MR MAJANGA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2014
- 3,526
- 10,820
Kama huyu west anasema hivi Mimi ni Nani nipinge???
Muda wa kuitisha China haipo kinachotakiwa ni marekani arekebishe mindset yake kuwa muda wa kuongoza dunia umeisha
Jaribu kujenga hoja. Usilete maelezo ya kimsisimko kama ndiyo uhalisia. Mimi siwatetei wamarekani bali natetea uhalali wao wa kuisaidia Ukraine!Tunakufaham ndio maana unawatetea wamarekani sana hapa.
"Propaganda Imefeli japo bado inanguvu" what in the hell is even that!?What has been said on depleted uranium (DU) so far?
News that the UK is supplying weapons to Ukraine that contain depleted uranium has sparked a flurry of reaction from political figures in Russia.
DU is used in weapons because it can penetrate tanks and armour more easily due to its density and other physical properties.
Accusations by Russia that it means edging towards a nuclear escalation in the war have been firmly rejected by the UK, which says the ammo is conventional.
Move has angered Russia
Following the announcement yesterday, Vladimir Putin said Moscow would react if the UK sent the armour-piercing rounds to Ukraine.
Russia's president says the move heralds the West switching to supplying Kyiv with weapons containing nuclear components.
His comments were later echoed by Russian defence minister Sergei Shoigu, who was quoted by Russian news outlet Interfax as saying there is potential for a "nuclear collision" between Moscow and the West over the move.
Meanwhile, Russia's foreign minister Sergei Lavrov said the UK's supply of weapons containing depleted uranium brings the conflict to "new and dangerous levels".
We also reported at 2.30pm that deputy foreign minister in Russia, Sergei Ryabkov, said it meant the probability of nuclear conflict is now "at its highest level in decades".
What has the UK said about it?
In response to Mr Putin's comments yesterday, the UK defence ministry said Vladimir Putin is "deliberately trying to disinform" by publicly criticising its decision to send ammo containing depleted uranium to Ukraine.
It said the material has been used in British Army shells "for decades" and has "nothing to do with nuclear weapons or capabilities".
UK Foreign Secretary James Cleverly has also insisted there is no nuclear escalation in the Ukraine war.
He said: "The only country in the world that is talking about nuclear issues is Russia.
The move "is purely about helping Ukraine defend itself," he said.
=========================
Propaganda ya Urusi kuhusisha Depleted Uranium (DU) na silaha za nyuklia imefeli, japo bado hii propaganda ina nguvu.
Ukitaka kuona kwamba huo "umoja" wao si halisi, hata hilo jina lenyewe la BRICS walipewa na wamarekani. Kuna watu hawajui kwamba Marekani inategemewa siyo kwa hiyari bali kwa uhalisia. Leo hii hapa Tanzania kuna watu wangapi wenye uwezo wa kununua viatu aina ya Oxford - lace Up vinavyotengenezwa na Kampuni ya Santoni ya Italia kwa dollar za KImarekani 1,640 ambazo ni sawa na shilingi za Kitanzania 3,836,780? Lakini Marekani kuna wateja wa kutosha wa viatu hivyo.Sasa huoni kuwa kama mrengo wao unafanana kiutawala? Mkishakuwa wafungwa wote mnakuwa wamoja tu bila kujali umri na uwezo kiuchumi.
Huo ndiyo ukweli!!Marekani aruhusu kama nani? 🤣
Hebu acha kuwa na akili za kishosti basi yani we marekani unaona ana hati miliki ya kupangia wenzie vya kufanya kwa kuwa yeye ni Mungu au kitu gani? 🤣
Marekani kama nani?? Hili swali umeuliza kirahisi sana wakati hukupaswa kuliuliza kabisa. Kwenye ulimwengu wa sasa unauliza Marekani kama nani? Kwani alipoiwekea vikwazo Iran isiuze mafuta yake duniani aliiwekea kama nani?Marekani aruhusu kama nani? 🤣
Hebu acha kuwa na akili za kishosti basi yani we marekani unaona ana hati miliki ya kupangia wenzie vya kufanya kwa kuwa yeye ni Mungu au kitu gani? 🤣
Urusi ndiyo huwa inatishia kila wakati kutumia Nyukilia kila wakati inapozidiwa.Zikawa launched toka Black Sea kwenye mameli ya mrusio, shida ya US akizidiwa atakimbilia Nuclear sababu hatokubali defeat.
Hiyo mada ya Osama bora ukae kimya tu hujui usemalo upeo wako mdogo sana wa kujua mambo.Kwa ivo kuitungua na kuijuia teknolojia iliyotumika kuitengeneza vinahusianaje? Kwenye Operesheni ya kumkamata Osama ni kwa nini Marekani waliilipua ile helkopta yao iliyopata ajali??
Teknolojia haitegemei mapenzi bali imegunduliwa wapi.
🤣🤣🤣🙈🙈 Umeongea wewe lakini aibu nimeona mimiUkitaka kuona kwamba huo "umoja" wao si halisi, hata hilo jina lenyewe la BRICS walipewa na wamarekani. Kuna watu hawajui kwamba Marekani inategemewa siyo kwa hiyari bali kwa uhalisia. Leo hii hapa Tanzania kuna watu wangapi wenye uwezo wa kununua viatu aina ya Oxford - lace Up vinavyotengenezwa na Kampuni ya Santoni ya Italia kwa dollar za KImarekani 1,640 ambazo ni sawa na shilingi za Kitanzania 3,836,780? Lakini Marekani kuna wateja wa kutosha wa viatu hivyo.
Kwa ivo kupambana na Marekani ni sawa na kupambana dhidi ya chumi zao wenyewe!!
Allen Kilewella katika ubora wake.Urusi ndiyo huwa inatishia kila wakati kutumia Nyukilia kila wakati inapozidiwa.
Mkiwa mnawajibu watu muangalie na upeo wao. Mnapoteza nguvu nyingi sana Kwa mtu ambaye hata kwa picha anashindwa kutambua kama zama za USA umefika ukingoni.Allen Kilewella katika ubora wake.
Hebu tuambie huko Yugoslavia na Japan ni nani alitumia Nyukilia?
Vitu hivi unavijuaUrusi ndiyo huwa inatishia kila wakati kutumia Nyukilia kila wakati inapozidiwa.
Asante kwa kunijulisha hilo.Mkiwa mnawajibu watu muangalie na upeo wao. Mnapoteza nguvu nyingi sana Kwa mtu ambaye hata kwa picha anashindwa kutambua kama zama za USA umefika ukingoni.
Tusubiri tuone. Maana upeo inategemea unaangalia wapi.Mkiwa mnawajibu watu muangalie na upeo wao. Mnapoteza nguvu nyingi sana Kwa mtu ambaye hata kwa picha anashindwa kutambua kama zama za USA umefika ukingoni.
Allen Kilewella nakuomba ujibu swali langu.Tusubiri tuone. Maana upeo inategemea unaangalia wapi.
Lipi?Allen Kilewella nakuomba ujibu swali langu.