Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kama ni Currency pegging ni kuweka fixed exchange rate ya pesa ya nchi dhidi ya pesa ya nchi nyingine!
Kwenye maelezo yako,sijaona kama hii ni hoja ya utetezi uliokuwa unataka kuumanisha!
Halafu kiswahili chake rahisi inaweza kuwa kusawazisha sarafu!
Sidhani kama kusawazisha fedha ni sahihi zaidi kuliko kuegemeza fedha. Hoja yangu ilikuwa kuwa kuna nchi kadhaa zimeegemeza fedha zao kwenye dollar ya Marekani na nchi hizo siyo chache kiasi kwamba ikawa ni rahisi kuachana na matumizi ya dollar kwenye kusawazisha fedha za dunia na kuhamia kwa mfano kwenye Yuan ama Rubuli ya Urusi.
 
[emoji187]Ukraine has realised that there was no point in talking to the Russian president long before the International Criminal Court issued a warrant for Vladimir Putin's arrest, Ukrainian Foreign Minister Dmytro Kuleba said in an interview with Politico.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kazi inaendelea [emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji123]

During the street fighting in Bakhmut, the Ukrainian border guards repelled the assault of the PMC Wagner mercenaries.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Sidhani kama kusawazisha fedha ni sahihi zaidi kuliko kuegemeza fedha. Hoja yangu ilikuwa kuwa kuna nchi kadhaa zimeegemeza fedha zao kwenye dollar ya Marekani na nchi hizo siyo chache kiasi kwamba ikawa ni rahisi kuachana na matumizi ya dollar kwenye kusawazisha fedha za dunia na kuhamia kwa mfano kwenye Yuan ama Rubuli ya Urusi.
Mfano TZ na India vilipoingia bilateral agreement,TZ haijaikacha Dollar!Ila imeamua kufanya biashara na India Kwa kutumia currency zao tu!
Hii inapunguza uhitaji wa dollar,kama mataifa mengi yakiona njia hii ni salama zaidi,yanafanya hivyo!
US tokea aifanye Dollar kuwa silaha,mataifa yameanza kuchukua tahadhari kwenye utegemezi wa dollar!
 
Ni kweli lakini unadhani wingi wa biashara (Volume) kati ya Tanzania na India unategemeka zaidi kuliko wa India na Marekani? Jee ubora wa bidhaa zinazotarajiwa kununuliwa na India Tanzania na kinyume chake, utakuwa sawa na ubora wa bidhaa toka Marekani kwenda India ama India kwenda Marekani? Utaona kwamba India na nchi nyingine zinajaribu kuifanya Afrika kuwa soko lake jipya dhidi ya soko la Ulaya na Marekani. Hii ndiyo ile Profesa P.L.O Lumumba anaiita "Neo - Scramble for Africa!!!

Ukweli ni kwamba miaka mingi sana nchi mbali mbali zimeona siyo sawa kutegemea sana Dollar kwenye kufanya biashara. Lakini ni ukweli pia kwamba mpaka sasa bado dollar ndiyo inayotegemewa zaidi kwenye kufanya biashara kati ya nchi na nchi kuliko aina nyingine za fedha!!
 
Nani ameshatumia nyuklia kati ya shoga marekani na urusi. Na nyuklia ni silaha ikibidi inatumika tu.
Hivi ushoga upo Marekani tu?? Mimi tangu nakua nawajua mashoga katikati ya jamii yetu watanzania. Dar es salaam angalau kila eneo kuna shoga maarufu anayefahamika. Jengeni hoja na siyo kila wakati mnajificha kwenye kichaka cha kuutaja ushoga!!
 
Hakuna asiyetaka Marekani kuwa na nguvu. Ndiyo maana Urusi aliondoa silaha za Nuclear huko Cuba.
Marekani lipewa nafasi ya kusaidia dunia katika Currency kwamba dunia itumie $ kama currency ya kuuziana kwenye international business.
Lakini cha kushangaza USA na washirika wake wameifanya dollar kuwa silaha. Sasa unataka huyu aendelee kujitanua na kunyanyasa watu?
1. Vietnam aliua watu wengi
2. Yugoslavia
3. Iraq
4. Afghanistan
5. Libya
6. Syria
7. Somalia

Sasa mwenzetu unataka USA asiweze kufugika?
Good analysis.
 
Ni kweli lakini unadhani wingi wa biashara (Volume) kati ya Tanzania na India unategemeka zaidi kuliko wa India na Marekani? Jee ubora wa bidhaa zinazotarajiwa kununuliwa na India Tanzania na kinyume chake, utakuwa sawa na ubora wa bidhaa toka Marekani kwenda India ama India kwenda Marekani? Utaona kwamba India na nchi nyingine zinajaribu kuifanya Afrika kuwa soko lake jipya dhidi ya soko la Ulaya na Marekani. Hii ndiyo ile Profesa P.L.O Lumumba anaiita "Neo - Scramble for Africa!!!

Ukweli ni kwamba miaka mingi sana nchi mbali mbali zimeona siyo sawa kutegemea sana Dollar kwenye kufanya biashara. Lakini ni ukweli pia kwamba mpaka sasa bado dollar ndiyo inayotegemewa zaidi kwenye kufanya biashara kati ya nchi na nchi kuliko aina nyingine za fedha!!
Ni kweli volume inaweza kuwa ndogo ukilinganisha na ukubwa wa mataifa hayo mawili!
Lakini nchi nyingine zikichukua mkondo Huo na zikafanya hivyo hivyo Kwa kufanya biashara na India,Huoni volume ya trade inaweza kuwa kubwa?
Ni kweli Bado dollar inatumika sana world wide lakini demand ya dollar inapungua taratibu!
Mpaka Sasa dollar Iko around 60% share ya world currency reserve!
Huko nyuma iliwahi kufika 90%!
Inakadiriwa kushuka belowa 50% in the near future!
 
Kichumi "Volume of Trade" haikuzwi kwa utashi wa kisiasa bali uzalishaji. Ukiziangalia nchi nyingi zinazotegemewa na yale mataifa yenye kutaka kubadili mkondo wa matumizi ya Dollar kwenye biashara, zenyewe uchumi wake uko shaghalabaghala.

Ninachoona mataifa yaliyomo kwenye BRICS yametambua kwamba bidhaa zinazozalishwa Marekani haziwezi kupata soko kwenye mataifa dhaifu kiuchumi kutokana na bei zake. Nchi za BRICS ukiitoa Afrika ya Kusini, Brazil na Urusi, ni zinazojulikana kwa kuzalisha bidhaa kwa gharama ndogo na kwa ubora wa chini kulingana na mahitaji ya wateja husika.

Kimantiki ni kwamba India ikiongozwa na China zinapambana kumiliki biashara kwa nchi zenye uchumi dhaifu duniani. Na ndiyo maana kuna ule mpango wa China wa kujenga reli itakayoiunganisha nchi hiyo na nchi nyingine duniani ili kurahisisha biashara kati ya nchi hiyo na nchi nyingine duniani.

Swali la msingi ni jee Marekani itakaa kimya iangalie mfumo wa matumizi ya Dollar kwenye biashara duniani ukisambaratishwa??
 
⚠️ WARNING ⚠️

Wakati Xi Jinping anamaliza ziara yake nchini Russia walipokuwa wakiagana pale Kremlin Xi alimwambia hivi Putin

“Right now there are changes – the likes of which we haven’t seen for 100 years – and we are the ones driving these changes together."

Na Putin akamjibu “I agree.”

Lets wait and see 😬
 
Okey,, Sasa hii inayosemwa semwa kuwa kila nchi ifanye biashara kwa fedha yake bila mzani wa fedha moja yenye nguvu unaizungumziaje?
Mkuu kiufupi hakutakiwi kuwa na fedha mmoja yenye nguvu,sababu Nchi moja fedha yake ikitumika ku-facitate international trade duniani unaipa hiyo Nchi advantage za kiuchumi mwishowe anakuwa mkubwa mpaka anaota mbawa na kuanza Ku dictate mambo na vitu vya ajabu against Nchi zingine ndicho anachokifanya USA.

Dunia inahitaji kuwa na mizani sawaia,maana yake hapa at the end hizo jumuia kama EU,BRICS, AU,na ule umoja wa kiarabu kila jumuia utakuwa na fedha zake ambazo Zita cover hilo gap.
 
Back
Top Bottom