Simple wanao peleka silaha za kuiangamiza Urusi na watu wake kinara wao ni nani - na hafichi anazungumza kwenye vyombo vya habari mchana kweupe kwamba anataka kumshinda Putin na kuisambaratisha Urusi, anarudia makosa yale yale ya Hitler dhidi ya Urusi kulitokea nini eventually, Napoleon Bonaparte, je na Alexander the Great wote hao makosa yao yalikuwa yanafanana ie lengo lao ni kutaka Urusi kuisambaratisha na wote waliangukia pua.
Ukraine inatumika kwa minajili hiyo hiyo lakini kwa watu ambao hawajui undani wa tatizo la Ukraine wanadanganyika kirahisi kwa kidhani asubuhi moja Putin alikurupuka na kuishambulia Ukraine bila sababu, wakati hiyo si kweli hata kidogo.
Sasa tuje kwenye swali lako la msingi la kusema hivi hizo submarine drones zitalenga au kutegeshewa kwenye pwani ya Taifa gani - jibu ni simple: zitalengwa kwenye taifa ambalo linaonekana kupania kuisambaratisha Urusi na kuuwa viongozi wake wote ikiwezekana, kitu hiki wala hawakifichi wanajifanya eti "wanaisaidia Ukraine" wakati ukweli wa mambo hiyo si kweli hata kidogo.
Nina uhakika Warusi watazisogeza au wamekwisha zisogeza submarine hizo East and West Coasts za Merikani pamoja na Gulf of Mexico wanaziacha chini ya bahari ziki hibernate zikisubili command code kutoka Moscow ku- unleash balaa.
Merikani na wenzake si wamepania kumumaliza Mrusi, sasa wanategemea nini? Kwamba Urusi ataendelea kuwachekea tuu au kuwaogopa, haiwezekani.
Kama Trump ange endelea kubaki madarakani wala haya yasinge tokea hata kidogo, Biden anakuwa driven na chuki binafsi dhidi ya Putin, kila mtu mwenye akili timamu amekwisha liona hilo, si ajabu Biden anaweza kutusabishia WW3 by miscalculation or accident yuko obssesed na Putin sana.