Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

đź’Ąđź’Ąđź’ĄXi Jinping's speech before the expanded talks was shorter than Putin's. But he made several statements:

đź”” I am convinced that our multifaceted cooperation will strengthen for the benefit of the peoples;

đź”” Relations between China and Russia show a healthy momentum of development;

đź”” The President of the People's Republic of China is ready, together with Putin, to outline a plan for the development of relations between the Russian Federation and China, and to strengthen coordination between the two countriesđź’Ąđź’Ąđź’Ą
 
Kuna mda unaweza ukawa alone unapitia maandishi ya hapa na pale. Nasema maandishi nikiwa nalenga yale yaliyomo kwenye vichwa vya watu ambayo yanawisilishwa kupitia maandishi yao kwa hapa jukwaani. Mwisho unajiuliza what's wrong with us?

Unajiuliza mbona tunatizama hapa ila pale hatutizami. Mbona tunaangalia kule huku hatuangalii. Nini chimbuko la undumilakuwili ulio kita mizizi kwenye vichwa vyetu. Why tupo hivi na kwanini tunaendelea kua hivi?

Issue kama ya Iraq...

View attachment 2560290
Zile lives of Millions waliouwawa hatima yao imekuaje?

Na kile MSM ilichokua ikitangaza ni Opposite na Public kile ilichokua ikihitaji kifanyike Iraq

View attachment 2560293

Over 30M people across cities duniani kote waliingia barabarani kupinga uvamizi wa Iraqi? Nani aliyewasikiliza?

View attachment 2560301
View attachment 2560302
View attachment 2560303
View attachment 2560304

So against people's will, against UN approval Iraq ikavamiwa na kuteketezwa. Je is that what we call democracy? Is it true democracy ipo for the will of people? Mh?

Ok now its almost 20yrs, wahusika waliofanya yote hayo walichobaki nacho lawama kwa the so called "Intelligence Failure"... Really? Ani mataifa yote hayo UK and US on the lead kwa pa1 wawe na intelligence mbovu against a country like Iraqi?

Yet wanajifanya kinafiki ku apologies, ICC ilikua wapi, International communities wako wapi ama walikua wapi. 20 yrs hawakuyaona ama hawajaona hayo? Wahusika wote hao wameshakua held accountable? So why not wao iwe kwa wengine? Are they Gods? That wana haki to take lives wherever na mda wowote wakihitaji?

View attachment 2560328View attachment 2560331View attachment 2560334View attachment 2560335

Sasa kwanini haya tunayafumbia macho?

Na hilo ni just tone la tukio katika matukio ambayo wamefanya na wanaendelea kufanya. Leo the same country, who keeps lying everywhere to impose fear of war, Instability kwa other nations to keep their power alive eti ndio wanakuja kuiomba dunia iungane nao kuendeleza machafuko kwa kugombanisha Majiran for their own interest. The same shit country leo hii eti ndio anasimama kuelekeza nini wengine wafanye?

The same country ambayo inatangaza kuheshimiwe kwa sovereignty of other nations ilhali ndio nambari moja wa kuingilia internal affairs za mataifa mengine.

Asee, Em UMASIKINI USITUKOSESHE UTIMAMU.
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍
 
Niliacha kuchangia huu uzi kutokana na kuwepo kwa watoto wengi.

Niliwaambia Wale ndugu zetu wa Upinde kwamba hii SMO ya Russia hajakurupuka hata kidogo na anajua anachofanya. Nikawaambia hii SMO imetarget mambo mengi sana hasa hasa ni US ila wajuaji walikua wengi.

Twende kwa mada tunaona uchumi wa US unavyoteteleka sana kwa sasa bank yao kubwa SVB ni moja ya bank kubwa sana pale US ikiwa na assets karibia $200billion. Hii bank imefilisika kuna bank zingine kibao soon zinakwenda na maji. Kwa wale waliosoma uchumi nadhan mnajua nguvu ya bank kwenye uchumi, naishia hapa.

Kwanini uchumi wa US umeanza kushrink? Bhs kuna sababu nyingi ila hizi ndo muhimu
Mpaka mwakajana kulikua na zaidi ya $20 trillion kwenye circulation worldwide na kipindi hiki cha vita US amehike interest rates na pia ameprint dollar nyingi sana. Matokeo yake ni kwamba demand ya dollar imezidi kuporomoka sana matokeo yake ndo tunayaona sasa bank zao hali ni mbaya.

Dunia inakwenda kuachana na matumizi ya dollar mataifa yataanza na yapo yaliyoanza kutumia local currencies kwenye trade. Hili ni pigo kwa US na shoga zake walifikiri Dunia ni wao tu.

Mpaka sasa NATO wameshindwa vita pale Ukraine wamebaki kusema wagner ni kikundi cha kigaidi mara Putin ni muhalifu wa kivita. Ukweli maji yako shingoni maana kila mbinu na nguvu kubwa za NATO zilielekezwa pale Ukraine lakini wamekutana na chuma cha pua.

Marekani anazidi kutiwa AIBU na Russia moja ya drone yake latest na ghali imetunguliwa kwa kupakwa mafuta tu na kubebwa nzima nzima. Marekani ya sasa imekua ya kulia lia na kulalamika. Wale watabiri kwamba Russia itakua kama Zimbabwe vipi bado mpo? Yule ndugu yetu wa nyeto anasemaje mpaka sasa?.


Kwa hali inavyowaendea West ni dhahiri walikurupuka walitegewa Trap wote wamenasa na kujinasua ni shida. Macron huko aliko hali mbaya muda wowote wahuni wanapita naye.

Huwezi itenga Russia na Dunia, Dunia inamuhitaji Russia na ndio maaana ya kuwa Superpower. Kupitia hii SMO tumeanza kujua nani ni Tajir na matajir wa mchongo.

Salute kwa Russia kupambana na nchi 30 kijeshi na kiuchumi na bado anawakalisha hii sio kawaida ndo mtambue nguvu alizonazo Russia.
 
Wamepoteza maeneo

Hawa jirani Mexico wamzingue USA na kwa hii logistics hata dunia nzima iwe nyuma ya Mecico ingeisha angukia mikononi mwa USA,sababu is too close kufanya ipigwe!

Tatizo la Urusi kutoichukua hadi leo Ukraine ni nn?
Russia has been real exposed
 
Ukraine took part in EXPO firstly in Chicago in 1933. The Ukrainian Diaspora built its own pavilion separate from the Soviet Union.
The exhibition was visited by more than 48 million people. The Ukrainian pavilion was featured on a postage stamp.
#expo2030odesa

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298]️US plans to speed up the process of transferring Abrams tanks to Ukraine. Work on this is already underway, US National Security Council Coordinator John Kirby said, Bloomberg reported.

[emoji328]: AP

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji779]️15 Ukrainian children have been returned home, Ombudsman Dmytro Lubinets reported.

These are children from the Kharkiv and Kherson regions, which were under occupation.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298][emoji298]
1679412481147.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom