Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,432
- 191,751
Huu ndio ukweli🤣Anajaribu kutoa vitisho kwa nchi zinazotaka kuunga mkono juhudi za Uchina na Russia kukata mrija wao wa unyonyaji...hakuna nchi duniani yenye hiyo affection na marekani...zinamuogopa kwa tabia yake ya kukupiga vikwazo, kufadhili na kuwatumia na kuwagaramia wapinzani wako wakuangushe, kufadhili vikundi vya kihalifu vikufanyie uhalifu (e.g maandamano ya Georgia juzjuz..mtu mmoja tuu wa georgia yupo matembezi marekan akaamua kuwahutubia wageorgia akiwa marekani kuwa anaunga mkono maandamano ya kupinga sera za kulinda ulinzi na uchumi wa georgia..)
US hana ushawishi wa voluntary..ana ushawishi wa vitisho na anamgeuza ndugu yako kuwa adui yako..angalia serbia-cossovo, China-Taiwan, South korea-North korea, usije ukashangaa Tz-zanzibar kama hamtafuata matakwa yake..hii ni real..sio finction