Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Fikiria kwamba wao wanajikopesha toka kwenye benki yao, na Benki Kuu ya Marekani kihistoria siyo mali ya serikali ujue. Kwa ivo kuna ukomo wa kukopa (Debt Ceilling) kwa kubashiri miaka kadhaa mbele kwamba uchumi wa Marekani utakuwa salama kulipa fedha walizokopa toka Benki Kuu yao.

Hizo dollar zinatumika kuwekeza kwenye biashara kuchochea uchumi kukua, na zingine zinawekezwa kwenye kusaidia nchi mbali mbali duniani. Sasa hayo unayoyaita makaratasi ndiyo yanatumika kuendeshea baadhi ya miradi hapa Tanzania inayoajiri maelfu ya watanzania.

Serikali ya Marekani katika kutafuta hela za kulipa zile walizokopa toka kwenye Benki Kuu yao, wanatoza kodi na kuuza hati fungani za serikali na madeni ya serikali. Uchina inanunua hatifungani na madeni ya Marekani kwa karibu dollar Trilioni moja. Kwa ivo kwa maana nyingine sehemu ya uchumi wa China upo Marekani.

Kwa ivo leo hii dollar ikiporomoka thamani yake na uchumi wa Marekani nao ukayumba, na uchumi wa China nao utayumba na dunia ni lazima itatikisika. Kwa ivo kuondoa matumizi ya Dollar inawezekana lakini si kwa mara moja wala kulazimisha.
Fatilia Uchina na hatua anazochukua kwa Sasa?

Utakuja kugundua unsyojadili Sasa, wenzako wameyafanyia kazi karibu miaka 5 nyuma.

Halafu kumbuka uchumi wa China ni uzalishaji wakati wa Marekani ni Service.
 
Urusi ilijaribu kila mbinu kupiga mabomu miundo mbinu ya kuzalisha na kusambaza umeme ili wananchi wa Ukraine wateseke, nawashangaa sana maustadhi wanaoshabikia ukatili wa Putin, amekua 'mungu' mtu....
Umeme bado upo wa kumwaga, wananchi pale Kyev bado wanaendelea na maisha yao, Putin alipiga hadi bembea za watoto.

Ukraine's electricity supply has not collapsed despite Russian attacks on energy infrastructure. Energy supplier Ukrenergo says a mild winter, imports from the EU and more nuclear power have helped.
This winter has put the Ukrainian energy system to the test. Since the start of the season, the Russian army has carried out 15 massive rocket attacks and 18 drone attacks on energy facilities in Ukraine. The attacks have aimed to destabilize the country's energy system and put the population at the mercy of the dark and cold.

The Energy Ministry in Kyiv told DW that more than 50% of Ukraine's energy infrastructure was damaged, affecting both electricity generation and conveyance. It said the most significant damage was done to heating facilities, with every single cogeneration plant hit.

"All the big heat and hydropower plants were damaged by Russian fire," Volodymyr Kudrytsky, the director of the state-run Ukrainian energy supplier Ukrenergo, said.

Almost all major substations had been attacked at least three to four times, he said. "We have objects that were hit six times, or some even 20 times," he added.

But the electricity supply has been maintained, he said. According to Kudrytsky, there have been no more outages since mid-February and the system has been working without any restrictions.


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Yaani ukrain akiacha kushambulia miundombinu ya Russia na hashambuliwi..subiria jibu la shambulizi huko cremea...
 
Fatilia Uchina na hatua anazochukua kwa Sasa?

Utakuja kugundua unsyojadili Sasa, wenzako wameyafanyia kazi karibu miaka 5 nyuma.

Halafu kumbuka uchumi wa China ni uzalishaji wakati wa Marekani ni Service.
Ni kweli Uchina inaanza kujiweka sawa kuzuia uchumi wake kuathiriwa kama uchumi wa Marekani utayumba. Uchumi wa Marekani kuwa wa huduma na siyo uzalishaji kwa kuwa washavuka kwenye uchumi wa uzalishaji. China bado iko kwenye uchumi wa uzalishaji kwa kuwa bado hawajafikia kwenye uchumi wa huduma kutokana na wingi wa watu wake ukigawanya pato ghafi la Taifa utaona kuwa bado wanatakiwa kuzalisha sana ili wafikie kiwango cha uchumi wa huduma.

Siyo Kwamba Marekani haizalishi bali idadi ya wazalishaji inakuwa ndoto kutokana na maendeleo ya Teknolojia kwa ivo kuzalisha siyo jambo kuu bali huduma. Wamarekani wapo kama milioni 350 wakati China ni watu karibia bilioni 1,412. kwa ivo Marekani inaingia kama mara tatu kwa Uchina.

Kuna wakati Marekani ililalamika kuwa Uchina inashusha thamani ya fedha yake. Hii ni ishara kwamba hizi nchi mbili zinafuatiliana sana kiuchumi.
 
Ndiyo ujue kuwa huwezi kuweka "Sanctions" kama wewe siyo mbabe dhidi ya unayemwekea hizo "Sanctions". Kwa ivo kama watu hawakai upande wa Urusi ama Uchina wakati wa matatizo, ina maana nchi nyingine zinaona si salama kukaa upande wa Urusi au China zinapokuwa na mzozo na Marekani.
Nchi ambazo hazina rasilimali kama za ulaya lazima zijikombe kwa USA hivyo wanaogopa wakipigwa sanctions na USA watakuwa hawana pa kutokea tofauti na Nchi kama Russia ukiwekea vikwazo ni sawa na wewe mwenyewe kukalia msumali.
 
Nchi ambazo hazina rasilimali kama za ulaya lazima zijikombe kwa USA hivyo wanaogopa wakipigwa sanctions na USA watakuwa hawana pa kutokea tofauti na Nchi kama Russia ukiwekea vikwazo ni sawa na wewe mwenyewe kukalia msumali.
Siku Ulaya ikipata mbadala wa Gesi ya Russia... Sema mnunuzi na muuzaji siku zote huwa wanategemeana. Huo ni mfumo wa biashara usiohepukika duniani kote.
 
Vipi kuhusu humu JF, je nao watimuliwe au waondoke ???!!! Nauliza tu...
Watajiondokea au wataacha hiyo tabia..maana ni damage in mind, hivyo tukiwatimua wataenda kujiunga na waliotimuliwa uganda wanakua pipa na mfuniko..waache wajielemishe hapahapa huenda wakaacha..ile ni kama cocain inahitaji rehab, na rehab ni hapahapa jf[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hiyo dola haikujiweka, imewekwa..sasa inatolewa...ziwekwe zoote za dunia hii...acha na shilingi yetu ijulikane bwana...tukinunua wese uarabuni wanajua hii

Exchange rate kati ya sh na Dinar ya kuwait..india-sh na rupee china- sh na yuan, jmn kwani dhambi pesa yetu kuipita dola? Wakati wazalishaji wa raw material ni huku kwetu....sisi tena ndio tunakua masikini...tulikua tunamlilia Mungu tulikosea wapi...hadi wengine wanasema bora wangezaliwa mbwa huko US....
Haya sasa Mungu katuonyesha kupitia Russia tulipokosea..sidhan kama baadae tutalialia tena km tukikosea hapa tena kushindwa kukata kabisa minyororo...
Tena sio kwamba Putin katuambia tutume makombora kama mkoloni anavyohimiza wakoloni wenzie watume makombora
Anachoomba Putin ni kumuunga mkono kukata minyororo wakoloni walioifunga kwenye serikali zetu.
Mali wamekata nyororo, Bukina faso wamekata nyororo, Congo wako mbioni kukata nyororo...
Putin hajatuita tuende vitan, wakoloni ndio wanatupiga mikwara tusikate nyororo eti tumkazie mpiga kabali kule juu(Russia) ili mnyororo usikatike.
Mashoga ya Nato sijui akili na kutolewa marinda vina uhusiano gani yani bila shaka marinda yakitoka na akili zinasepa
 
Urusi anapigana vita hii kwa kutumia misuli (Askari na Mamluki wa Wagner) wakati zama zimebadilika kwa vita kuendeshwa kielektroniki zaidi. Ina maana hata teknolojia ya "Drone" Urusi iko nyuma sana na ndiyo maana wananunua hizo Drone toka Iran.
Ahangaike kuunda drone zanini hivyo vipepeo...wakati anavinunua kama unavyonunua karanga na bublegum unajua kwanini anapiga sana miundombinu ya umeme? Anajua lazima wataharakisha kuunganisha umeme kwenye mashimo wanamojificha...akapga tena wakaunganisha mashimoni fasta...akajua hapa kuna mali...akamtuma mtoto mhuni Kinzhal akazama ndichi...kilio chake ni kama mbwa koko aliepigwa jiwe...
 
[emoji298]️The transfer of depleted uranium missiles to Ukraine is not a nuclear escalation, it is only about helping Ukraine defend itself, British Foreign Secretary James Cleverly said, Reuters reported.

[emoji328]: Reuters

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Apeleke..hajanyimwa..ila ameonywa tuu...kama atasikia sawa..kama ataziba masikio yatazibuliwa akizifikisha.
 
The Russian military has lost so many tanks since Feb. 24, 2022 that it is apparently calling up ancient armored vehicles to make up for its current battlefield losses, according to findings of the Tbilisi-based open-source Conflict Intelligence Team.


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app

Tanks ngapi??
 
Back
Top Bottom