Mwanasiasa mtata
JF-Expert Member
- Oct 25, 2022
- 1,521
- 3,782
Late 2000sUkraine ilikuwa inaihujumu Russia. Tangu lini??
Late 2000sUkraine ilikuwa inaihujumu Russia. Tangu lini??
Kama ni tangu mwaka 2014, mbona Zelensky amechaguliwa kuwa Rais wa Ukraine mwaka 2019. Sasa huo mwaka 2014 angekwenda kujadiliana na Russia kama nani!!??2014
Zelensky ni kibalaka tu aliyepachikwaKama ni tangu mwaka 2014, mbona Zelensky amechaguliwa kuwa Rais wa Ukraine mwaka 2019. Sasa huo mwaka 2014 angekwenda kujadiliana na Russia kama nani!!??
Elezea Zelensky angewezaje kwenda Russia kujadiliana nao wakati yeye hakuwa Rais wa Ukraine mwaka huo wa 2014?Zelensky ni kibalaka tu aliyepachikwa
Mkuu utumie mantiki. Watu wa Afghanistan, hata Pakistan na Iran wanatembea hadi Uturuki, au wanatafuta njia ya kufika Tunisia, ili waingie Umoja wa Ulaya??? Badala ya kutafuta njia fupi kufika Urusi? Je una habari kuhusu foleni kwenye njia za buluu?Kwa Geografia ya Urusi ulitegemea watu wapange foleni kutokea wapi mkuu?
Uliwahi skia wahamiaji haramu wa Kichina?
Ukielewa jiografia hutopata tabu kwanini Urusi hakuna wahamiaji haramu.
Mkuu tafadhali angalia hali ya watu huko Afghanistan, hali ya Wakristo na Wabahai kule Iran, hali ya Wayazidi huko Iraki (ni idadi kubwa ya hai wanaopanga foleni..). . . . Halafu jaribu kurudia maneno yako. Tuone kama utaweza.Watu wanapenda nchi zenye "loopholes" watu hawapendi kufanya kazi zinazochosha sana...hawapendi kuvuja jasho..nchi zenye mianya mingi ndizo zinazopendwa na wengi...ukitaka nchi yako iwe na nyomi la wageni tengneza mazingira ya kitonga na sera za kuwalinda..hata kama ni wezi..
Hapana itakua bado mwaka mmoja maana muheshmiwa med alikwisha sema mpaka kufikia miaka mitatu hakutakua na UKRAINE katika uso wa DUNIATrust me,Mpk kufikia hiyo next year,
Nna iman hatutakua na taifa linaloitwa Ukraine[emoji16]
Kua naamani BOSS nipo kwenye right trak[emoji16]Ha ha haaa.
Nina Imani na wewe sana.
Ila
Sentensi Yako ya mwisho ndo imenitia mashaka[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Achana na kitu inaitwa" mlungula"
KabisaaaaMkuu kiufupi hakutakiwi kuwa na fedha mmoja yenye nguvu,sababu Nchi moja fedha yake ikitumika ku-facitate international trade duniani unaipa hiyo Nchi advantage za kiuchumi mwishowe anakuwa mkubwa mpaka anaota mbawa na kuanza Ku dictate mambo na vitu vya ajabu against Nchi zingine ndicho anachokifanya USA.
Dunia inahitaji kuwa na mizani sawaia,maana yake hapa at the end hizo jumuia kama EU,BRICS, AU,na ule umoja wa kiarabu kila jumuia utakuwa na fedha zake ambazo Zita cover hilo gap.
Habari njemaAnother 50 US Banks Could Fail — Ex-Lehman VP
The banking crisis could swallow another 50 regional lenders in the US if the country’s authorities don't take appropriate steps to resolve structural issues, a former vice-president at Lehman Brothers, Lawrence McDonald, has said in an interview with RIA Novosti.
The collapse of Lehman Brothers, which caused funding markets to seize up and made it hard for global lenders to get a hold of US dollars, marked the beginning of the global financial crisis in 2008.
According to McDonald, the current problems challenging the US banking sector are very similar to those preceding the infamous collapse of the financial giant. McDonald said the US authorities would have to boost deposit guarantees compared to the existing ones heavily.
Subscribe to RT
Sijajua itaanza EU ama NATO ila hizi taasisi zakishenzi moja ama zote zitatuachaRais wa Czech amesema kwamba nchi yake haiwezi kuendelea tena kuipatia Ukraine silaha kwa sababu ya issue ya manpower kwa ajili ya kufanya kazi viwandani.
Amesema kama Ukraine wanataka silaha, basi walete manpower ili hizo silaha zitengenezwe.
Otherwise, wasahau kabisa swala la wao kuletewa silaha.View attachment 2562752
Kweli kabisaKanasema hivyo Kwa kuwa anajua wanataka Ukraine ishinde Siyo Ukraine Bali ni nchi za west, na anajua wanajeshi wake wengi wamekufa na waopigana sasa hivi ni mamluki toka ulaya hana uchungu nao
Ngoja niweke kituo hapaCrypto iko vizuri tuu mkuu..inatumika zaid individualy na kwa baadhi ya makampuni makubwa, Nchi km North korea ndio njia yake kuu ya international transaction, wana expert wazuri kwenye tech ya crypto maana ndio moja ya loophole survivng yao ilipo..