Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Huyu jamaa kiboko 🥱🥱🥱[emoji116][emoji116][emoji116]


[emoji298]️Volodymyr Zelensky visited frontline positions of the Ukrainian military in the Bakhmut area.

The President also awarded defenders of Bakhmut, the President's website reported.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Jamaa anajiamini, kaenda mchana kweupeee....

Yule mharifu kaenda gizani

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Kama hujui ni kwamba Maduro alinunua hizo Leopard, na Maduro alikuwa Swahiba wa PUTIN,,

Ukisikia Medvedev anasema zileteni Tuzikaange , usifikiri anatania.

We subiri ziende, zipate kilichozipata HIMARS
Maduro atakuwa amewapa tips Russia jinsi ya kuzikaanga. Na Russia watakuwa labda wametumia Maduro azinunuwe harafu Russia azifanyiye research kwa kina.
 
Kama Ufaransa ndiyo wakiukaji wakubwa sana wa Demokrasia ni kwa nini maelfu ya waarabu wanaogombana huko kwao badala ya kukimbilia kwa waarabu wenzao wa jirani wao hukimbilia Ufaransa!!
Unazungumzia nini

Uturuki tu ina wakimbizi kutoka Syria takriban 3.7m. Kuna nchi ya Ulaya ambayo ina walau wakimbizi kutoka Syria 1000k!? Nchi za kiarabu kama Kuwait, Saudia, zina maelfu ya mamia ya wasyria. Kelele zote kutoka west na hakuna msaada wa maana wanaotoa.

Turkey, 3,648,983
Lebanon 831,053
Jordan 675,433
Germany 664,238
Iraq 262,756
Egypt 143,803
Sweden 113,213
Sudan 93,480
Austria 67,588
Netherlands 53,496
Greece 41,594
France 39,091
Bulgaria 22,226

Hii ni wakimbizi kutoka Syria. Nchi zinazoongoza kuwahost hawa watu unaziona hapo wacha kutuambia mbn hawakimbilii kwa ndugu zao wanakimbilia ulaya. Ulaya ipi!? Na kwanza mess kwenye nchi za middle east Syria, Iraq, Afghanistan imeletwa na west kwa nini hawataki wakimbizi na hali ya kuwa wao ndio wachafuzi!?

Kwanza hao wanaojiita matajiri wa dunia wala hawataki wakimbizi kwenye mataifa yao. Ukiwasikia wanapiga kelele za hatari ya wimbi la wakimbizi kwenye nchi zao utafikiri kuna wakimbizi milioni 5 kwenye kila nchi kumbe hamna kitu. Uchoyo tu.

Turkey 3,673,808
Germany 2,234,932
Pakistan 1,539,554
Uganda 1,489,559
Russian Federation 1,458,388
Poland 1,210,582
Sudan 1,112,303
Bangladesh 929,681
Ethiopia 867,799
Iran (Islamic Rep. of) 840,739
Lebanon 835,714
Jordan 715,440
France 613,272

Hizi ndio nchi zinaongoza kwa watu kukimbilia duniani.
 
ukweli mchungu lazima usemwe
IMG_20230322_165745_561.jpg
 
Namshkuru Mungu nimefanikiwa kuuona mwanzo wa hii story itayovuma baadae.
"US, FALL OF AN EMPIRE"
Ni mtu mjinga pekee ambaye hawezi kuona hili.
Namuomba Mungu anifikishe niuone mwisho kabisa wa hii Story, US kuwa kama mexico tu au Bolivia.
Reasons for The Fall of Oyo Empire...... Tutaanza kuso!a na za US...
 
Mfumuko wa piga pale Kwa uncle UK[emoji28][emoji28]

UK inflation rate surprisingly jumps to 10.4 percent in February

Overall inflation for food and non-alcoholic drinks rose to 18.0 percent, its highest since 1977.

[https://www]

The increase in inflation in Britain contrasted with a fall in the US CPI rate to 6 percent in the 12 months to February [File: Hannah McKay/Reuters]

Published On 22 Mar 202322 Mar 2023

Inflation in the United Kingdom unexpectedly rose to 10.4 percent in February, pushed up by higher food prices and pricier drinks in restaurants, official data showed on Wednesday, a day before the Bank of England (BoE) announced its latest interest rate decision.

On Thursday, the BoE is due to announce whether it has raised interest rates for an 11th meeting in a row.



Investors are split on whether it will pause its run of increases in borrowing costs because of the recent upheaval in the global banking sector.

“Given the market movements of late, this puts the Bank of England in an incredibly difficult position as it may not be enough for the Bank of England to press pause on the rate hikes,” Richard Carter, head of fixed interest research at Quilter Cheviot, said.

The sterling rose against the dollar and the euro after the data was published.

Interest rate futures showed a 100 percent chance that the BoE would raise rates by at least a quarter point, up from just over 50 percent late on Tuesday.

“Food and non-alcoholic drink prices rose to their highest rate in over 45 years with particular increases for some salad and vegetable items as high energy costs and bad weather across parts of Europe led to shortages and rationing,” ONS chief economist Grant Fitzner said.

Higher alcoholic drink prices added 0.17 percentage points to the annual rate of inflation in February, while the increased cost of food and non-alcoholic beverages added 0.15 percentage points.

Overall inflation for food and non-alcoholic drinks rose to 18.0 percent, its highest since 1977.
 
Skonzi ni kibaraka wa US, yuko pale kwaajili ya maslahi ya US ndomana he doesn’t care about Germans. EU is just another state of America.
Wakati mwingine nafikiri Wajerumani wengi bado wana Chuki binafsi dhidi ya Taifa la Russia baada ya Russian Red Army ku-break spine ya jeshi la Hitler during WW2 kwa kulishinda vibaya sana - wanasema wanajeshi zaidi ya million 15 wa kijerumani walipoteza maisha kwenye eastern front line alone.

Mwanzo nilikuwa namuamini sana Angella Merkle kwamba may be ndiye yuko in good books na Putin - lakini kauli ya Merkel ya mwaka jana ndio iliniacha midomo wazi nakujiona kwamba kumbe I was dead wrong hasa aliposema kwamba makubaliano ya Minsk1&2 yaliyo kuwa yanasimamiwa na Ujerumani, Ufaransa na Balorusia kumbe ilikuwa ni kiini macho cha tu chenye lengo la kutaka ku-buy time ili Ukraine na some NATO troops wanao saidiana na jeshi la Ukraine wajiimalishe kijeshi halafu hapo baadae waje kuishambulia kwa nguvu Urusi - kauli hiyo tatanishi ya Agella Merkle ndio ilinifanya nitambuwe kwamba linapo kuja suala la Urusi - majority ya Viongozi wa Ujerumani bado wana inbuilt chuki dhidi ya taifa la Russia kutokana na kushindwa kwao vita ya WW2 chini ya Uongozi wa Field Marshal Zhukov's Russian Red Army. Sikilizeni kauli za Secretary General wa EU Mrs Von Leyern anapo zungumzia anything about Russia - ni chuki tu, mwanzo mwisho kumbe Baba yake au Babu yake aliwahi kuwa Generali wa jeshi la Hitler lililo wahi kuivamia Urusi - sijui kama alinusurika.
 
Super pawer kaishiwa [emoji2][emoji16][emoji28]


[emoji298]️Russia is taking Soviet T-54/55 tanks, which were produced in the 1950s, out of storage.

A group of researchers from the Conflict Intelligence Team notes that this is the first time this has been recorded. The tanks were spotted on trains in the city of Arsenyev, Primorsky Krai, where the Central Tank Reserve and Storage Base is located.

Radio Liberty showed satellite images of this reserve base taken on July 12, August 19, and October 2 last year. They show the base being emptied.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Zelensky Makes Surprise Visit to Bakhmut Area Frontlines

The President made a surprise visit to this front sector to get reports on the operational situation and express gratitude to the servicemen for protecting Ukraine.

Read more on our website.



Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Super pawer kaishiwa [emoji2][emoji16][emoji28]


[emoji298]️Russia is taking Soviet T-54/55 tanks, which were produced in the 1950s, out of storage.

A group of researchers from the Conflict Intelligence Team notes that this is the first time this has been recorded. The tanks were spotted on trains in the city of Arsenyev, Primorsky Krai, where the Central Tank Reserve and Storage Base is located.

Radio Liberty showed satellite images of this reserve base taken on July 12, August 19, and October 2 last year. They show the base being emptied.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mwaka huu wataleta kila aina ya silaha za kale

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
VIDEO

Da! Kwa mara yakwanza Nimemuonea Huruma Mwanajeshi wa Ukrein Kiukweli Nimesikitika sana Nimepatwa na Moyo wa Huruma
Mwanajeshi wa Ukrein Kazingirwa kila Pande
Kawakwepa PMC Kumbe juu Drone Ipo naye
Tena Ikashuka Karibu kiasi Akaiona
Kajitahidi Ku Tambaa wapi Mwishoe Kaunuka na Kuomba Aisiuliwe Yaani kanyosha mikono 2 Kisha Aka Sujudu Akiomba Huruma kwa Drone
Lakini Wakamshushia Kombora Japo ni Pembeni yake Da!


 
Back
Top Bottom