D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Prigo na barua zake




Mi machozi yametoka kwa kitendo walicho mfanyia hao yani wanapigana kistaarabu, hapo aombe atakaokutana nao tena wasiwe kwenye hasira wamwache bora awe mateka ama arudi akaungane na familia yakeVIDEO
Da! Kwa mara yakwanza Nimemuonea Huruma Mwanajeshi wa Ukrein Kiukweli Nimesikitika sana Nimepatwa na Moyo wa Huruma
Mwanajeshi wa Ukrein Kazingirwa kila Pande
Kawakwepa PMC Kumbe juu Drone Ipo naye
Tena Ikashuka Karibu kiasi Akaiona
Kajitahidi Ku Tambaa wapi Mwishoe Kaunuka na Kuomba Aisiuliwe Yaani kanyosha mikono 2 Kisha Aka Sujudu Akiomba Huruma kwa Drone
Lakini Wakamshushia Kombora Japo ni Pembeni yake Da!
View attachment 2561752
Vikwazo vinafanya uraàaaaaaaaa [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]Wapo Busy Na Silaha UkreinView attachment 2561837
Tuliwaabia Russia sio Zimbabwe,wakabisha[emoji4]Muda si mrefu kuanzia sasa US Federal Reserve wanaenda kutangaza increase in Interest rates
Hali ya Inflation huko USA imezidi kuwa mbaya.
Tutarajia ma bank kuendelea kuwa bankruptcy
Vipi kuhusu humu JF, je nao watimuliwe au waondoke ???!!! Nauliza tu...Uganda Kama ugandaView attachment 2561687
hii vita imetudhihirishia wazi,uchumi wa USA uko overrated sana[emoji4]Muda si mrefu kuanzia sasa US Federal Reserve wanaenda kutangaza increase in Interest rates
Hali ya Inflation huko USA imezidi kuwa mbaya.
Tutarajia ma bank kuendelea kuwa bankruptcy
ni sawa na kutikisa mbuyu,ukaishia kutikisika matako yako mwnyw [emoji4]Muda si mrefu kuanzia sasa US Federal Reserve wanaenda kutangaza increase in Interest rates
Hali ya Inflation huko USA imezidi kuwa mbaya.
Tutarajia ma bank kuendelea kuwa bankruptcy
Mambo yanazd kua mambo,Wapo Busy Na Silaha UkreinView attachment 2561837
Uturuki ni Ulaya kwa ivo hoja yako ya utetezi inakosa mashiko!!Uturuki tu ina wakimbizi kutoka Syria takriban 3.7m.
Uhalisia kuhusu nini?? Maana inawezekana uhalisia wa jambazi ni kwamba anaua kwa kuwa amesoma mpaka chuo Kikuu na hakuna kazi kwa ivo anaona ni halali kuua ili apate pesa!! Lakini huo uhalisia wa Jambazi ni HALALI??Hatupo kwenye imani tupo kwenye uhalisia wewe mjinga usiyetaka kuelimika
Hawa waliokuwa wanalazimisha kila taifa liwe upande wao kwenye huu mgogoro wa Ukraine,? USA wameanza kuchanganyikiwaChina and Russia don't have 'power' of United States, White House says
US National Security Council spokesperson John Kirby has been speaking at a White House news conference in the last hour, during which he was asked about the extent to which China and Russia were challenging the global influence of the US.
"No other nation in the world, none, has the network of alliances and partnerships that the US has," he said.
He went on to reference the 10th Ukraine Defence Contact Group meeting hosted by the US, each one of which he said had been attended by representatives of more than 50 nations.
"That's the power of American convening leadership. And you don't see that power out of Russia and China," he said.
"These are two countries who do not have that same network of friends and partners.
"And one of the reasons why you're seeing that tightening relationship [between China and Russia] is because they recognise that they don't have that strong foundation of international support for what they're trying to do, which is basically challenge American leadership around the world."
Mr Kirby also told reporters that China was still considering providing lethal aid to Russia.
He urged Mr Xi to speak to Volodymyr Zelenskyy about the impact of the war on Ukraine.
"We encourage President Xi to press President Putin directly on the need to respect Ukraine's sovereignty and territorial integrity. The world and China's neighbours will certainly be watching closely," he said.
The Chinese and Russian leaders seemed to be connected in "a bit of a marriage of convenience" rather than one of affection, Mr Kirby said.
"These are two countries that have long chafed at US leadership around the world," he said.
![]()
John Kirby speaking at the White House todayAP
https://news.sky.com/story/ukraine-...meeting-12541713?postid=5660952#liveblog-body
Wamechanganyikiwa kivipi?? Umeisoma hiyo taarifa vizuri? Hebu weka nukuu kuonesha kwamba USA wamechanganyikiwa!!?Hawa waliokuwa wanalazimisha kila taifa liwe upande wao kwenye huu mgogoro wa Ukraine,? USA wameanza kuchanganyikiwa
Kweli?? Uko "Overated" kivipi? Yaani huu uchumi ni mdogo kuliko ule wa wakati wa "Great Depression"?hii vita imetudhihirishia wazi,uchumi wa USA uko overrated sana[emoji4]