matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
US inaelekea kibra
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji1493][emoji1493][emoji1493]Majaji wa ICC Angalia angani kwa makini! Sasa hivi Kila mtu anatembea chini ya Mungu na makombora - Dmitry Medvedev. "Majaji wa ICC kuweni makini, kila mtu anatembea chini ya Mungu na makombora. Inawezekana kabisa kuimagine mashambulizi ya Onyx ya hypersonic kutoka Bahari ya Kaskazini kutoka kwenye meli ya Kirusi hadi kwenye Mahakama ya Hague. Na hamuwezi kuyatungua. Kwa hivyo, majaji angalia kwa uangalifu angani.
Nasikia wote wameondoka Hapo Hague[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Mpaka unazeeka hutoshuhudia Hilo likitokea,Russia sio Zimbabwe!Wataruka ruka mpaka mwisho,lakini dictator Putin lazima afikishwe the Hague kujibu mashtaka
[emoji3][emoji3]North Macedonia confirms transfer of four Su-25s to Ukraine
It is noted that the Su-25s are not airworthy and will most likely be used as spare parts donors.
In the future, a decision may be made to send 12 North Macedonian Mi-24 attack helicopters to Ukraine.
Join our telegram channel for more videos - link in comments
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ili ni Pigo jingine kwa westerns.[emoji1238][emoji1666][emoji1256]"It is time for the Syrians to return to their Arab family", says the UAE President HH Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan.
Ili ni Pigo jingine kwa westerns.
Asilimia 70 ya Bakhihumt iko chini ya majeshi ya Urusi.Kwanza mtujibu Bakhmut imekuwaje maana mlisema mmeizunguka
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Putin's doubleDikiteta anazidi kutahayariView attachment 2559227
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Sijui tuwakumbushe mara ngapi??? Ni hivi: URUSI ni Super Power akuna taifa lolote linaweza kifanya ngufee wala nini sijui - Biden na gege lake wataendeleza maneno yao ya KANGA kwa ajili ya siasa tu kama kawaida yao ili kuwachota akili wapigaji kura wao - lakini kiukweli hawana ubavu wa kufanya lolote Jemedari Putin mkombozi wa Dunia dhibi ya mabeberu waliokuwa wamejisahau kabisa kwa kudhani wao ndio wanamiliki Dunia hii, wanaweza kufanya lolote bila yakuhojiwa na mtu - sasa Putin nawashirika wake wa siri wamekwisha decide kwamba enough is enough let what comes may.Wataruka ruka mpaka mwisho,lakini dictator Putin lazima afikishwe the Hague kujibu mashtaka
Sisi wa kutoka Kijiji Cha Chief Hangaya tumo?Leo kuna mkutano Moscow 45 nations of africa china na russia.kuzungumzia maendeleo mbona kenya sijaiona kwenye list
Mmeanza kuleta ma photoshop sasa.