Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Umri na kuelewa mambo havina uhusiano. Wewe unayedhani kwamba unaelewa kama inashindikana kujieleza ueleweke, hilo litakuwa ni tatizo lako siyo langu. "Basic Knowledge" kwa nani??Nenda Google Translate ukatafsiri kwa kiswahili?
Hizi basic knowledge zinakuzingua utaweza kujadili international matters?
Umri wako ni miaka mingapi?
Ninachojua ni kwamba Mataifa mengi duniani China na Urusi zikiwemo yanaitegemea Marekani na Marekani inayategemea mataifa hayo. Chuki kwa Marekani haiondoi ukweli kwamba kwa sasa yenyewe ndiye kinara wa uchumi na kijeshi duniani!!