Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Huyu jamaa kiboko 🥱🥱🥱[emoji116][emoji116][emoji116]


[emoji298]️Volodymyr Zelensky visited frontline positions of the Ukrainian military in the Bakhmut area.

The President also awarded defenders of Bakhmut, the President's website reported.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app

Zelensky angeuliwa mapema, hii SMO na yenyewe ingeliisha mapema sana na objectives zingine za hii SMO zisingeweza kufikiwa.

Assume ingeeisha mwaka jana mwezi wa 5 huko, tusingeweza kuona jinsi ma bank ya US yanavyofilisika. Au tusingeweza kuona weaknesses za westerns.

Kwa hiyo, acha SMO iendelee mpaka pale malengo yake yatimie.
 
Assume ingeeisha mwaka jana mwezi wa 5 huko, tusingeweza kuona jinsi ma bank ya US yanavyofilisika. Au tusingeweza kuona weaknesses za westerns.
Hayo mabenki ya USA hayafilisiki kutokana na hii vita. Kama kufilisika kwa Sillicon Valley Bank unataka kuhusisha na hii vita unakosea sana. Wakati ule Lehman Brothers inafilisika kulitokana na nini??
 
Venus Star mjadala wako ulianzia mimi nilipouliza swali kwa sentensi hii. Sasa fuatilia niliuliza nini halafu uangalie na swali lako unalotaka lijibiwe wewe unavyotaka lijibiwe.
Ndio kwa sababu ushahidi upo huyo USA alishaharibu nchi kwa kutumia Nuclear weapon?
Alipozidiwa huko Yugoslavia akaamua kuwapiga wasebia kwa mabomu ya Nuclear.

Kwenye vita vya pili vya dunia baada ya USA kuzidiwa kule Pearl Harbor akaamua kushusha mabomu ya Nuclear kule Hiroshima and Nagasaki.

AU mwenzetu hujui hilo?
 
Ukitaka kuona kwamba huo "umoja" wao si halisi, hata hilo jina lenyewe la BRICS walipewa na wamarekani. Kuna watu hawajui kwamba Marekani inategemewa siyo kwa hiyari bali kwa uhalisia. Leo hii hapa Tanzania kuna watu wangapi wenye uwezo wa kununua viatu aina ya Oxford - lace Up vinavyotengenezwa na Kampuni ya Santoni ya Italia kwa dollar za KImarekani 1,640 ambazo ni sawa na shilingi za Kitanzania 3,836,780? Lakini Marekani kuna wateja wa kutosha wa viatu hivyo.

Kwa ivo kupambana na Marekani ni sawa na kupambana dhidi ya chumi zao wenyewe!!
Aisee ww jamaa ni either umri wako bado mdogo, au uwezo wako wa kuchambua mambo au ufahamu wa issues specially geopolitics ni wa kiwango kidogo mno..!!!

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Hayo mabenki ya USA hayafilisiki kutokana na hii vita. Kama kufilisika kwa Sillicon Valley Bank unataka kuhusisha na hii vita unakosea sana. Wakati ule Lehman Brothers inafilisika kulitokana na nini??

Ningeweza kukujibu na kukuelewa connection kati ya hii SMO na kufisika kwa western economy (including banking industry).

Sema siwezi kwa sababu ya mambo yako ya kuleta ubishani wa kitoto.
 
Balance of power ama nyie kwa maneno yenu mnataka US isiwe na nguvu kabisa!!?? Msiwe kigeugeu!!
Hakuna asiyetaka Marekani kuwa na nguvu. Ndiyo maana Urusi aliondoa silaha za Nuclear huko Cuba.
Marekani lipewa nafasi ya kusaidia dunia katika Currency kwamba dunia itumie $ kama currency ya kuuziana kwenye international business.
Lakini cha kushangaza USA na washirika wake wameifanya dollar kuwa silaha. Sasa unataka huyu aendelee kujitanua na kunyanyasa watu?
1. Vietnam aliua watu wengi
2. Yugoslavia
3. Iraq
4. Afghanistan
5. Libya
6. Syria
7. Somalia

Sasa mwenzetu unataka USA asiweze kufugika?
 
Mi machozi yametoka kwa kitendo walicho mfanyia hao yani wanapigana kistaarabu, hapo aombe atakaokutana nao tena wasiwe kwenye hasira wamwache bora awe mateka ama arudi akaungane na familia yake
Huyo akifika kwa wenzie hawamwachi salama...wanamchapa risasi kama zote kama wale waliobeba bendera nyeupe wanajisalimisha kwa warusi, kitu walifanywa na waukrain wenzao hadi nlijiskia macho yana majimaji km machoz hivi..
 
Balance of power ama nyie kwa maneno yenu mnataka US isiwe na nguvu kabisa!!?? Msiwe kigeugeu!!
Halafu ninaendelea kuongeza hapa. Leo nataka nikupatie elimu.
NATO iliundwa kwaajili ya Defense. Sasa wanaenda kufanya nini kwenye nchi zingine? Leo wanataka kila nchi ifanye ushoga. Je, uhuru wa kila nchi upo wapi? If there is no control of this kutakuwa hakuna maana ya uhuru na maana ya UN tena.
 
Ningeweza kukujibu na kukuelewa connection kati ya hii SMO na kufisika kwa western economy (including banking industry).

Sema siwezi kwa sababu ya mambo yako ya kuleta ubishani wa kitoto.
Huna hoja. Kama ungekuwa nayo ungeweka. Hakuna mahusiano ya kufilisika kwa Sillicon Valley Bank na vita ya Urusi na Ukraine!!
 
Back
Top Bottom