Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwenye makaratasi maneno ni mengi sana ila uwanja wa vita hali ni tofauti kabisa.Zelensk anazidi kuwatoa sadaka vijana wake.wanakamatwa kama vile kumbikumbi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
 
💥🤡💥Biden and Xi Jinping's call has not been scheduled yet, but the US president really wants to talk to the leader of China — The White House💥🤡💥
The White House wants to tell Xi Jinping what exactly?? Kumusihi au kumtishia kwamba hasijiingize katika kutafuta muhafaka baina ya Putin na Zelensky kwenye masuala ya Ukraine -si USA imekwisha tangazia Dunia kwamba wao ndio wenye mamlaka pekee ya kumaliza mgogoro huu - hata Secretary General wa umoja wa mataifa hana mamlaka hiyo as far as US is concern - would you believe it??
 
🇷🇺🇨🇳🇷🇺🇨🇳🇷🇺
❗️At a meeting with Xi Jinping, Putin said that he carefully read China's plan for a Ukrainian settlement.

The Russian President noted that Beijing's plan can be discussed, Russia is always open to the negotiation process.
🇷🇺🇨🇳🇷🇺🇨🇳🇷🇺
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

cheki Warusi walichokifanya kwenye jengo baada ya kugundua kuna Sniper wa Ukraine.[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]





 
🇷🇺🇨🇳🇷🇺🇨🇳🇷🇺
I am very grateful to you for your initiatives and for the opportunity to have a friendly dinner face to face so that we can discuss bilateral matters as well as all matters of mutual interest,thank you -Xi Jinping
🇷🇺🇨🇳🇷🇺🇨🇳🇷🇺
 
❗️Xi Jinping Statements During Informal Meeting With President Putin

▪There should be close relations between China and Russia

▪President Xi called Putin a dear friend during the meeting

▪Xi emphasized that he chose Russia for his first visit after being reelected, just like ten years ago
 
IMG_20230320_170414_400.jpg


💥💥
See how small the table is compared with other leaders
💥💥
 
Malipo ni hapo hapo Ukraine.ukifanya unyama kwa Warusi basi tegemea kupata malipo yako hapo hapo Ukraine kabla ujafanikiwa kutoka nnje ya Ukraine.

Huyu jamaa alijifanya mwamba sana kwa Wanajeshi wa Urusi ila mwisho wa siku anaomba msaada kutoka kwa Warusi baada ya kushambuliwa vibaya na kisha kukosa msaada.

Amebaki anaomba msaada kwenye drone ya Warusi huku wenzake wakiwa wame rest in peace[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]






 
"Leo Viongizi 40 wa Africa wapo Moscow katika kongamano la "Russia-Africa in a Multipolar World"View attachment 2559225

African Leaders + Chinese Leader are both in Moscow.
Hapo lazima Westerns iwaume sana sana.
Lakini cha kushangaza wao kila siku wanakuta na kufanya vikao, lakini hakuna anayeumia....
 
African Leaders + Chinese Leader are both in Moscow.
Hapo lazima Westerns iwaume sana sana.
Lakini cha kushangaza wao kila siku wanakuta na kufanya vikao, lakini hakuna anayeumia....
Ajabu Rais wa Ufaransa Anajiandaa kurudi Africa Eti Kuongea na Viongozi wa Africa Wasiunge Urafuki na Urusi&China
Yaani Mungu ampe Afya Tele bwana Putin aishi maisha Marefu
Awanyooshe Wapuuzi hawa
 
Back
Top Bottom