Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Russia imetangaza kuifutia African countries deni lenye thamani ya zaidi ya $20bil.
Pia Russia imetangaza kuipatia Africa ngano bure kupitia.
Pia imetangaza kuipatia mbolea bure.

Hayo yamesemwa leo na President Putin kwenye kikao na viongozi wa Africa.


Bora Russia anatuletea mbolea ili African countries ziongeze uzalishaji wa kilimo na kujitegemea kwa chakula kuliko wale jamaa wanaotuletea vilainishi ili kuongeza idadi ya ma LGBTQ.

Kweli leo niimeamini Russia ni masikini sana.View attachment 2559530View attachment 2559533
Huu ndio uungwana sio wale mashetani wanaotupa mikopo na kudai kwamba masharti yake ni kuanzisha kampeni za kufeerana
 
Mkuu usichanganye vita na muziki. Ukitaka tamasha ni vema kupiga ngoma kwa muda mrefu. Ukiwa vitani hutaki kupiga unataka kushinda. Kumbe unaona Bakhmut ni mafanikio makubwa ya jeshi la urusi kwa sababu wanapiga Ukraine tangu miezi mfululizo??
Watu wa kawaida wanaona hapa udhaifu wa jeshi kubwa linalojaribu kuteka mji mdogo tangu miezi bila kufaulu hadi sasa.
Binafsi nashangaa kwa nini Warusi hawakumaliza bado, lakini basi . . .
Ukitambua kuwa Ukraine walikuwa ni best army kuliko nchi yeyote ya NATO na wenyewe viranja USA wamekiri hilo hutashangaa kwanini wana Pose changamoto sana kwa superior guerilla fighters wa Urusi. They inflict some pain to the Russian Army but they can never defeat it completely. Hii hata Shoga yenu mwandamizi Biden analifahamu.
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
US airline companies are complaining that they’re being outcompeted by Asian airline companies after Russia banned EU, US and Japanese airlines.

They’re now asking for Asian airlines to be banned in the US.

It looks like they’re very unhappy about the earth’s geology
IMG_20230321_052935.jpg


Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 

China and Russia don't have 'power' of United States, White House says​

US National Security Council spokesperson John Kirby has been speaking at a White House news conference in the last hour, during which he was asked about the extent to which China and Russia were challenging the global influence of the US.

"No other nation in the world, none, has the network of alliances and partnerships that the US has," he said.

He went on to reference the 10th Ukraine Defence Contact Group meeting hosted by the US, each one of which he said had been attended by representatives of more than 50 nations.

"That's the power of American convening leadership. And you don't see that power out of Russia and China," he said.
"These are two countries who do not have that same network of friends and partners.

"And one of the reasons why you're seeing that tightening relationship [between China and Russia] is because they recognise that they don't have that strong foundation of international support for what they're trying to do, which is basically challenge American leadership around the world."

Mr Kirby also told reporters that China was still considering providing lethal aid to Russia.
He urged Mr Xi to speak to Volodymyr Zelenskyy about the impact of the war on Ukraine.
"We encourage President Xi to press President Putin directly on the need to respect Ukraine's sovereignty and territorial integrity. The world and China's neighbours will certainly be watching closely," he said.

The Chinese and Russian leaders seemed to be connected in "a bit of a marriage of convenience" rather than one of affection, Mr Kirby said.
"These are two countries that have long chafed at US leadership around the world," he said.
John Kirby speaking at the White House today

John Kirby speaking at the White House todayAP

https://news.sky.com/story/ukraine-...meeting-12541713?postid=5660952#liveblog-body
 

White House spokesman says Putin and Xi are in a 'marriage of convenience'​

White House national security spokesman John Kirby called Russian President Vladimir Putin and Chinese President Xi Jinping's relationship an alliance based on shared global interests as opposed to true friendship.

"It's a marriage of convenience rather than of affection," Kirby said of Putin and Xi.

Xi dined with Putin at the Kremlin on Monday as part of a three-day visit to Moscow. Beijing has yet to condemn Russia's invasion of Ukraine, but has not sent Russia military support, either.

Asked whether the two countries see one another on equal footing, Kirby said: "In terms of that relationship, they truly are their genuine partner."

 
  • The US will send Ukraine $350m in weapons and equipment, Blinken has announced. The latest aid package includes a large amount of various types of ammunition, such as rockets for the high-mobility artillery rocket systems (Himars), the US secretary of state said in a statement.
  • Norway has delivered eight Leopard 2 tanks to Ukraine, a spokesperson for its armed forces has said. Norway, which shares a border with Russia in the Arctic, said it would also send four special-purpose tanks from its armoured engineering and bridge layer category, the exact selection depending on what Ukraine needs the most.
  • Putin, speaking before his meeting with Xi, said deepening ties between Moscow and African countries was a key goal for the Kremlin.In a televised address to delegates at a Russia-Africa parliamentary conference, Putin also said Russia wouldprovide grain to African countries for free should the Black Sea grain deal not be extended in May.
 
Akajibu mashtaka yepi ? Na kwa kipengele kipi aweze kushtakiwa mna yy hayumo kwenye iyo mahakama
Mkuu uwe unajielimisha kidogo,mahakama ya ICC ni ya dunia nzima uwe mwanachama au laa,maadamu umefanya makosa utawajibishwa kwa mujibu wa sheria.Kutokuwa nchi mwanachama kunafanya tu mahakama kukosa nguvu kwenye nchi hiyo,lakini mtuhumiwa ukikanyaga nchi mwanachama wa ICC unaruhusiwa kukamatwa na kufikishwa the Hague.
 

China and Russia don't have 'power' of United States, White House says​

US National Security Council spokesperson John Kirby has been speaking at a White House news conference in the last hour, during which he was asked about the extent to which China and Russia were challenging the global influence of the US.

"No other nation in the world, none, has the network of alliances and partnerships that the US has," he said.

He went on to reference the 10th Ukraine Defence Contact Group meeting hosted by the US, each one of which he said had been attended by representatives of more than 50 nations.

"That's the power of American convening leadership. And you don't see that power out of Russia and China," he said.
"These are two countries who do not have that same network of friends and partners.

"And one of the reasons why you're seeing that tightening relationship [between China and Russia] is because they recognise that they don't have that strong foundation of international support for what they're trying to do, which is basically challenge American leadership around the world."

Mr Kirby also told reporters that China was still considering providing lethal aid to Russia.
He urged Mr Xi to speak to Volodymyr Zelenskyy about the impact of the war on Ukraine.
"We encourage President Xi to press President Putin directly on the need to respect Ukraine's sovereignty and territorial integrity. The world and China's neighbours will certainly be watching closely," he said.

The Chinese and Russian leaders seemed to be connected in "a bit of a marriage of convenience" rather than one of affection, Mr Kirby said.
"These are two countries that have long chafed at US leadership around the world," he said.
John Kirby speaking at the White House today

John Kirby speaking at the White House todayAP

Ukraine war - latest: China and Russia don't have 'power' of US, White House says - after Putin's Moscow talks with Xi; 'mysterious' explosion destroys Russian missiles in Crimea, Ukrainian intel says
Atayebisha hapa ni mwenye matatizo ya afya ya akili pekee.
 
VIDEO
Kuna Askari Mmoja wa Ukrein Aliwahi Kuhojiwa Kuhusu Vita
Jamaa alisema Hawa
WAGNER
Nihatari yaani Nikama Mizimu inayo Fufuka haina Uoga Na Anajiuliza Hajui wanapewa Vitugani !!
Angalia Hii video Hawa watu Nihatari yaani Mashine Inatema Rocket yeye nduo kwanza Anapiga Gitaa juu yake
Wana mzuka Balaa
Ndio maana West wana wagwaya hawa watu ni Mizimu

MUNGU IBARIKI URUSI ​

URAAAAAAAAAAAAAAAAA​

View attachment 2559073
Aisee!Jamaa wanyama haswa,acha Ukraine wapate tamu ya wanaume Russia.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu uwe unajielimisha kidogo,mahakama ya ICC ni ya dunia nzima uwe mwanachama au laa,maadamu umefanya makosa utawajibishwa kwa mujibu wa sheria.Kutokuwa nchi mwanachama kunafanya tu mahakama kukosa nguvu kwenye nchi hiyo,lakini mtuhumiwa ukikanyaga nchi mwanachama wa ICC unaruhusiwa kukamatwa na kufikishwa the Hague.

Sio kweli
ICC haiwezi shtaki nchi isiyo mwanachama.
USA hawezi shtakiwa ICC
 
Mkuu usichanganye vita na muziki. Ukitaka tamasha ni vema kupiga ngoma kwa muda mrefu. Ukiwa vitani hutaki kupiga unataka kushinda. Kumbe unaona Bakhmut ni mafanikio makubwa ya jeshi la urusi kwa sababu wanapiga Ukraine tangu miezi mfululizo??
Watu wa kawaida wanaona hapa udhaifu wa jeshi kubwa linalojaribu kuteka mji mdogo tangu miezi bila kufaulu hadi sasa.
Binafsi nashangaa kwa nini Warusi hawakumaliza bado, lakini basi . . .
Lengo lao ukrain ni kusubirishia NATO zikusanye pakacha la kushambulia kutoka lgtb society,(NATO ni kakikundi kakijeshi na kamati ni politicians wa hiyo society ya hawa jamaa lgtb, na pro-NATO ndio bango lao la 'Ads')
Sasa mabenk yao hayafanyi vizur, mshiko umesosolomoka,wanasubiria riba za benk zilizobakia sokoni ili walipie mzigo mpya kuja ukrain,
Upande wa Russia ameusoma mchezo, nae anasubirishia mzigo ufike uletwe bakhmut zipigwe za fasta fasta walipowazunguka wanazi mpaka pakacha liishie hapohapo kwa minimum casuality na kupunguza garama za kuja kujenga upya km mariupol.
mzigo wa lgtb ukiwa bado haujaiva tena huko benk mashambuliz yasambae tena kuzunguka mji mwingine hadi watakapokaa mezani.
 
Hiz ndio logic thinking
Russia imeanza kuigeuzia kibaao USA na icc Kwa kutoa hati ya kumkanata balozi wa USA icc , (USA itakuwaje na mwakilishi kwenye taasisi ambayo haiitambui? ) Na pia itamkamata jaji alieweka Saini kuidhinisha hati hiyo.
[emoji96] The Russian Federation will issue arrest warrants for the US Ambassador to the ICC (strange that the US would have an ambassador in an organisation it does not recognise), who initiated the case against President Putin and the ICC judges who signed the illegal warrant.

@NewResistance
 
Mara nyingi sana hili swala Putin ameliongelea,yani kiufupi USA ni kama kupe nyie mnagangaika huko kuzalisha halafu yeye anakuja kula tu kwa mrija.

Kwa maana hiyo Taifa lako hata uwekeze kiasi gani,kama USD itaendelea kutumika kama medium of exchange internationaly itakuwa ndoto kumpita USA kiuchumi.

China alikuwa ampite USA kiuchumi siku nyingi sana,kutokana na sababu hiyo inakuwa vigumu.Naona China na Russia wameigundua na wanatak kuiondoa
Ndugu unafikiri kuanguka kwa dolar ya USA na kuinuka kwa nyingine kutafanya nchi zingine ziendelee? Huoni kwamba mtego ni ule ule anashuka uyu anainuka yule na yule anayeinuka lengo ni kutawala vile vile! Dunia hawezi kwenda bila kuwa na kiranja hilo sahau na halipo habari za Brics na ushirikiano wa Russia na China ni kutaka kuangusha tawala moja ili nyingine inuke na kutawala + kunyonya. Russia anaitaka hela ya mchina na Mchina anataka mali asili za Mrusi.
 
Back
Top Bottom