Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wanajitangaza wenyewe na wameweka sheria na sera nyingine wanazipenyeza hadi kwenye nchi za wengine hasa wakati wa hitaji fulani...sasa wewe unawafichia kwenye wanalolipigania waziwazi unataka kumaanisha nini? Nini lengo lako?
Mkuu mtu kama Biden unaweza kumchukia au kumpenda au kutojali. Ila tukijadili mambo mazito nashangaa kusikia maneno ambayo hayana uhusiano na hali halisi. Wapi huyu mzee alijitangangaza kuwa shoga? Akijificha - umeona nini kuthibitisha ukweli huu? Ninavyoona alimwoa mwanamke akazaa watoto naye, yule mama alikufa mapema, akaoa mara ya pili na hadi leo yuko pamoja na mke wake. Sijawahi kusikia kwamba kuna matatizo katika ndoa hiyo. Hivyo nilimwuliza mwenzetu kwenye msingi gani anamwita Biden "shoga", halafu jina au matusi yale anatusaidia nini kuelewa hali ya vita tunayoangalia?
 
Polisi Ufaransa Wanacho kifanya ni Hatari tupu
Hakuna chombo chochote cha habari kinazungumzia hilo
Yaani haya yangefanyika Afrika Ungeona Kutwa ndio Habari na Kuna Vilaza Wa kiafrika nao Wataongea Demokrasia mara Haki za Binadamu Upuuzi mtupu
Hiidunia Inachezewa Sana


Why is western media silent on police brutality in France?

French police violently beat up protesters.
 
Somehow nikukatishe kitu bro,

Kwenye trading hasa hii ya foreign exchanges (Forex) kuna kitu inaitwa trade pair.

Pair ni just between two, ya tatu ni uongo.

Lel say tunabadil Mtama na Mchele, kwamba 4Kilo Mtama kwa 1 Kilo Mchele. Hii is what we call Trade Pair.

Kutoka kwenye maelezo yako hapo juu ni kama umetaja trade pair zaidi ya moja

Kwamba TSH/USD

then USD/INR

Mwisho ndio iwe TSH/INR

Hilo binafsi nasema linawezekana kwa kuzungumzika tu ila practicality ni zero na kitu ambacho hakiwezekani. Kila pair ulio taja ina involve fees.

Ukituma TSH to someone in India inakuwa exchanged moja kwa moja to Indian Rupee INR bila kuipeleka to USD first. Kinachofanyika online ni kama kinachofanyika manual kwenye zile Bureau Exchange zetu za kawaida.

Kwani ulishawahi kwenda Bureau Exchange unataka fedha ya kenya wakabadilisha kwanza to dollar then wabadilishe tena to KES ndio wakupe? Si kweli.

The exchange to USD, I mean trade pair ya TSH/USD Itafanyika if and only if utakua unahitaji dollar unless utakua na jambo lako binafsi.

Nikupe mfano mwingine wa kuelekezana hili kwa mapana. Hope bank umeingia mara nyingi... zile rates umezisoma sana ukutani. Always bei ya kununua na bei ya kuuza iko tofauti. Bei ya kuuza ikiwa chini huku bei ya kununua ikiwa juu. Sasa hiki kishike vizuri af tutumie number kuupima mtizamo ulio nao.

Kubadili TSH to USD means unafanya ununuzi so bei itakua juu... lel say ni 15 kwa 1. So kama unahitaji 10 utakua umetoa 150TSH ili upate USD hizo 10. Then uje awam ya pili kuzitoa hizo 10 USD kuzipeleka katika Rupee... USD to INR. Maana ake itakulazimu ufanye ununuzi wa mara ya pili ambapo napo bei itakua juu. Na of course hii ni biashara kichaa hakuna bank inayoweza kufanya hivi.

That's why leo hii unawezs open bank account ya currency tofauti tofauti zaidi ya moja. Mfano unaweza ukawa na account ya bank in Tsh only, ama ukawa na account with Multi currencies like Euro, Yuen, Ruble, USD etc. Main purpose ya account kama hizi ni ku'hold values na kuepuka exchanges fees when you need them.

Kwa mfano wale wenye shughul za mara kwa mara nje ya nchi akiwa na account yake lel say in Yuen hahitaji kuingia gharama za Exchanges akiwa China.

So instead zipo trade pair kwa kila currency ya nchi duniani kote. Hata leo hii ukifika tu mpaka wa Rwanda, unaweza badil fedha zako za TZ upate za Rwanda bila dalal wa kati anayeitwa dollar. Sio lazima uwe na Dagaa ili uweze fanya mabadilishano ya Nazi na Maharage.

It's not that hard to ditch away mdudu dollar, na haijaanza jana wala juzi. Ilianzia kitambo tu Europe wenyewe tangu kuanzishwa kwa EURO, before that US dollar ilikuwa na global share of almost 90%, 1999 ilishuka hadi 71%... 2021 ilikua inasoma 57% na kwa mwendo huu yajayo yanafurahisha.

Hapa bongo tuna msemo wetu, mbwa ukisha mjua jina hakusumbui. This is what China and Russia wanamfanyia US... Wanamjua nje ndani. United State sio taifa la kale enzi za akina Nuh, ni la juzi tu. Ni taita ambalo lime take Global Power baada ya Vita ya pili ya dunia na kuanguka rasmi kwa USSR. Hapa tusisungumzie akina nani walio kua behind those two world war!

In short they know much zaidi ya kile tunachokiona nje. Umegusia Petro Dollar, umesahau au unakumbuka ila umepotezea kujiuliza how "Petro-dollar" imekuja into existence.

Unasema kila kitu lazima kinunuliwe kwa dollar, maybe its true... but why we are forced to do so? Of course ni ku-keep demand high ili aongeze supply kwa ku-print more dollars afanyie shughul zake. In some case you don't need to say terms kama "Stable", "Trust"... It's a joke, unasemaje "Trust" ilihali unapigwa pini ukienda kinyume na matakwa ya mhusika?

Anyway usiku umekwenda niweke kituo nikalale zangu 💤💤💤💤
kumradhi..kumekucha endelea na elimu Tafadhari.
 
Kuogopa kuifanya hii vita kuwa ya dunia na kufanya mkakati wa Urusi kutoka Ukraine ni mambo mawili tofauti. Mbinyo inayofanyiwa Urusi ni mkubwa sana na kiuhalisia athari zake ni kubwa sana.
Mbinyo anaofanyiwa RUSSIA nimkubwa sana hili kila mtu anajua nimjinga tu ama mwenye ushabiki atapingana na huu ukweli

Ila athari kubwa zinazoonekana kutokana na huo mbinyo pengine niwewe tu unaeziona sio kwamba haiathiriki hapana inaathirika ila athari haziendani na ukubwa wa mbinyo lioekewa

Lengo kubwa la mbinyo ni RUSSIA asitishe wanayoiita vita huko UKRAINE pia aondoe majeshi yake huko UKRAINE ukiachana na lengo la kuuua maana vikwazo 14k maana yake wanataka RUSSIA iwe zaidi ya ZIMBABWE

Sasa nikuulize wamefanikiwa kipi kati ya hayo mawili kutokana na mashinikizo yao makubwa dhidi ya RUSSIA
-je RUSSIA kasitisha wanayoiita vita yake pale UKRAINE
-je UCHUMI wa RUSSIA umeanguka kutokana na hvyo vikwazo

Takwimu zilizotoka mwaka jana zimeitaja RUSSIA kama taifa la 9 DUNIANI lenye UCHUMI mkubwa na IMARA

Sasa labda utuambie wewe athari kubwa sana nizipi naumeziona wapi ili tuzijue pia RUSSIA nimoja yamataifa ambayo gharama za maisha zipo chini sana kipindi hiki ambacho DUNIA inashuhudia mfumko mkubwa sana wabei ikiwemo wote waloiekea RUSSIA kama EU kule US nakwengne koote

Mnaifanyaje vita kua ya DUNIA wakat mnasema RUSSIA taifa lakawaida tu kama LIBYA lilivyokua lakawaida
 
Yaani huu mchezo Umepata mchrzaji
EU inakula kwao yaani Wamevuruga Uchumi wao Kwa Kufikiria Wanamkomesha Mrusi kumbe Bado Wana Mneemesha Huyo huyo Mrusi
Wameacha kununua Mafuta kwa wingi kutoka Urusi eti wanapunguza kununua Kisha wanaenda kununua kwa Msaudia
Ambaye Naye Anayanunua kwa Wingi kutoka Urusi kisha Anawauzia hao hao EU!!


Yaani Unaruka Mkojo unaenda Kukanyaga Kinyesi!!

The EU that has destroyed and sabotaged its own economy because of a silly political proxy war stopped diesel imports from Russia

Saudi Arabia (Russia allies) is now buying tons and tons of Diesel from Russia and will sell it back to Europe

Listen! It's going to be FUN! 
No signs of Russian oil production cut – Bloomberg

Shipments of Russian seaborne crude declined last week but there is no substantial evidence that Moscow is implementing a 500,000-barrels-a-day output cut scheduled for March, Bloomberg reported on Tuesday.

Volumes of oil destined for China, India, and Türkiye – nations that have not joined Western sanctions – and cargoes that have not yet confirmed their endpoint slumped by 90,000 barrels a day (bpd) to 3.23 million in the seven days to March 17.

A total of 30 tankers were loaded with 22.6 million barrels of Russian crude in the same period, the outlet reported, citing ship-tracking data. This volume represents a decline of 640,000 barrels or 3% from the previous week.

Even with reduced shipments, however, there’s little sign that Russia has slashed oil production, the outlet reported, noting that the country’s storage tanks have topped 15 million barrels for the first time since last April.

Volumes of exports to Asia, along with cargoes showing no final destination, remained almost unchanged and totaled 3.18 million bpd in the period to March 17. Observations show that most of the cargoes currently identified as ‘Unknown Asia’ and heading to the Suez Canal will end up in India or China, the outlet reported.
 
Unajua mimi nashangaa sana watu ambavyo wako na ma illusions kwamba eti USD ikiachwa kutumika kwenye global trades basi uchumi wa dunia utaanguka. Hakuna kitu kama icho.

Kitakachoanguka ni uchumi wa US na allies wake.

Mbona tulivyotoka kwenye Gold Standards na kuingia kwenye USD standard uchumi haukuanguka?
 
NATO hawajawahi kuingilia mambo ya Libya. Libya ni ubaguzi na maugommvi ya koo za waarabu ndiyo yaliisambaratisha nchi yao.
Uzuri nikwamba ukija na hoja ntabishana na wewe kwa hoja

Ukija kwa vihoja nakupeleka unavyotaka sababu kote nakuweza

NATO hawakupeleka vikosi LIBYA msafara ulokua umembeba GADAFI ulishambuliwa na madege ya kina nani

Ndege zipi zilikua zinatumika kupeleka silaha kwa waasi wa LIBYA
 
Ooh, inamaana unachomaanisha kuondoka kwa utawala wa dola ni kukaribisha utawala wa currency nyingine..
Kabisa sababu dola inapewa nguvu kubwa sababu yauhitaji wake na kutumiwa kwake

Kukiwa nanjia mbadala ya DOLA basi DOLA itatuacha haraka sana

Ingawaje hizo karens zengine kupatikana sio rahisi ingawaje inawezekana
 
Uzuri nikwamba ukija na hoja ntabishana na wewe kwa hoja

Ukija kwa vihoja nakupeleka unavyotaka sababu kote nakuweza

NATO hawakupeleka vikosi LIBYA msafara ulokua umembeba GADAFI ulishambuliwa na madege ya kina nani

Ndege zipi zilikua zinatumika kupeleka silaha kwa waasi wa LIBYA
Narudia tena kuwa NATO haihusiki na kushambuliwa kwa huo msafara wala kujihusisha na mambo ya LIbya kijeshi. Wakati huo NATO walikuwa wako bize na mambo ya Afghanstan!
 
MOTOCHINI huyo Hassan Mafi angeona ukatili wa Polisi wa maadili Iran walikokuwa wanafanya dhidi ya waandamanaji baada ya kifo cha Mahsa Amini, nadhani angekufa kwa mstuko.
Kilichofanywa IRAN kinahalalisha kinachoendelea UFARANSA

Halaf media zikowapi BBC CNN nawengine wote mbona kinachoendelea kwa RAIA wa UFARANSA hawakitangazi

UFARANSA mkiukaji mkubwa sana wa wanayoiita DEMOKRASIA
 
Kabisa sababu dola inapewa nguvu kubwa sababu yauhitaji wake na kutumiwa kwake

Kukiwa nanjia mbadala ya DOLA basi DOLA itatuacha haraka sana

Ingawaje hizo karens zengine kupatikana sio rahisi ingawaje inawezekana
Okey,, Sasa hii inayosemwa semwa kuwa kila nchi ifanye biashara kwa fedha yake bila mzani wa fedha moja yenye nguvu unaizungumziaje?
 
Narudia tena kuwa NATO haihusiki na kushambuliwa kwa huo msafara wala kujihusisha na mambo ya LIbya kijeshi. Wakati huo NATO walikuwa wako bize na mambo ya Afghanstan!
Hata RUSSIA haihusiki na kuivamia UKRAINE sababu waliivamia mwanzo wakati wanasilaha kwasasa UKRAINE inashambuliwa na alien
 
Kama Ufaransa ndiyo wakiukaji wakubwa sana wa Demokrasia ni kwa nini maelfu ya waarabu wanaogombana huko kwao badala ya kukimbilia kwa waarabu wenzao wa jirani wao hukimbilia Ufaransa!!
Kwasababu wanaenda kutumia mali zao walizoibiwa wakati wa ukoloni

Kwahio wanaenda kutumia haki zao waache waende kwawingi
 
Okey,, Sasa hii inayosemwa semwa kuwa kila nchi ifanye biashara kwa fedha yake bila mzani wa fedha moja yenye nguvu unaizungumziaje?
Ukiamua kuiweka fedha moja yenye nguvu tayar tutarudi tena kule kule kwenye USd nyengine isiokua ya US badala yake prngine itakua ya UCHINA au RUSSIA JAPAN IRAN nk nk

Kinachotakiwa hapa fedha zitakua nathamani kutokana nanamna zinavyohitajiwa nakila taifa husika mfano INDIA na TZ

Tukiiondoa USD halaf tukataka yen ije juu basi huyu nae atakuja kuvimbia watu kama anavyofanya sasa USd
 
Watu wanashindwa kutambua kwamba Dollar ni sarafu kama zilivyo sarafu zingine. Nikiwauliza swali hivi dollar ilipitishwa na nani mpaka iwe sarafu ya kimataifa huwezi pata jibu, ni ujanja tu wa US.

Tunaweza leo hii kuamua Euro/yuan ziliplace dollar na hakuna tatizo lolote litakalo tokea. Nawakumbusha wakati Europe wameunda sarafu yao ya Euro 1999, demand ya dollar iliporomoka sana. US baada ya kuona hivo akafanya njama UK akajitoa EU, US alishaona dominance ya dollar inakwenda potea na ofcoz Euro ilishakua yamoto.

Kinachofanyika sahv nikwamba wahuni wameamua kuachana na dollar katika kufanya trade kuna habari nimesoma Russia na China 2/3 ya trade wanafanya kwa sarafu zao. Saudia amepunguza bond za dollar kwa asilimia kubwa sana.

Saudia na China wanaingia makubaliano ya kutumia yuan katika manunuzi ya mafuta. Rais wa Indonesia amesema taifa lake linatakiwa kuachana na matumiz ya dollar maana hawako salama. Yanayotokea sahv kuanguka kwa bank zao sababu demand ya dollar inazidi kushuka siku na siku. Inflation inazidi kuwa juu .
Marekani akiona dollar inakufa .....lazima atalitibua tukose wote

Anyway


Mkuu how inflation inatokea US Baada ya baadhi ya nchi kupunguza dollar dependence?????

Viva Russia
 
Back
Top Bottom