Ukiona hivo ujue sio Ukrain inatakiwa ianguke...ni wanazi wanatakiwa waanguke na Dola yao ya kinyonyaji..Mwaka sasa Ukraine bado haija anguka?
Russia is too weak!
Unasema nini mkuuUkraine wamekomboa mile 4 kutoka njia kuu iliyobaki (supply route).
Kupata kichekesho kama hiki bonyeza pua mara 2 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukraine wamekomboa mile 4 kutoka njia kuu iliyobaki (supply route).