugha nyepesi, kwanini kipaumbele kiwe Ukraine?
 

Urusi imekuwa ni mwendo wa kuwindana tu. Yaani ukisema hii vita haina maana au tunaelemewa. Jela ama kifo kinakuhusu!!
Mzee tupambanie katiba na nchi yetu..hayo ya warusi tuwaachie wao....Huku kwetu bado watu wanahali ngumu sana..charity begins at home....Hao Warusi,Waukraine, Wamarekani, Europe, Japan etc...wote tuwaangalie kwa akili na kiasi....Ndugu wakigombana chukua jembe ukalime.....Wapo kwenye revolution nyingine hao...waliishamaliza industrial revolution, fnancial revolutions, economic revolutions..Na sasa hata hawajui wanataka nini...Huku kwenda hakuna revolution yoyote na hatueleweki tunaenda wapi....
 
Wazee wa bakhumut kuzungukwa mpooooooooooooo [emoji16][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Tupo hapa
gettyimages-494936334-594x594.jpg


Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
 
Zelensky ni shupavu sana na ni aina ya viongozi wanaotokea mara moja baada ya Karne nyingi sana. Mawazo ya watu humu ndani yanatoa taswira ni kwa nini Afrika huwa inaongozwa na viongozi Katili, wezi, mbumbumbu miaka kwa miaka huku wananchi wakiwa wametulia tuli kama wananyolewa.

Wanaoiunga mkono Urusi wengi wao mashujaa wao kwa Afrika ni hawa:

1. Mobutu Sese seko

2. Idd Amini

3. Muamar Ghadafi

4. Omary Bongo

5. Omary el Bashir

6. Yoweri Museveni

7. Jonas Savimbi

8. Teodoro Obiang Nguema Mbasogo

Na kwa Tanzania ni wafuasi sugu wa watu kama vile Sabaya na Makonda!!
Na wanaowapinga hao wengi wao ni wafuasi wa James mtamu,Aunt Kessy
 
Mzee tupambanie katiba na nchi yetu..hayo ya warusi tuwaachie wao....Huku kwetu bado watu wanahali ngumu sana..charity begins at home....Hao Warusi,Waukraine, Wamarekani, Europe, Japan etc...wote tuwaangalie kwa akili na kiasi....Ndugu wakigombana chukua jembe ukalime.....Wapo kwenye revolution nyingine hao...waliishamaliza industrial revolution, fnancial revolutions, economic revolutions..Na sasa hata hawajui wanataka nini...Huku kwenda hakuna revolution yoyote na hatueleweki tunaenda wapi....
Aisee!!
 
Hapa hatubishani bali ni uwanja wazi wa watu kuweka hoja zao. Kiongozi ni yule anayeongoza wengine kufikia malengo yao. Zelensky siyo tu amekidhi vigezo vya kuwa Kiongozi bali ana sifa za kipekee kuwa kiongozi Shupavu, bora, muadilifu na muaminifu.

Wakati mwingine huwa nawaza ile vita ya Kagera kama ingekuja wakati huu sijui kama ule morali wa kupambana kama zama zile, ungekuwepo!!
Zelensky ni kiongozi mpumbavu kupata kutokea. Kiongozi shupavu ni yule anaetambua kiasi cha nguvu zake.

Hivi leo raisi wetu aamue kuiingiza Tanzania vitani na Marekani huku hata wadudu wakijua kwamba hatutaiweza US,halafu atokee kichaa mmoja amuite eti shujaa kisa katuangamiza watanzania kuionesha dunia kwamba yeye ni mwanamke jasiri, ataeleweka?
 
Wee jamaa hujawahi chezea majii kabisa, chukua hii assignment nenda na jiwe rusha ndani ya maji alafu tazama mawimbi.
View attachment 2564304
Sasa unaponiambia bomb linapigwa alafu mawimbi yanaenda upande mmoja nashindwa kukuelewa.
Tumekuelewa mwanasayansi kutoka Shamba la nyege. Elimu yako imewazidi wanasayansi wote wa Russia.
Ila hebu jaribu ku google "Poseidon uuv" ujielimishe ni kitu gani?
 
Zelensky ni kiongozi mpumbavu kupata kutokea. Kiongozi shupavu ni yule anaetambua kiasi cha nguvu zake.

Hivi leo raisi wetu aamue kuiingiza Tanzania vitani na Marekani huku hata wadudu wakijua kwamba hatutaiweza US,halafu atokee kichaa mmoja amuite eti shujaa kisa katuangamiza watanzania kuionesha dunia kwamba yeye ni mwanamke jasiri, ataeleweka?
Wewe ungekuwa Zelensky na nchi yako imevamiwa na Russia, ungeamua kufanya nini!!??
 
U.S. President Joe Biden has said that the United States, along with allies and partners, will not lose unity in support of Ukraine as it fights off russian aggression.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
# Ukrainian defenders repelled 59 enemy attacks in the past 24 hours, with Russian forces concentrating their offensive action in the Lyman, Bakhmut, Avdiivka, Marinka, and Shakhtarsk areas.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
#stoprussia
Russian invaders are unsuccessfully trying to advance in the Kupiansk, Lyman, Avdiivka, Marinka and Shakhtarsk directions; the enemy is conducting an assault on the city of Bakhmut and holding the defense in Zaporizhzhia and Kherson regions.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom