Sikiliza Hawa jamaa, pamoja na mauwaji yote Marekani aliyofanya, lakini ICC haitowi mdomo Wala pua, Popeo former secretary of state jamaa anasema hiyo Court ikikamata mumarekani yeyote basi Marekani watamwekea vikwazo hao mahakimu na kizazi chake chote wasikanyage ardhi ya Marekani, baba mama wajomba watoto, shangazi ndugu yeyote etc. Na huyo mwingine anasema NATO pamoja na Marekani wakiamua kizipiga leo basi NATO na USA watashindwa vibaya Sana. Anaendelea kusema Ukraine ilikuwa na jeshi imara Sana ambalo nchi yeyote ya NATO insigeweza kuishinda Ukraine kasolo Marekani tu nchi nyingine UK, German, French, hawana ubavu wa kupigana na Ukraine, lakini Russia inaipiga Kama mwizi. Hivyo nchi zote za NATO combine hawawezi pigana na Russia hata kidogo. Huyu Jamaa ni former Iraq WMD inspector, amehusika na vita vingi vya USA.The International Criminal Court (ICC) has issued an arrest warrant for war crimes involving the kidnapping and deportation of Ukrainian children.
According to Kyiv, about 16,000 Ukrainian children have been forcibly taken to the Russian Federation.
This is only the third time that the court, based in the Hague, has issued a warrant for a current head of state.
So, what does this mean in practice?View attachment 2559472
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app