Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,432
- 191,751
Hahahaha Ukraine is a Sovereign but US will not allow for it to make peace treaty with Russia in case they choose to do so. 🤣🤣🤣 Halafu kuna mtu anashabikia hao mapunguani!
Hahahahah huyo chizi ataikaanga mahakama na majaji wake bila uwoga,🤣🤣🤣 sasa majaji waendelee kushoboka tu!Dmitri Medvedev has threatened to strike the International Criminal Court in The Hague with a hypersonic Kinzhal missile.
He finished his Telegram post with the statement:
“judges, look carefully at the sky…”
Hahahahah huyo kiherehere wa ICC ndio atawekwa kizuizini na Superpower wa kweli sasa. 😀😀😀Russia imeanza kuigeuzia kibaao USA na icc Kwa kutoa hati ya kumkanata balozi wa USA icc , (USA itakuwaje na mwakilishi kwenye taasisi ambayo haiitambui? ) Na pia itamkamata jaji alieweka Saini kuidhinisha hati hiyo.
💢 The Russian Federation will issue arrest warrants for the US Ambassador to the ICC (strange that the US would have an ambassador in an organisation it does not recognise), who initiated the case against President Putin and the ICC judges who signed the illegal warrant.
@NewResistance
Waliambiwa mapema tu kuwa huo mziki mnene wakawa wanajipa moyo 🤣🤣🤣 eti Supapawa wa mchongo.Dah!
Aisee hii Dunia Ina mambo sana.
Baada ya vita hii watu wengi watakua wameisha ijua urusi vizuri.
Huyu kweli ni mnyama wa wata.
Mfa maji haishi kutapa tapa,USA ana loose ukiranja wa Dunia both Economically kwa China & Military-Russia.yupo devastated kinyama anatumia kila mbinu tonge lisimutoke mdomoni ila ndio hivyo kila lenye mwanzo halikosi mwisho.
Hio Propoganda leo hali ya vita ikoje, hao wayukreini wanapigwa kama ngoma hapo Bhakmut, 🤣🤣🤣Bila shaka ilivamiwa kwa lengo maalum (kutuma wanajeshi bila lengo maalum si kawaida...) na lengo lilikuwa kuishika ili vikosi viweza kutua kwa ndege. Lengo hili lilishindikana, na ndege zenye askari ziliangushwa. Ukraine ilifaulu kuharibu njia ya kutua hivyo uvamizi ulikuwa bure. Vikosi vya Kirusi vilipigwa vibaya, pamoja na balaa ile ya foleni ya vifaru na magari iliyopigwa vibaya. Kumbe walikimbia wakatafuta usalama upande wa Belarus na Urusi na kuhamisha mabaki kwenda Donbas.
Interesting article to read.Mizozo yote hii duniani sababu kubwa ni maswala ya kiuchumi ki-Nchi:Elewa uchumi ujue Dunia inavyo fanya kazi.
Usiwe mvivu kusoma-soma hii artical uongeze maarifa kisha gonga Cheer's kwa Russia na China kwa kuendelea kutengeneza mizani ya Dunia kuwa sawa.
De-dollarization: World faces threat of economic catastrophe.
Global use of the US dollar as a currency may decline further to 40-45% within the next 2-3 years.
![]()
De-dollarization: World faces threat of economic catastrophe - The Sunday Guardian Live
Global use of the US dollar as a currency may decline further to 40-45% within the next 2-3 years. March 2023 brought an economic bloodbath in the Unitedsundayguardianlive.com
Mwanaume anashikwaje tako na katulia tu 🤣🤣🤣Wewe ni rafiki mkubwa na huyu mtu.sasa ukiwa na urafiki na mwizi uwa kuna asilimia kazaa za wewe kuwa mwizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Yule Rafiki yako unaijua tabia yake.kama uijui tabia yake basi cheki iyo picha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2559129
Sasa Urusi anaimarisha uhusiano na Africa kiuchumi na kimisaada bila masharti ya kulana viboga 🤣🤣🤣 atatuletea na mafuta ya bei rahisi huku ili tuendeshe ndinga zetu kwa raha. NATO wanachukia ila haina jinsi ndio maisha.[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
[emoji779]️Russia Writes Off $20 Billion In Debt Of African Countries — President Putin
Some key points from the Russian president while speaking at the Russia-Africa 2023 summit in Moscow:
[emoji830]Africa will become one of the leaders of the new multipolar world order
[emoji830]Russia will continue to give priority to cooperation with African countries
[emoji830]Russia, Africa, Asia, and Latin America together oppose the Neo-colonial ideology and together make up the world’s majority
[emoji830]Russia fulfills its obligations to supply food, fertilizers, and fuel to Africa
[emoji830]The West is obstructing Russia’s attempts to donate fertilizer shipments for free
[emoji830]Russia insists on the supply of grain and fertilizers to the needy, not well-fed European countries
[emoji830]Moscow will decide later on further participation in the grain deal
[emoji830]Of the total volume of grain exported from Ukraine, 45% went to European countries, only 3% went to Africa
[emoji830]Russia will supply free food to African countries in need if it does not extend the grain deal
Subscribe to RT
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mama mshamba sana wacha aendelee kukumbatia hao wanyonyaji atakuja stuka tayari Uganda wako first world class.Mama anawasujudia hao mabeberu hana sauti. Naiona Uganda ikipiga hatua kubwa ni suala la muda tu. Museveni yuko serious na taifa lake kwa sasa, sisi tunahangaika na mikopo tu.
Mambo hayo yanamchanganya Sana US yaani mwaka tutakulepeka "Rais wa Ghana: "Urusi ni nchi yenye nguvu, Warusi ni watu wakubwa, Vladimir Putin ni rais mzuri.
Watapigwa sumu za kimya kimya hamna atakayepona 🤣🤣🤣Hawa majaji wanaweza kufa wote if Russia akiamua.
Jamaa yote aliyosema yamejidhihirisha vitani Ukraine. Russia sio mwepesi kama NATO walivyokuwa wanafikiri na Ukraine hawezi kumshinda Russia kwa vyovyote vile 🤣🤣🤣Mark you - Mr. McGregor is a very respectable Military Guy with vast experience kwenye masuala ya vita hasa matumizi ya vifaru ambavyo yeye aliwahi kushiriki kama kamanda - ni vizuri kumsikiliza anacho kisema hata kama hamkipendi kwa sababu anasema ukweli - maafisa wengi wa jeshi la Amerika pamoja na baadhi yenu hamtaki kuelezwa ukweli as far as you lot are concern "Ukraine is winning" mtu anakwambia eti paratrooper wengi wa Urusi waliuwawa lakini hana picha hata moja inayo onyesha maiti na parachuti zao.
Russia ni kama maji, haiwezekani mtu wa Arusha uache kitunguu cha Mang'ola ukanunue kitunguu cha Mbeya eti kisa uwakomoe wana Mang'ola sababu hawaelewani na rafiki zako. 😀😀😀😀"Poland continues to import Russian vegetables despite wide-ranging EU sanctions against Moscow, Berliner Zeitung reported this week."
"According to the newspaper, dozens of trucks are constantly arriving at the wholesale market in the Polish town of Bronisze on the outskirts of Warsaw, loaded with Russian cucumbers and tomatoes. The outlet noted that the cucumbers are priced at 55 zloty ($12.48) for 5 kilos, well below the cost of EU-produced vegetables".
Ama hakika baniani mbaya kiatu chake dawa, hawa Wapolish si ndo wako pamoja na Zeleboy! Halafu wanaimport hadi cucumbers na tomatoes kutoka kwa adui yao Dubu. Russia ni dubwasha kuubwa halafu ni kama maji hivi usipoyanywa utapikia au utafulia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
cheki Warusi walichokifanya kwenye jengo baada ya kugundua kuna Sniper wa Ukraine.[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]