Muuza Viat
JF-Expert Member
- Dec 23, 2022
- 2,883
- 7,496
Uwezekano wa kutoka hai ni finyuSasa ghorofa likishuka wewe wa ndani unaponaje na bunduki ni non-stop!
Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
Uwezekano wa kutoka hai ni finyuSasa ghorofa likishuka wewe wa ndani unaponaje na bunduki ni non-stop!
Mtua alieendaliwa for years toka 2014 yuko tayari unasemaje hana ubora? 🤣Mkuu hapana.ukraine hakuwa best kijeshi kuliko member yeyote wa NATO(unamaanisha US,UK,france nk nuclear armed stete)
hapana mkuu jaribu kuchunguza tena.tena now nchi hizo ndio zinampa vifaa advanced vya kivita.
Aibu kubwa kwa super pawer, operation maalum ya kijeshi ya Saa 72 inageuka vita ya muda mrefu [emoji16][emoji16]Mtua alieendaliwa for years toka 2014 yuko tayari unasemaje hana ubora? [emoji1787]
Kwa matarajio hayo inaonesha mpango wa aman unafanyiwa kaziOdesa expects more than 19 million tourists at EXPO 2030. They will bring the town and the country more than 15 billion dollars.
In addition, EXPO will have a positive impact on foreign investment in Ukraine, as well as the growth of the gross domestic product.
#expo2030odesa
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hakuna mpango wa amani kwa Sasa,ni mwendo wa kumpa kipigo urusi mpaka aiteme Crimea [emoji28][emoji23]Kwa matarajio hayo inaonesha mpango wa aman unafanyiwa kazi
Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
Pia mkuu tuwe katikati.inajulikana kuwa russia fire power ni kubwa kuliko ukraine.pia russia anatengeneza mwenyewe siraha unlike ukraine nyrngi ni za kununua au msaada.Wewe ndio uchunguze
Baada ya euro maidan kama sijakosea mwaka 2014 mpaka mwaka jana kabla ya SVO huyo UKRAINE alikua anapata wapi silaha
Nazimeenda wapi kwasasa nahata hizo mpya anazopewa sasa baada ya SVO kuanza zimeenda wapi mpaka anataka nyengine
Ama silaha za west nidhaifu kiasi kwamba hazijaweza kuyatoa majeshi ya PMC tokea mwaka jana mpaka leo MAURIOPOL down BAKHMUT down soon SOLEDAR down nk nk
Kwa vikao tunavyokaliwa hivi tusipounga mkono upande wa multipolar Mungu atatuchukia sana, misaada yao tuone kama ni adui kwa vizazi vuetu, bora turudi zama za mawe tukajipange tuje bila kuwategemea hawa watu.Hizi mambo hazitokei bahati mbaya mdogo wangu.
View attachment 2560933
Hiyo ndio Africa yetu, so hawa vijana usiwashangae saaaaaana.
Video Credit kwa howardlite
Nakukumbusha tu, patriot air defense system bado haijawa deployed huko UkrainePia mkuu tuwe katikati.inajulikana kuwa russia fire power ni kubwa kuliko ukraine.pia russia anatengeneza mwenyewe siraha unlike ukraine nyrngi ni za kununua au msaada.
Mkuu hebu angalia hata mizinga ration ni 1:10-15.
Mkuu air defence ukraine ni airis T chache nasam chache na patriot 2 tu,s-300 kadhaa, wakati rusia ana mamia ya air defences-300,s-400 nk.
mkuu ndege vita russia ana maelfu,makombora maelfu unlike ukrain kila kitu ni msaada tena kidogo.
Sasa hao watalii watapata wapi ujasir wa kwenda maeneo ambayo mizinga inarindima muda wowoteHakuna mpango wa amani kwa Sasa,ni mwendo wa kumpa kipigo urusi mpaka aiteme Crimea [emoji28][emoji23]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Na ukishamkamata utamuweka wapi!? Nchi gani itakubali kumshikilia Putin kama mtuhumiwa!?Kwanza utaanzaje kumkaribia na kumshika mtu kama Putin. Yaani unaanzaje kumkaribia.
Putin ana ulinzi ardhini hadi angani ndege yake uwaga inasindikizwa na fighter jets pamoja na bombers.
Embu tuacheni hizi story za vijiwe vya kahawa vya kumkamata Putin.
Ndoto za alinachaKwa vikao tunavyokaliwa hivi tusipounga mkono upande wa multipolar Mungu atatuchukia sana, misaada yao tuone kama ni adui kwa vizazi vuetu, bora turudi zama za mawe tukajipange tuje bila kuwategemea hawa watu.
Watakwenda wakati urusi atakapokuwa amechakazwa na kufurushwa,Sasa hao watalii watapata wapi ujasir wa kwenda maeneo ambayo mizinga inarindima muda wowote
Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
Daaah, ingawa Siyo mchumi lakini naweza kukuambia kama Una taka kununua kitu Peru unaweza ukanunua Kwa pesa ya Peru maana system ya kibenk inaruhusu,Kwahiyo ndugu tuseme labda Tanzania itatubidi tuwe na pesa za inchi zote ulimwenguni ili tukitaka kufanya nazo bihashara tusitumie Dollar au Euro? Nafikiri changamoto za kukosekana kwa pesa moja yakutumika ulimwenguni kote ndiyo ulipelekea matumizi ya Dollar, inaleta ukakasi unaposema turudi kwenye bihashara za kubadilishana bidhaa ilo ni kupiga hatua 1000 nyuma badala ya kwenda mbele.
Mantiki yangu ilikuwa kwamba unapoona hawa mabwana Uchina na Russia wanafurukuta lengo siyo kuusaidia ulimwengu bali ni kutengeneza ufalme mpya ambao nao utakuwa na mbinyo wa aina yake na mateso ya aina yake haiwezi tokea kamwe ulimwengu ukawa ni kila nchi kujiamulia kivyake haswa mambo ya kiuchumi ni aiwezekani maana ukwasi/ubepari haukubali iyo hali