Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Somehow nikukatishe kitu bro,

Kwenye trading hasa hii ya foreign exchanges (Forex) kuna kitu inaitwa trade pair.

Pair ni just between two, ya tatu ni uongo.

Lel say tunabadil Mtama na Mchele, kwamba 4Kilo Mtama kwa 1 Kilo Mchele. Hii is what we call Trade Pair.

Kutoka kwenye maelezo yako hapo juu ni kama umetaja trade pair zaidi ya moja

Kwamba TSH/USD

then USD/INR

Mwisho ndio iwe TSH/INR

Hilo binafsi nasema linawezekana kwa kuzungumzika tu ila practicality ni zero na kitu ambacho hakiwezekani. Kila pair ulio taja ina involve fees.

Ukituma TSH to someone in India inakuwa exchanged moja kwa moja to Indian Rupee INR bila kuipeleka to USD first. Kinachofanyika online ni kama kinachofanyika manual kwenye zile Bureau Exchange zetu za kawaida.

Kwani ulishawahi kwenda Bureau Exchange unataka fedha ya kenya wakabadilisha kwanza to dollar then wabadilishe tena to KES ndio wakupe? Si kweli.

The exchange to USD, I mean trade pair ya TSH/USD Itafanyika if and only if utakua unahitaji dollar unless utakua na jambo lako binafsi.

Nikupe mfano mwingine wa kuelekezana hili kwa mapana. Hope bank umeingia mara nyingi... zile rates umezisoma sana ukutani. Always bei ya kununua na bei ya kuuza iko tofauti. Bei ya kuuza ikiwa chini huku bei ya kununua ikiwa juu. Sasa hiki kishike vizuri af tutumie number kuupima mtizamo ulio nao.

Kubadili TSH to USD means unafanya ununuzi so bei itakua juu... lel say ni 15 kwa 1. So kama unahitaji 10 utakua umetoa 150TSH ili upate USD hizo 10. Then uje awam ya pili kuzitoa hizo 10 USD kuzipeleka katika Rupee... USD to INR. Maana ake itakulazimu ufanye ununuzi wa mara ya pili ambapo napo bei itakua juu. Na of course hii ni biashara kichaa hakuna bank inayoweza kufanya hivi.

That's why leo hii unawezs open bank account ya currency tofauti tofauti zaidi ya moja. Mfano unaweza ukawa na account ya bank in Tsh only, ama ukawa na account with Multi currencies like Euro, Yuen, Ruble, USD etc. Main purpose ya account kama hizi ni ku'hold values na kuepuka exchanges fees when you need them.

Kwa mfano wale wenye shughul za mara kwa mara nje ya nchi akiwa na account yake lel say in Yuen hahitaji kuingia gharama za Exchanges akiwa China.

So instead zipo trade pair kwa kila currency ya nchi duniani kote. Hata leo hii ukifika tu mpaka wa Rwanda, unaweza badil fedha zako za TZ upate za Rwanda bila dalal wa kati anayeitwa dollar. Sio lazima uwe na Dagaa ili uweze fanya mabadilishano ya Nazi na Maharage.

It's not that hard to ditch away mdudu dollar, na haijaanza jana wala juzi. Ilianzia kitambo tu Europe wenyewe tangu kuanzishwa kwa EURO, before that US dollar ilikuwa na global share of almost 90%, 1999 ilishuka hadi 71%... 2021 ilikua inasoma 57% na kwa mwendo huu yajayo yanafurahisha.

Hapa bongo tuna msemo wetu, mbwa ukisha mjua jina hakusumbui. This is what China and Russia wanamfanyia US... Wanamjua nje ndani. United State sio taifa la kale enzi za akina Nuh, ni la juzi tu. Ni taita ambalo lime take Global Power baada ya Vita ya pili ya dunia na kuanguka rasmi kwa USSR. Hapa tusisungumzie akina nani walio kua behind those two world war!

In short they know much zaidi ya kile tunachokiona nje. Umegusia Petro Dollar, umesahau au unakumbuka ila umepotezea kujiuliza how "Petro-dollar" imekuja into existence.

Unasema kila kitu lazima kinunuliwe kwa dollar, maybe its true... but why we are forced to do so? Of course ni ku-keep demand high ili aongeze supply kwa ku-print more dollars afanyie shughul zake. In some case you don't need to say terms kama "Stable", "Trust"... It's a joke, unasemaje "Trust" ilihali unapigwa pini ukienda kinyume na matakwa ya mhusika?

Anyway usiku umekwenda niweke kituo nikalale zangu [emoji99][emoji99][emoji99][emoji99]
Unataka kusema wewe unaujua uchumi kuliko brics
 
Japanese Prime Minister Fumio Kishida met with President Volodymyr Zelensky during his unannounced visit to Kyiv on March 21.

At a joint news conference following the meeting, Kishida said Japan would allocate $30 million to purchase non-lethal weaponry for Ukraine through the NATO trust fund, Suspilne news outlet reported.

Learn more:

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Somehow nikukatishe kitu bro,

Kwenye trading hasa hii ya foreign exchanges (Forex) kuna kitu inaitwa trade pair.

Pair ni just between two, ya tatu ni uongo.

Lel say tunabadil Mtama na Mchele, kwamba 4Kilo Mtama kwa 1 Kilo Mchele. Hii is what we call Trade Pair.

Kutoka kwenye maelezo yako hapo juu ni kama umetaja trade pair zaidi ya moja

Kwamba TSH/USD

then USD/INR

Mwisho ndio iwe TSH/INR

Hilo binafsi nasema linawezekana kwa kuzungumzika tu ila practicality ni zero na kitu ambacho hakiwezekani. Kila pair ulio taja ina involve fees.

Ukituma TSH to someone in India inakuwa exchanged moja kwa moja to Indian Rupee INR bila kuipeleka to USD first. Kinachofanyika online ni kama kinachofanyika manual kwenye zile Bureau Exchange zetu za kawaida.

Kwani ulishawahi kwenda Bureau Exchange unataka fedha ya kenya wakabadilisha kwanza to dollar then wabadilishe tena to KES ndio wakupe? Si kweli.

The exchange to USD, I mean trade pair ya TSH/USD Itafanyika if and only if utakua unahitaji dollar unless utakua na jambo lako binafsi.

Nikupe mfano mwingine wa kuelekezana hili kwa mapana. Hope bank umeingia mara nyingi... zile rates umezisoma sana ukutani. Always bei ya kununua na bei ya kuuza iko tofauti. Bei ya kuuza ikiwa chini huku bei ya kununua ikiwa juu. Sasa hiki kishike vizuri af tutumie number kuupima mtizamo ulio nao.

Kubadili TSH to USD means unafanya ununuzi so bei itakua juu... lel say ni 15 kwa 1. So kama unahitaji 10 utakua umetoa 150TSH ili upate USD hizo 10. Then uje awam ya pili kuzitoa hizo 10 USD kuzipeleka katika Rupee... USD to INR. Maana ake itakulazimu ufanye ununuzi wa mara ya pili ambapo napo bei itakua juu. Na of course hii ni biashara kichaa hakuna bank inayoweza kufanya hivi.

That's why leo hii unawezs open bank account ya currency tofauti tofauti zaidi ya moja. Mfano unaweza ukawa na account ya bank in Tsh only, ama ukawa na account with Multi currencies like Euro, Yuen, Ruble, USD etc. Main purpose ya account kama hizi ni ku'hold values na kuepuka exchanges fees when you need them.

Kwa mfano wale wenye shughul za mara kwa mara nje ya nchi akiwa na account yake lel say in Yuen hahitaji kuingia gharama za Exchanges akiwa China.

So instead zipo trade pair kwa kila currency ya nchi duniani kote. Hata leo hii ukifika tu mpaka wa Rwanda, unaweza badil fedha zako za TZ upate za Rwanda bila dalal wa kati anayeitwa dollar. Sio lazima uwe na Dagaa ili uweze fanya mabadilishano ya Nazi na Maharage.

It's not that hard to ditch away mdudu dollar, na haijaanza jana wala juzi. Ilianzia kitambo tu Europe wenyewe tangu kuanzishwa kwa EURO, before that US dollar ilikuwa na global share of almost 90%, 1999 ilishuka hadi 71%... 2021 ilikua inasoma 57% na kwa mwendo huu yajayo yanafurahisha.

Hapa bongo tuna msemo wetu, mbwa ukisha mjua jina hakusumbui. This is what China and Russia wanamfanyia US... Wanamjua nje ndani. United State sio taifa la kale enzi za akina Nuh, ni la juzi tu. Ni taita ambalo lime take Global Power baada ya Vita ya pili ya dunia na kuanguka rasmi kwa USSR. Hapa tusisungumzie akina nani walio kua behind those two world war!

In short they know much zaidi ya kile tunachokiona nje. Umegusia Petro Dollar, umesahau au unakumbuka ila umepotezea kujiuliza how "Petro-dollar" imekuja into existence.

Unasema kila kitu lazima kinunuliwe kwa dollar, maybe its true... but why we are forced to do so? Of course ni ku-keep demand high ili aongeze supply kwa ku-print more dollars afanyie shughul zake. In some case you don't need to say terms kama "Stable", "Trust"... It's a joke, unasemaje "Trust" ilihali unapigwa pini ukienda kinyume na matakwa ya mhusika?

Anyway usiku umekwenda niweke kituo nikalale zangu [emoji99][emoji99][emoji99][emoji99]
Ndivyo mambo yalivyo kwenye dunia hii. Kuna mmoja kwenye mbio za km 10 amepewa head start ya 30mnts. Mfumo niliougusia ndio najua mambo yalivyo kwa jinsi nilivyopitia makbrasha mbalimbali. Hata kwa Swift huwezi transfer pesa kwa mabenki mawili ya nchi tofauti yasiyokuwa na uhusiano bila kuwa na 3rd party/intermediary bank ambapo USd lzm ihusike na fees zake pia huwezi kuzikwepa. Na transaction nyingi sasa zinahusisha mabenki yasiyo na uhusiano.

Haina maana ni mfumo fair na sijasema ni mfumo fair. Ndio maana juhudi za kuikimbia dollar ni kubwa kila pembe ya dunia asante pia kwa mfano wa Euro. Je, kujitoa kwa UK kwenye EU kuna uhusiano na hili pia?

Point yangu ni kwamba tusifikirie ni kitu kirahisi kuihama
 
Kishida vowed that his country would help Ukraine “with the greatest effort to regain peace” during a visit to Kyiv on March 21. Kishida’s visit to Kyiv occurred as Chinese leader Xi Jinping was visiting Moscow.

Meanwhile, the Pentagon said on March 21 that the U.S. would provide an older version of the M1 Abrams tanks to speed up the delivery.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
President of Ukraine Volodymyr Zelensky accepted the invitation to participate in the G7 summit in May in an online format.#stoprussia #StopRussianWar #StopRussianAggression

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
US hawana ujanja kwa Russia yaani watajifichaficha mwisho wa siku itajulikana[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

US to speed up Ukraine tank deliveries

The US military will accelerate its shipment of M1 Abrams battle tanks to Ukrainian forces, opting to send an older model after finding that the latest version could take more than a year to reach the battlefield.

Speaking to reporters for a press briefing on Tuesday, Pentagon spokesman Pat Ryder said that while the military initially planned to send the tank’s newer M1A2 variant, it would now supply the previous M1A1 model in order to “significantly expedite delivery timelines.”

“It will … give Ukraine a very similar capability to the M1A2, which includes advanced armor and weapons systems,” Ryder said, stressing that the decision “is about getting this important combat capability into the hands of the Ukrainians sooner rather than later.”
 
Kishida vowed that his country would help Ukraine “with the greatest effort to regain peace” during a visit to Kyiv on March 21. Kishida’s visit to Kyiv occurred as Chinese leader Xi Jinping was visiting Moscow.

Meanwhile, the Pentagon said on March 21 that the U.S. would provide an older version of the M1 Abrams tanks to speed up the delivery.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hizo tanks nazani wanazuga tu ili ufanye mpango wa amani na iwe mwisho wa habari US bila NATO Ni Sudan kusini kabisaaaaaaa.
 
Ombudsman Dmytro Lubinets reported on March 21 that 15 children from formerly-occupied territories of Kharkiv and Kherson oblasts were returned to Ukraine.

"Finally home! Despite all the challenges, we continue to work so that Ukrainian children have the opportunity to see their relatives and be on their land," Lubinets wrote

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Eeh wamerudishwa wale ambao ni brain washed..15 ....pata picha ni wangap wamegoma kurudi kwa wanazi...watoto 15 kati ya 307,000+
Hawa 15 ndio wale walikua wanaongea lugha isiyo ya staha, ya matusi na kupiga vitu ovyo na kuimba nyimbo za ukrain national anthem..kwenye hifadhi za urusi..ni bora wameondoshwa wamebaki watoto 307,000+ nchini Urusi wanaoelewa ni nini kinachoendelea duniani..
 
President of Ukraine Volodymyr Zelensky accepted the invitation to participate in the G7 summit in May in an online format.#stoprussia #StopRussianWar #StopRussianAggression

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mnama una uraibu wa kupost jamvin

Na ndio maana ikitokea hakuna latest unalazimika kutuma post za zaman ili mrad utume

Mwamba atakutafutia dawa ya kuondokana na hio hali

Pole sana mnama
JamiiForums1059337295.jpg


Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hii mechanism pia still inadepend dollar. Kwa nje utaona kama haipo au haihusiki lkn yenyewe ndio imeinfluence mfumo mzima.

Chukulia mfano unataka kumlipa mtu aliyepo India let say umeagiza mzigo wa vitambaa wa rupee milioni 5. Wewe una shilingi za kitanzania mtu aliyekuuzia anapokea rupee ukienda bank na kufanya muamala huo au ukitumia njia nyingine utaona inawezekana na dollar haitahusika lkn imehusika.

Wewe una akaunti ya sh kwenye local bank kama crdb na huyo supplier wako ana akaunti ya rupee kwenye bank ya kwao India let say Baroda. Mfumo utahitaji crdb wawe na akaunti ya dollar kwenye bank ya kimarekani na Baroda nao wawe na akaunti ya dollar kwenye benki ya kimarekani pia (inaeza kua benki hiyohiyo moja). Wewe ukitaka Crdb wamlipe supplier wako kiasi fulani wao crdb watahamisha pesa (dollar) kutoka kwenye akaunti yao kwenye us bank kwenda kwenye akaunti ya Baroda ya dollar pia kwenye us bank alaf baroda watamuingizia huyo supplier kwenye akaunti yake ya rupee sawa na kiasi cha dollar walizopokea.

Ili dollar ihamwe sio jambo rahisi. Kitu kikubwa dollar ina stability/trust na uwezo wa kununua bidhaa muhimu duniani i.e. oil. Hauhofii kuamka asbh na kukuta imashuka thamani kwa % kubwa pia bila dollar ndio pekee utayoweza kununulia mafuta. Ndio sababu kila mtu anataka dollar.
Umekosea mkuu, fuatilia upya...Dhahabu ndio kipimio halisi cha currency yoyote duniani, umeikuta dola ndio ulinganifu wa currency KWASABABU...
The way US anavyo-impose sunction kwa nchi asiyoipenda ndivyo alivyoshinikiza dola iwe mlinganyo wa mauziano ya bidhaa duniani baada ya kuona uchumi wake haukui kwa kuprint dola linganifu na hazina(us reserve) yake ya dhahabu...

Kwenye mashinikizo yake alikua na nguvu kipind hcho kwenye mifumo mingi ya kifedha unayoijua wewe..ili kupunguza competition akapendekeza hilo wazo la kuitoa dola kwenye ulinganifu wa dhahabu na kuipanga yenyewe ndio iwe "dhahabu" dhidi ya currency zingine zote duniani,
Ilipofanikiwa kuipitisha, akaprint dola za kutosha dunia, sio za kutosha reserve ya marekani tena bali reserve ya dunia nzima... (aka-assume kinguvu rasilimali zote duniani ni za USA) nguvu alinazotumia kushawish west wazipige nchi zngne sunction ndio nguvu aliyotumia kufanya hayo.

Kwahiyo tukirudi kwenye ulinganifu halisi wa gold inamaanisha nchi zote zenye rasilimali asilia kutoka ardhi ya ALIETUUMBA ndie atakua na nguvu halisi kwa wale watakaofanikiwa kuzivuna na kuziweka kama reserve zao..

Hizo dola zitashuka thamani kuliko ilivyoshuka hela ya uganda kpindi cha vita au zimbabwe kipnd wazungu wanaondoshwa huko, maana dola zote zikirudi USA fikiria ni anguko la kiasi gani atapata, ndio maana ni mkali kwelikweli, na akitaka asianguke asikubal dola zirud kwake, wale anaowadai warudishe madeni kwa kutumia dhahabu, vinginevyo kilio chake atakituliza kwa vita ya nyuklia kwa huyu aliemsababishia haya yote, hawez kubali kushindwa, atasema bora wote tukose tuanze upya.

Ila kama unamuonea huruma USA mpambanie ndugu yangu..mzungu wako asianguke...pambania unapofurahisha moyo wako..
 
Ndivyo mambo yalivyo kwenye dunia hii. Kuna mmoja kwenye mbio za km 10 amepewa head start ya 30mnts. Mfumo niliougusia ndio najua mambo yalivyo kwa jinsi nilivyopitia makbrasha mbalimbali. Hata kwa Swift huwezi transfer pesa kwa mabenki mawili ya nchi tofauti yasiyokuwa na uhusiano bila kuwa na 3rd party/intermediary bank ambapo USd lzm ihusike na fees zake pia huwezi kuzikwepa. Na transaction nyingi sasa zinahusisha mabenki yasiyo na uhusiano.

Haina maana ni mfumo fair na sijasema ni mfumo fair. Ndio maana juhudi za kuikimbia dollar ni kubwa kila pembe ya dunia asante pia kwa mfano wa Euro. Je, kujitoa kwa UK kwenye EU kuna uhusiano na hili pia?

Point yangu ni kwamba tusifikirie ni kitu kirahisi kuihama
Mmmh kawaida kutizama kitu kimoja kila mtu akawa na uelewa wake kulingana na kile ambacho tayar anakifaham juu ya kile alichokiona.

Ngoja nijaribu kufupisha kwa paragraph 4 ama 5 ikizidi sana unisamehe kwa maelezo mengi ila zaidi nitakisema kile unachowaza ndicho.

Foreign exchange ni free market haiko under any government ya nchi yoooooyote duniani. It's market itself that determines rate ya pesa husika kulingana na demand and supply yake sokoni. Hil la kwanza lishike....

Pili ndani ya Forex as nilivyosema mwanzo kuna kitu inaitwa trade pair. Zipo kama hivi lel me screen shot some ya hizo trade pair.
1000000762.png


That way ndivyo Exchange hufanyika, I mean one currency to another... kwa kukuuza na kununua.

Conditions pekee ya scenario kama unayo izungumzia zitatokea endapo kutakua na mfano wa mambo kama haya...

1. Bank husika haina ile fedha unayo ihitaji.
Kwa mfano naenda bank kama TPB, nahitaji kutuma "Angolan Kwanza" kwenda Angola. So kama TPB bank on their reserves hawana hii pesa ya Angola itawabidi watumie mbadala kama huo unaouzungumzia na sio lazima iwe dollar ni pesa yoyote iliyo kwenye reserves yao ambayo pia iko available sehem inakohitaji kwenda.

Inaweza ikatumika pound, euro n.k watakayoona ina faida kwao kwa wakati huo kulingana na rates zilizopo.

Lakini endapo kama Bank husika inakua na reserves ya pesa husika unayo ihtaji basi haitakua na uhitaji wa kuibadilisha kwanza to X ndio iende kua Z.

Mfano kama unataka Canadian dollar na bank husika wanayo hiyo pesa basi itatumwa moja kwa moja kwa kutumia rate za TSH/CAD directly.

Mfumo wa pesa ndivyo unavyofanya kazi kwa float, duniani hakuna nchi iliyo na reserves ya 200 currencies kutoka nchi zote duniani. Ndio maana unaona kile unachokiona kikifanyika... Na hapo ni if and only if bank husika inakua haina currency husika.

Hivyo basi kwa exchanges mfano kama KES, UGX, EURO, British Pound n.k mbali na USD hizi kwa bongo hufanyika directly wala dollar haihusiki kwasabab 'floats' ya hizo currency bank nyingi wako nazo. Exception ipo kwa currencies ambazo banks hazina kwenye reserves zao.

Condition ya pili ya situation unayoizungumzia ipo kibiashara zaidi.

Kwa mfano labda unakuta TSH imeshuka thaman against Dollar au any other currency. Af mhusika anayehitaji mathalan currency ake ipo strong against dollar au any other currency kwa mda huo. Ndio atahitaji kifanyike hicho unachokizungumzia hapo no matter trade pair husika ipo au haipo.

Atataka first uibadil yako to the strongest agaisnt yako kwa wakati huo ambapo utaingia gharama zaidi. Kisha yeye kuibadilisha ile strongest kwako ambayo n week kwake kwa bei ya chini hivo kupata kingi zaidi.

Kama mwanzo ilikua ni ye apate 200 kwa direct exchange basi anapata 250 kwa indirect exchanges.

I can agree with you kwa jicho jepesi kua ni ngumu ila kwa jicho pana inawezekana saaana tu. Nchi nyingi zilikua na hadi sasa zimejivika utumwa wa aina wake wa kuhifadhi pesa za hawa wehu kama reserves currencies. Ukitembelea banks nyingi utakuta zina USD, EURO, POUND, CAS, YEN, YUEN n.k yani zile top notch.

Lakini kila kitu kina sababu na siku sababu ikiondoka ndio mwanzo wa kitu husika kutoweka.

Hii safari ya kila day tunasikia bilateral agreements zikifanyika baina ya nchi na nchi ndio mwanzo wa kumuondoa dalal wa kati.

Asante kwa kuuzingatia mfano wa EU na Euro yao,

Umoja huo una nchi zaidi ya 27, kila nchi ilikua ina currency yao. Mfano German hadi 2002 alikua akitumia Deutsche Mark later akaingia EURO mazima. Poland kuna Polish Zloty, ambayo hadi sasa wanaitumia nje ya Euro. Tangu kuanzishwa kwa Euro kuna zile zilzo ditch currencies zao za awal mazima na kuna zile ambazo bado wanazitumia.

It has been 24 years sasa, na huenda bila ujio wa pesa ile na ukuaji wa uchumi kwa Asia huenda leo hii kusingekua na currency nyingine yoyote tofauti na USD.

Mwisho tu nirudie nilichokisema awali, once sababu ya pesa hizo kujazana hazina ikitoweka kitakachofata ni 🚮🚮🚮.

Kibaya zaidi hizi currencies za hawa washenzi haziko pegged to anything... Ziko solely zategemea demand yake sokoni. As demand goes off the chart kwa supply iliyopo thaman zake inaenda zinashuka.

Last year nakumbuka niliwah toa mfano enzi zile thaman ya Euro against Tsh inavyoporomoka. Kutoka around 2700+ iliposhuka hadi kua almost sawa na dollar. Anguko la over 10% in Values ikiwa na maana ya kama mtu alitumia Mil 100 Tsh kuiweka akiba in Euro basi leo hii akihitaji pesa yake kwa rates zilizopo basi hatopata ile Mil 100 bali less than 90Mil Tsh kwasabab ya kuporomoka thaman Euro against Tsh.

Kama hiyo ni just Mil 100 tu kuna upotevu wa zaidi ya Mil 10 je National reserves wamepoteza kiasi gani?????

Ukiona na uchawa wetu wote tunaamua kuingia agreement na nchi kama India kufanya bilateral trade kwa kutumia currency zetu wenyewe ujue hali ni tete ingawa as a country hutokaa usikie serikali wanasema hivi na vile maana kutazuka tafran ya aina ake 😂😂😂😂. Na hapo hatutotumia dollar kwa biashara kati ya TZ na India ila haina maana ya kujitoa kwenye SWIFT system ambayo unahisi transaction zote within ni lazima ziwe kwa dollar.

Any way bro Triga nisikuchoshe, nilisema paragraph 4 hii sijui naandika ya ngapi.
 
[emoji779]️Overnight, Ukrainian defenders shot down 16 out of 21 Shahed-type drones amid Russia's attack against Ukraine, the General Staff of Ukraine's Armed Forces reported.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mnama una uraibu wa kupost jamvin

Na ndio maana ikitokea hakuna latest unalazimika kutuma post za zaman ili mrad utume

Mwamba atakutafutia dawa ya kuondokana na hio hali

Pole sana mnama View attachment 2561307

Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
Sawa[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]


Kishida vowed that his country would help Ukraine “with the greatest effort to regain peace” during a visit to Kyiv on March 21. Kishida’s visit to Kyiv occurred as Chinese leader Xi Jinping was visiting Moscow.

Meanwhile, the Pentagon said on March 21 that the U.S. would provide an older version of the M1 Abrams tanks to speed up the delivery.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mkuu najiuliza kama unatumia maneno yako ukitaka kuwatukana matusi tu? Au unaamini kweli kwamba kuna uhalisia fulani juu ya mambo ya lgtb?
Yaani una mifano kweli kwamba viongozi wa nchi za NATO ni washoga? Au ni watu waliobadilisha jinsia? Kama ni vile, nashukuru ukitaja mifano na sababu zako.
Mkuu sikupi sababu unazotaka bali nakupa ushahidi....
Kwanza huwezi linda maslahi usiyonufaika nayo kwa gharama kubwa kiasi upo tayari hata kupindua serikali za wenzio au hata kufanya mauaji...yaani lgtb v/s serikali tetezi... kwanini sodomy itetewe hadharani na serikali kama sio watetezi ni wahusika kwa asilimia kubwa? Fact ni kwamba..watetezi ni wahusika wakubwa either kwa matendo yao binafsi au kwa kulipwa na lgtb wenyewe..
Usikatae ki-propaganda..huwezi kataza kitu unachopenda na huwezi tetea na kulinda kitu kisicho chako/kisichokunufaisha

N.B sijatukana yeyote bali nimewaita WANAVYOJIITA=jina lao wanalojitangaza nalo ni lgtb society....nembo yao ni rangi zinazokaribiana kwa mpangilio na rangi za upinde wa mvua..sasa utuambie nawewe unawatetea ni mmoja wao au wakala wao au shabiki wao tuu..huwez sema vinginevyo maana wanajitangaza hivyo, wewe unanishutumu nawatukana..ajabu iliyoje
 
Mkuu, siwezi kutambua kwamba Ukraine ni "best army" kuliko nchi yeyote ya NATO.
Lakini nina swali: ukimwita Biden "shoga", je unataka kumtukana tu au una sababu yoyote kuamini yeye ni shoga? Ukiwa na sababu, nashukuru ukieleza kifupi "shoga" ni nani na jinsi gani yule babu Biden anapaswa kuitwa vile.
(najaribu kuelewa siri ya lugha hiyo kuhusu NATO au "magharibi" kuwa washoga, LGBT na kadhalika)
Wanajitangaza wenyewe na wameweka sheria na sera nyingine wanazipenyeza hadi kwenye nchi za wengine hasa wakati wa hitaji fulani...sasa wewe unawafichia kwenye wanalolipigania waziwazi unataka kumaanisha nini? Nini lengo lako?
 
Mkuu nakumbuka kwamba nilitaja changamoto ya kifizikia kutumia roketi ya hypersonic pamoja na rada ambayo inahitajika kulenga kwa umakini hasa kama lengo inasogea. Nilirejelea makala iliyomtaja mtaalamu mmoja -
Jinsi ilivyo mara nyingi, hakuna aliyejaribu kujibu hoja. Badala yake lugha ya kawaida kuhusu "propaganda ya NATO" au "wamagharibi". Ukipenda kujadili - angalia Putin's 'invincible' missile has a very common problem
Ulikua hujafuatilia...ulikua na ushabiki mwingi...vinginevyo itakua wewe ni mpotoshaji hapa jukwaani..yaan manipulator
 
Umekosea mkuu, fuatilia upya...Dhahabu ndio kipimio halisi cha currency yoyote duniani, umeikuta dola ndio ulinganifu wa currency KWASABABU...
The way US anavyo-impose sunction kwa nchi asiyoipenda ndivyo alivyoshinikiza dola iwe mlinganyo wa mauziano ya bidhaa duniani baada ya kuona uchumi wake haukui kwa kuprint dola linganifu na hazina(us reserve) yake ya dhahabu...

Kwenye mashinikizo yake alikua na nguvu kipind hcho kwenye mifumo mingi ya kifedha unayoijua wewe..ili kupunguza competition akapendekeza hilo wazo la kuitoa dola kwenye ulinganifu wa dhahabu na kuipanga yenyewe ndio iwe "dhahabu" dhidi ya currency zingine zote duniani,
Ilipofanikiwa kuipitisha, akaprint dola za kutosha dunia, sio za kutosha reserve ya marekani tena bali reserve ya dunia nzima... (aka-assume kinguvu rasilimali zote duniani ni za USA) nguvu alinazotumia kushawish west wazipige nchi zngne sunction ndio nguvu aliyotumia kufanya hayo.

Kwahiyo tukirudi kwenye ulinganifu halisi wa gold inamaanisha nchi zote zenye rasilimali asilia kutoka ardhi ya ALIETUUMBA ndie atakua na nguvu halisi kwa wale watakaofanikiwa kuzivuna na kuziweka kama reserve zao..

Hizo dola zitashuka thamani kuliko ilivyoshuka hela ya uganda kpindi cha vita au zimbabwe kipnd wazungu wanaondoshwa huko, maana dola zote zikirudi USA fikiria ni anguko la kiasi gani atapata, ndio maana ni mkali kwelikweli, na akitaka asianguke asikubal dola zirud kwake, wale anaowadai warudishe madeni kwa kutumia dhahabu, vinginevyo kilio chake atakituliza kwa vita ya nyuklia kwa huyu aliemsababishia haya yote, hawez kubali kushindwa, atasema bora wote tukose tuanze upya.

Ila kama unamuonea huruma USA mpambanie ndugu yangu..mzungu wako asianguke...pambania unapofurahisha moyo wako..
Nimekupata. Yaani ukitaka mafuta ya saudia inabidi uwe na dollar na ili kuipata dollar ni lzm uuze kitu USA au ununue kutoka nchi nyingine yenye reserve ya dollar ambapo nayo itakuwa imeipata kwa kuuza us wakati US yeye dollar anaipata kwa kuichapa tu kwenye printa chumbani[emoji1787]

Ila huko kurudi kwenye dhahabu sasa labda turudi kwa vita. Mzee mzima hatokubali
 
Back
Top Bottom