Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Urusi inasema kwamba imefungua uchunguzi wa uhalifu dhidi ya mwendesha mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu Karim Khan baada ya mahakama hiyo yenye makao yake makuu mjini The Hague kutoa hati ya kukamatwa kwa Rais Vladimir Putin.
Wataruka ruka mpaka mwisho,lakini dictator Putin lazima afikishwe the Hague kujibu mashtaka
 
Dikiteta anazidi kutahayariView attachment 2559227

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hujiskii furaha kuondokana na ugumu wa maisha yaan...selfishness ni uraibu..ni arosto hakika..Putin break the chain of colonialisim.. Vunja genge la wezi wa kimataifa..vunja genge la wanyonyaji..angalau Afrika tupumue...hakuna cha kumtahayarisha wala nini...kwa kipi cha aibu unachokihisi wewe..kile kitabu cha zamani ningekipata ningetoa version mpya "PUTIN AMPIGA MKOLONI"
 
[emoji264] [emoji635][emoji288]Putin:"If we still decide not to extend the "grain deal" after 60 days, then we are ready to deliver all the volume that was sent to the countries in need in Africa during the previous time from Russia to these countries for free."
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
EU Country Importing Cheap Russian Veggies Despite Sanctions — Media

Poland continues to import Russian vegetables despite wide-ranging EU sanctions against Moscow, Berliner Zeitung reported this week.

According to the newspaper, dozens of trucks are constantly arriving at the wholesale market in the Polish town of Bronisze on the outskirts of Warsaw, loaded with Russian cucumbers and tomatoes. The outlet noted that the cucumbers are priced at 55 zloty ($12.48) for 5 kilos, well below the cost of EU-produced vegetables.

Vegetables have become increasingly expensive in recent months, with local farmers needing help to meet higher energy costs to power their greenhouses. Official statistics show that annual inflation in Poland accelerated in February to 18.4%, the highest since 1996 and one of the highest levels in the EU, with food prices and energy costs rising faster.

Subscribe to RT

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
"Poland continues to import Russian vegetables despite wide-ranging EU sanctions against Moscow, Berliner Zeitung reported this week."

"According to the newspaper, dozens of trucks are constantly arriving at the wholesale market in the Polish town of Bronisze on the outskirts of Warsaw, loaded with Russian cucumbers and tomatoes. The outlet noted that the cucumbers are priced at 55 zloty ($12.48) for 5 kilos, well below the cost of EU-produced vegetables".

Ama hakika baniani mbaya kiatu chake dawa, hawa Wapolish si ndo wako pamoja na Zeleboy! Halafu wanaimport hadi cucumbers na tomatoes kutoka kwa adui yao Dubu. Russia ni dubwasha kuubwa halafu ni kama maji hivi usipoyanywa utapikia au utafulia.
 
Warusi wasiopungua mia Saba wamechinjwa ndani ya saa 24 tu 🥱🥱🥱
1679310624021.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
North Macedonia confirms transfer of four Su-25s to Ukraine

It is noted that the Su-25s are not airworthy and will most likely be used as spare parts donors.

In the future, a decision may be made to send 12 North Macedonian Mi-24 attack helicopters to Ukraine.

Join our telegram channel for more videos - link in comments



Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
China's Foreign Ministry commented on the arrest warrant for Putin, Sky News reported.

“The International Criminal Court should take 'objective and just' position on Putin,” Chinese Foreign Ministry spokesperson Wang Wenbin said.

He emphasized that China "will continue to play a fair role in the Ukrainian crisis."

[emoji328]: Reuters

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Objective and just...maana ICC wanachukulia vitu kiushabiki sana ili wapendwe na west...wanafanya vitu kwa dhihaka, vitendo vyao haviendani na uhalisia..wanaendesha vitu kimitegomitego hawana msimamo na sheria zao...

Wale watoto wangeachwa wapigwe mabomu na askar wa ukrain?
Au UNICEF wamekatazwa kwenda kuwaona hao watoto...
Au wametaka kuchukua watoto wakakataliwa....
Kama watoto walichukuliwa ina maana walikua na wazazi wao..je mbona wanashitaki utekaji wa watoto wanasahau hao watoto wapo na wazazi wao...au hao watoto walikua wanajilindaje katikati ya uwanja wa mapigano had wakatekwa...

ICC ni chama kipya cha west ambacho hakina mkono wa baraka za USA, ila kwakua kina faida ndogo ndogo USA anakiacha 'kiopareti' chini ya mikwara yake..
Kumbuka hakiwezi kukamata mwamerika yeyote hata akiwa mhaini, amerika itamtoa mikonon mwa ICC hata kama ni kutumia jesh kivita mabomu na manowari drone na chopa f-35 na himmar ya kushato km ninja kumtoa mwamerika wao ICC hata km ni gaidi
 
Back
Top Bottom