Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji298][emoji298]
1679573079345.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo hii ni sera ya Serikari ya Marekani? Au Chama Cha Democratic?
Mbona hili ni jambo rahisi kulielewa ila utaka kulifanya kama lionekane gumu. Serikali ya Marekani inawakilishwa na chama kinachokuwa madarakani kwa wakati husika. Chama hicho hupewa mamlaka ya kutunga sera za nje kwa wakati husika. Kwa sasa chama kilichoko madarakani ni chama kinachounga mkono ushoga, hivyo chenyewe kinaitumia serikali kutekeleza matakwa yake.

Ila kuna tofauti kati ya Serikali ya Marekani na Taifa la Marekani. Kwenye Taifa la Marekani kuna majimbo yanapinga ushoga na yapo yanayoungal mkono ushoga. Kwa ivo kuunga mkono au kupinga ushoga si sera ya Taifa la Marekani bali ni sera ya serikali ya Marekani kutegemeana na chama gani kiko madarakani.
 
Naona wavuta fegi wanaendelea na mambo yao[emoji1787][emoji23][emoji28]



Yaroslavl Motor Plant catches fire in Russia - Russian media

The plant is one of the largest manufacturers of engines and other spare parts for military equipment.

Join our telegram channel for more videos - link in comments

1679573437723.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
. mwamba Hana muda wa kupumzika[emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji123]



[emoji298]️Volodymyr Zelensky visited Kherson Region today. The President met with residents and promised to restore everything the Russian army gradually destroyed.

[emoji328]: Website of the President’s Office

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mbona hili ni jambo rahisi kulielewa ila utaka kulifanya kama lionekane gumu. Serikali ya Marekani inawakilishwa na chama kinachokuwa madarakani kwa wakati husika. Chama hicho hupewa mamlaka ya kutunga sera za nje kwa wakati husika. Kwa sasa chama kilichoko madarakani ni chama kinachounga mkono ushoga, hivyo chenyewe kinaitumia serikali kutekeleza matakwa yake.

Ila kuna tofauti kati ya Serikali ya Marekani na Taifa la Marekani. Kwenye Taifa la Marekani kuna majimbo yanapinga ushoga na yapo yanayoungal mkono ushoga. Kwa ivo kuunga mkono au kupinga ushoga si sera ya Taifa la Marekani bali ni sera ya serikali ya Marekani kutegemeana na chama gani kiko madarakani.
Kwa sababu unataka kuitenga serikari ovu ya Marekani na vyama vya siasa.

Wakati sheria zao za kusapoti mambo ya ushoga, Utoaji mimba zilijadiliwa kwenye Congress na baraza la lower house na Raisi wao akasaini.

Raisi wa Taifa husika akishasaini hiyo inakuwa sheria na inabebwa na mamlaka za nchi husika.

Lakini kibaya zaidi nimekuonyeshea vyama vyote viwili vinasapoti hilo jambo haijalishi ni mdemokrat au mrepublic.

Sasa wewe unakataa kwa misingi Gani?
 
[emoji636]The Prince Wales made an unannounced trip to Poland, meeting with UK and Polish troops there, CNN reported.

He also met Ukrainian refugees and the troops on the border with Ukraine.
1679573674727.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji1103][emoji1255]Ukraine has sent an official request to Finland for the supply of F/A-18 Hornet fighters to the Ukrainian Air Force, Helsingin Sanomat reported.

The first step would be trilaterial talks between Finland, The US and Ukraine.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji1255][emoji633]Spanish Ministry of Defense informed, that Spain joined the EU initiative approved the day before to purchase one million artillery shells for Ukraine during the year. Spain became the 19th country participating in the project.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
For several months, russian propaganda has been announcing a "large-scale offensive" of the russian army in Ukraine, but the enemy has no success.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mkuu mtu kama Biden unaweza kumchukia au kumpenda au kutojali. Ila tukijadili mambo mazito nashangaa kusikia maneno ambayo hayana uhusiano na hali halisi. Wapi huyu mzee alijitangangaza kuwa shoga? Akijificha - umeona nini kuthibitisha ukweli huu? Ninavyoona alimwoa mwanamke akazaa watoto naye, yule mama alikufa mapema, akaoa mara ya pili na hadi leo yuko pamoja na mke wake. Sijawahi kusikia kwamba kuna matatizo katika ndoa hiyo. Hivyo nilimwuliza mwenzetu kwenye msingi gani anamwita Biden "shoga", halafu jina au matusi yale anatusaidia nini kuelewa hali ya vita tunayoangalia?
Mkuu labda nikuulize wewe kama wewe sera za mashoga(lgtb society) wewe binafsi unazichukuliaje...

Ni ngumu kuwa upande wa kitu ambacho huna element nacho...yaan 'bond' either physical or emotional...

Kama umeweza kumfuatilia Biden kiasi hicho naamini pia unajua mengi ya ulimwengu huu na nikwanini hadi wanatufikisha huku tunapolia napo sasa.. Sio kwa bahati mbaya kuwa tumefika hapa tulipo bali kuna waliotufikisha hapa kwa maslahi yao..
Na kama huyajui maslahi yao ila unaijua historia ya Biden basi taarifa zako unazoandika hapa itakua ni mihemko yako binafsi, ila km unayajua maslahi ya waliotufikisha hapa basi naamini una mawili kati ya wewe ni mnufaika na West wanachokifanya au wewe ni mbishi tuu kwakua una ile 'bond'

Baada ya hayo...ukisisitiza afrika tukatoka kwenye ukoloni mamboleo utakua umeokoa kizazi chako pakubwa kuliko hapa kilipo huko 'future time'
Hata kama west ndio wawezeshi wa maisha yako, wakikuachia ukawa huru basi utaweza kupigania kizazi chako cha baadae kikawa na nguvu kushinda hapa ulipo sasa..West sio watu wenye utu kwa race zingine tofauti na wao..labda km wewe ni race yao na upo hapa unapigania manufaa yenu ki-propaganda
 
'Coffins on Treads': Museum-Grade Tanks Spotted Moving From Repair Base in Russia

Russia scrapes deeper into the bottom of its kit barrel as it moves to field the antique T-54/55 series of tanks. Even pro-Kremlin commentators are appalled.

Read more on our website.



Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hawa ni wapinzani wa jadi wa Marekani. Inaeleweka!!
Sio wapinzani wa jadi... Marekani anaenda kusakizia mgogorodogo uwe vita ili auze silaha..yaani kama mna ugomvi yeye hasimami upande wenye haki...anasimama kule ambako hakuna haki hadi mpigane apate pakuuzia silaha..na kama ulikua hujui hili tambua hilo.. Angalia maeneo yote alikokita kucha zake..ni ule upande ambao hawana haki ya hcho kinachogombaniwa... Chungeni sana kuhusu Tz na Znz, muungano wenu huu wa koti likikubana livue, mpaka wa ziwa nyasa kati ya Tz na Malawi, wanawazooom tuu..wapate pa kuingiza mguu..
 
Back
Top Bottom