Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji1255][emoji636]The UK has signed a key digital trade agreement with Ukraine that will support the country's economy and significantly strengthen trade and investment relations between the UK and Ukraine, according to the British government's website.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mbona inafahamika leo 20march moscow kuna mkutano.museven yupo sijajua sisi .yan multipolar world is emerging. It is like the feeling of old days of our founders like j.k nyerere,gamal abdel nasser,The NAM during cold war

Mama anawasujudia hao mabeberu hana sauti. Naiona Uganda ikipiga hatua kubwa ni suala la muda tu. Museveni yuko serious na taifa lake kwa sasa, sisi tunahangaika na mikopo tu.
 
[emoji298]️The Supreme Anti-Corruption Court of Ukraine has confiscated assets of Russian oligarch Arkady Rotenberg and three other Russian citizens. Among the assets is Kyiv's Ocean Plaza shopping mall.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
China's Foreign Ministry commented on the arrest warrant for Putin, Sky News reported.

“The International Criminal Court should take 'objective and just' position on Putin,” Chinese Foreign Ministry spokesperson Wang Wenbin said.

He emphasized that China "will continue to play a fair role in the Ukrainian crisis."

[emoji328]: Reuters

Majaji wa ICC Angalia angani kwa makini! Sasa hivi Kila mtu anatembea chini ya Mungu na makombora - Dmitry Medvedev. "Majaji wa ICC kuweni makini, kila mtu anatembea chini ya Mungu na makombora. Inawezekana kabisa kuimagine mashambulizi ya Onyx ya hypersonic kutoka Bahari ya Kaskazini kutoka kwenye meli ya Kirusi hadi kwenye Mahakama ya Hague. Na hamuwezi kuyatungua. Kwa hivyo, majaji angalia kwa uangalifu angani.

Nasikia wote wameondoka Hapo Hague[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
 
Dikiteta anazidi kutahayari
1679310937548.jpg

Watampeleka ICC ya wapi wakati Dmitry Medvedev amesema waangalie angani Wenda pakageuzwa vumbi?
 
Majaji wa ICC Angalia angani kwa makini! Sasa hivi Kila mtu anatembea chini ya Mungu na makombora - Dmitry Medvedev. "Majaji wa ICC kuweni makini, kila mtu anatembea chini ya Mungu na makombora. Inawezekana kabisa kuimagine mashambulizi ya Onyx ya hypersonic kutoka Bahari ya Kaskazini kutoka kwenye meli ya Kirusi hadi kwenye Mahakama ya Hague. Na hamuwezi kuyatungua. Kwa hivyo, majaji angalia kwa uangalifu angani.

Nasikia wote wameondoka Hapo Hague[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]

Hawa majaji wanaweza kufa wote if Russia akiamua.
 
Upumbavu wako, nenda kawasimuliwe wanya pombe za mapuya na gongo kule Beach Mauzi
 
Mkuu, je unaamini mambo kama haya? Nani aliharibika tarehe 22 Fev 2022??? Wapi? (kama siyo vikosi vya parachuti vya Urusi vilivyojaribu kuvamia Holomel, sivyo?)
Najua kwamba Bw McGregor alianza kutangaza mambo ya ajabi. Ila siwezi kuwaza kwamba alisema jambo la kijinga kabisa kama hilo...
Je umetafuta chanzo cha maneno hayo?
Jamani, tutende kama watu wazima, hata tukitofautiana kimawazo.
Mark you - Mr. McGregor is a very respectable Military Guy with vast experience kwenye masuala ya vita hasa matumizi ya vifaru ambavyo yeye aliwahi kushiriki kama kamanda - ni vizuri kumsikiliza anacho kisema hata kama hamkipendi kwa sababu anasema ukweli - maafisa wengi wa jeshi la Amerika pamoja na baadhi yenu hamtaki kuelezwa ukweli as far as you lot are concern "Ukraine is winning" mtu anakwambia eti paratrooper wengi wa Urusi waliuwawa lakini hana picha hata moja inayo onyesha maiti na parachuti zao.
 
Back
Top Bottom