Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kuna muda ufike, lazima tuwe reasonable na tufahamu tunajadiliana na watu wa namna gani.

Mtu anatetea ushoga na mambo ya kusagana, mtu anaona kufumuliwa marinda kwake ni sawa tu.
Sasa mtu kama huyo unafikiri anaweza kuwa na akili timamu za kuwa na mjadala wenye tija?
Mtu kama huyo unafikiri anaweza kufikiria proper?

Judge topic not a person
 
Kabisa sababu dola inapewa nguvu kubwa sababu yauhitaji wake na kutumiwa kwake

Kukiwa nanjia mbadala ya DOLA basi DOLA itatuacha haraka sana

Ingawaje hizo karens zengine kupatikana sio rahisi ingawaje inawezekana
Hiyo dola haikujiweka, imewekwa..sasa inatolewa...ziwekwe zoote za dunia hii...acha na shilingi yetu ijulikane bwana...tukinunua wese uarabuni wanajua hii

Exchange rate kati ya sh na Dinar ya kuwait..india-sh na rupee china- sh na yuan, jmn kwani dhambi pesa yetu kuipita dola? Wakati wazalishaji wa raw material ni huku kwetu....sisi tena ndio tunakua masikini...tulikua tunamlilia Mungu tulikosea wapi...hadi wengine wanasema bora wangezaliwa mbwa huko US....
Haya sasa Mungu katuonyesha kupitia Russia tulipokosea..sidhan kama baadae tutalialia tena km tukikosea hapa tena kushindwa kukata kabisa minyororo...
Tena sio kwamba Putin katuambia tutume makombora kama mkoloni anavyohimiza wakoloni wenzie watume makombora
Anachoomba Putin ni kumuunga mkono kukata minyororo wakoloni walioifunga kwenye serikali zetu.
Mali wamekata nyororo, Bukina faso wamekata nyororo, Congo wako mbioni kukata nyororo...
Putin hajatuita tuende vitan, wakoloni ndio wanatupiga mikwara tusikate nyororo eti tumkazie mpiga kabali kule juu(Russia) ili mnyororo usikatike.
 
Slovakia transfers first four MiG-29 fighters to Ukraine - Slovak Defense Minister Jaroslav Nagy

According to him, the rest of the planes will be handed over to Ukraine in the following weeks.

Join our telegram channel for more videos - link in comments



Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kazi inaendelea Kwa Kasi kubwa
🇷🇺⚔️🇺🇦RVVoenkory sharing information from the Ukrainian military analysts:

▪️ The Wagner PMCs is conducting a massive assault on Bakhmut, the AFU is losing ground in the city and the district

▪️ Despite the transfer of AFU reinforcements, Russian assault detachments continue to push the enemy around the clock.

▪️ "The general situation is very difficult. It didn't get any better.

▪️ North - Wagner set a goal to take Bohdanivka and Khromove at any cost. And this has been strongly felt in recent days: the assault actions are very massive, the number of artillery shells produced is also sky-high.

▪️ These assaults are still working. The Russians are slowly advancing and the AFU cannot stop them."

▪️ "North of Bakhmut, the Wagner PMCs presses in the direction of Bohdanivka and Khromove from several directions. Positions move from one side to the other several times a day. The difficulties are caused by the superiority of the Russian army in artillery. The fighting continues," another Ukrainian military analyst details the situation.

▪️ Heavy fighting continues in the areas of Squares, the Plane and the Water Utility. Since the evening, Russian troops have increased the intensity of artillery and air strikes. Active battles are taking place along Korsunsky, Ivan Ivkin, Geologists and Grigory Skovoroda streets.

▪️ The Razdolovka-Vasyukovka-Veseloe line – counter and positional battles continue.

▪️Heavy fighting continues on the southwestern outskirts of Bakhmut.

▪️The situation in the Ivanovske(Krasne) area is currently the most difficult in the entire Bakhmut direction. Wagner decided to urgently "close the issues" with Bakhmut's encirclement.

▪️ In the Sobachevka area, there are minimal changes in the gray zone on both sides. Positional street battles do not stop.
 
Narudia tena kuwa NATO haihusiki na kushambuliwa kwa huo msafara wala kujihusisha na mambo ya LIbya kijeshi. Wakati huo NATO walikuwa wako bize na mambo ya Afghanstan!
Walikua wanatafuta nini afganistan? Kwan wao hawana kwao? Hizo ICC hazifanyi kazi? Hizo Security bodies walizounda zifanye kazi gani? Nchi zikizinguana watumie hii mbinu ya kumtenga kiuchumi kwa pamoja kama wana ukoo mnavyofanya kwenye koo zenu...
Hatakua na mtu atakaenunua bidhaa zake kwakua wote dunia nzima mtakua hamjamshambulia na mmemwekea vikwazo vya kiuchumi..atakuja meza ya majadiliano mtatatua matatizo ya mipaka kwa mazungumzo..
Bunduki shikeni ndani ya mipaka yenu...ukitoka nje ya mipaka yako huruhusiwi kushika hata kisu..
Ni makubaliano tu tunaishi kwa amani..ila US na UK hawatakubali kitu kama hiki kitokee..maana ndio kula yao
 
Damu imetoka masikioni hatimaye kenge kasikia. Hatutoona tena drone karibu na Crimea, SU-27 zime prove wakiweka ugoko ukaweka jiwe akili zinawarudia
Screenshot_20230323-162349~2.png
 
Huyu jamaa kiboko 🥱🥱🥱[emoji116][emoji116][emoji116]


[emoji298]️Volodymyr Zelensky visited frontline positions of the Ukrainian military in the Bakhmut area.

The President also awarded defenders of Bakhmut, the President's website reported.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ana-ride mwenyewe au wamemkinga kwa nyuma asikamatwe?
 
Rais wa Czech amesema kwamba nchi yake haiwezi kuendelea tena kuipatia Ukraine silaha kwa sababu ya issue ya manpower kwa ajili ya kufanya kazi viwandani.

Amesema kama Ukraine wanataka silaha, basi walete manpower ili hizo silaha zitengenezwe.

Otherwise, wasahau kabisa swala la wao kuletewa silaha.
Screenshot_20230323-161341_Telegram.jpg
 
Nchi ya slovakia imepata punguzo la bei toka kwa Marekani kwa Helkopta aina ya Bell AH-1Z Viper kutokana na nchi ya Slovakia kuwasaidia Ukraine ndege zake 13 za kivita zisizotumika aina ya Mig-29.

Badala yake Marekani itaiuzia Slovakia Helkopta za kivita 12 kwa bei ya punguzo ya Dollar milioni 340 badala ya dollar bilioni moja.
Biashara imeanzaaaa....amewekeza bilion 180 ukrain ameanza na nchi moja kuvuna milion 300
 
⚡️Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation (23 March 2023)

The Armed Forces of the Russian Federation continue the special military operation.

◽️In Kupyansk direction, aviation and artillery of the 'Zapad' Group of Forces have engaged the units of the Armed Forces of Ukraine close to Artyomovka (Lugansk People's Republic), Dvurechnaya and Berestovoye (Kharkov region).

💥The enemy's losses in this direction during the day amounted to 70 Ukrainian troops, one infantry fighting vehicle, two pickup trucks, one Grad MLRS vehicle, and one U.S.-made M777 artillery system.

◽️In Krasny Liman direction, ground-attack and army aviation, artillery and units of the 'Tsentr' Group of Forces have inflicted fire damage on enemy manpower and military hardware close to Chervonaya Dibrova (Lugansk People's Republic), Terny and Yampolovka (Donetsk People's Republic).

💥More than 80 Ukrainian servicemen, two armoured vehicles, three pick-up trucks, and one D-30 howitzer have been destroyed during the day.

◽️In Donetsk direction, units and artillery of the 'Yug' Group of Forces eliminated more than 250 Ukrainian troops, six tanks, five armoured fighting vehicles, seven motor vehicles, and one D-20 howitzer.

💥An ammunition depot of the 72nd Mechanised Brigade of the Ukrainian Armed Forces has been hit close to Lastochkino.

◽️In South Donetsk and Zaporozhye directions, artillery and aviation of the 'Vostok' Group of Forces engaged the AFU units close to Ugledar and Novomikhailovka (Donetsk People's Republic).

💥As many as 50 Ukrainian servicemen, one pick-up truck, three motor vehicles, and D-20 and D-30 howitzers were neutralised in these directions during the day.

◽️In Kherson direction, over 15 Ukrainian servicemen, five motor vehicles have been neutralised by fire.

💥Operational-Tactical and Army aviation, Missile Troops and Artillery of the Armed Forces of the Russian Federation have hit 76 AFU artillery units at their firing positions, enemy's manpower, and hardware in 114 areas during the day.

◽️In addition, a fuel depot for military hardware of the 65th Territorial Defence Brigade was destroyed near Zaliznichnoye in (Zaporozhye region).

✈️Fighter Aviation of the Russian Aerospace Forces intercepted one Su-24 helicopter of the Ukrainian Air Force close to Boguslavka (Kharkov region).

💥Russian air defence forces have intercepted five HIMARS MLRS shells during the day.

💥In addition, 16 Ukrainian unmanned aerial vehicles were intercepted in the areas of Zaliman, Kremennaya (Lugansk People's Republic), Vladimirovka, Vasilieyvka, Pavlovka (Donetsk People's Republic), Berestovoye, Lozovaya (Kharkov region), and Aleshki (Kherson region).

📊In total, 404 airplanes and 224 helicopters, 3,544 unmanned aerial vehicles, 414 air defence missile systems, 8,384 tanks and other armoured fighting vehicles, 1,071 combat vehicles equipped with MLRS, 4,415 field artillery cannons and mortars, as well as 9,073 units of special military equipment have been destroyed during the special military operation.

#MoD
🔹 @mod_russia_en
 
Nakupinga boss. Utaniambia wapi nimekosea.

Kukishakuwa na product za aina moja nyingi sokoni, System ya demand and Supply itainua product moja juu na itakuwa na thamani kuliko zingine na ndipo utawala wake unaanza hapo.

Automatically utaenda sokoni mtu hatataka ela yako atataka umpe hela ambayo akienda kwa mwingine itahitajika.

Imagine unafanya biashara kwa kutumia Iranian Rial, fedha ambayo haitajiki sana duniani, utaichukua ikae kwenye reserve yako uipeleke wapi? Automaticalły utataka aibadili kwa kutumia mzani wa fedha fulani ndipo mfanye biashara. Sasa huo mzani utakaokuwa unatumiwa na kila nchi demand yake itapanda mwishowe inakuwa na nguvu hence inaaminika.

Unajua USA hajajiweka pale, demand ndiyo ilimuweka hapo ila kubaki hapo akatumia na anaendelea kutumia mbinu mpaka zinazoumiza nchi nyingine ndio maana anapingwa. Mfano kukopa kwa rate ya juu kisha siku ya kulipa anafanya devaluation.

Kumuondoa USA kutaleta uhitaji wa fedha nyingine itakayohitajika na kuaminika na wengi. Ni suala la demand and Supply ya currency sokoni unless mm sijui kabisa kuhusu uchumi na nahitaji kuelimishwa unipe hiyo elimu.
Uhitaji uliopo ni national reserve=total currency yako..wee badilishana pesa na wale unaofanya nao biashara tuu..hao wengine haihitajiki kuwa na pesa yao..tuna option ya cryptocurrency..kwa nchi ambazo hufanyi nazo biashara sana..ila ndio hivo..dola inadondoka...
 
Fikiria kwamba wao wanajikopesha toka kwenye benki yao, na Benki Kuu ya Marekani kihistoria siyo mali ya serikali ujue. Kwa ivo kuna ukomo wa kukopa (Debt Ceilling) kwa kubashiri miaka kadhaa mbele kwamba uchumi wa Marekani utakuwa salama kulipa fedha walizokopa toka Benki Kuu yao.

Hizo dollar zinatumika kuwekeza kwenye biashara kuchochea uchumi kukua, na zingine zinawekezwa kwenye kusaidia nchi mbali mbali duniani. Sasa hayo unayoyaita makaratasi ndiyo yanatumika kuendeshea baadhi ya miradi hapa Tanzania inayoajiri maelfu ya watanzania.

Serikali ya Marekani katika kutafuta hela za kulipa zile walizokopa toka kwenye Benki Kuu yao, wanatoza kodi na kuuza hati fungani za serikali na madeni ya serikali. Uchina inanunua hatifungani na madeni ya Marekani kwa karibu dollar Trilioni moja. Kwa ivo kwa maana nyingine sehemu ya uchumi wa China upo Marekani.

Kwa ivo leo hii dollar ikiporomoka thamani yake na uchumi wa Marekani nao ukayumba, na uchumi wa China nao utayumba na dunia ni lazima itatikisika. Kwa ivo kuondoa matumizi ya Dollar inawezekana lakini si kwa mara moja wala kulazimisha.
 
Back
Top Bottom