Tony blair yale machozi ya kinafiq tu nawatawapata wasiojua hila na ghilba za wale majibwa
Kile kilichofanyika IRAQ kilikua kimepangwa vyema sii US FRNACE UK nk
Wote walijua kua IRAQ hakuna WMD ila kwamaslahi yao wanayoyajua wao ilikua lazima IRAQ ipigwe na kweli wakaipiga
SYRIA baada yakuona ghilba na njama zao kua zimeshindwa sababu ya RUSSIA na IRAN wakaona wazushe kama IRAQ kua katumia silaha za sumu ila nako wakashindwa
Mbona IRAN kwenye silaha za Nyuk na Sumu kweli hawathubutu kwenda kupiga nakashafanya yote yakupigwa anafadhili HIZBULLAH na HAMAS ambao nitishio kwa Usrael kapiga kambi za US kapiga ndege kateka wanajeshi wake
Wamagharibi hata wakikwambia nn usiwaamini kama hujafuatilia mbwa wale waongo mnoooo
Kuna mda unaweza ukawa alone unapitia maandishi ya hapa na pale. Nasema maandishi nikiwa nalenga yale yaliyomo kwenye vichwa vya watu ambayo yanawisilishwa kupitia maandishi yao kwa hapa jukwaani. Mwisho unajiuliza what's wrong with us?
Unajiuliza mbona tunatizama hapa ila pale hatutizami. Mbona tunaangalia kule huku hatuangalii. Nini chimbuko la undumilakuwili ulio kita mizizi kwenye vichwa vyetu. Why tupo hivi na kwanini tunaendelea kua hivi?
Issue kama ya Iraq...
Zile lives of Millions waliouwawa hatima yao imekuaje?
Na kile MSM ilichokua ikitangaza ni Opposite na Public kile ilichokua ikihitaji kifanyike Iraq
Over 30M people across cities duniani kote waliingia barabarani kupinga uvamizi wa Iraqi? Nani aliyewasikiliza?
So against people's will, against UN approval Iraq ikavamiwa na kuteketezwa. Je is that what we call democracy? Is it true democracy ipo for the will of people? Mh?
Ok now its almost 20yrs, wahusika waliofanya yote hayo walichobaki nacho lawama kwa the so called "Intelligence Failure"... Really? Ani mataifa yote hayo UK and US on the lead kwa pa1 wawe na intelligence mbovu against a country like Iraqi?
Yet wanajifanya kinafiki ku apologies, ICC ilikua wapi, International communities wako wapi ama walikua wapi. 20 yrs hawakuyaona ama hawajaona hayo? Wahusika wote hao wameshakua held accountable? So why not wao iwe kwa wengine? Are they Gods? That wana haki to take lives wherever na mda wowote wakihitaji?
Sasa kwanini haya tunayafumbia macho?
Na hilo ni just tone la tukio katika matukio ambayo wamefanya na wanaendelea kufanya. Leo the same country, who keeps lying everywhere to impose fear of war, Instability kwa other nations to keep their power alive eti ndio wanakuja kuiomba dunia iungane nao kuendeleza machafuko kwa kugombanisha Majiran for their own interest. The same shit country leo hii eti ndio anasimama kuelekeza nini wengine wafanye?
The same country ambayo inatangaza kuheshimiwe kwa sovereignty of other nations ilhali ndio nambari moja wa kuingilia internal affairs za mataifa mengine.
Asee, Em UMASIKINI USITUKOSESHE UTIMAMU.