Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hakuna asiyetaka Marekani kuwa na nguvu. Ndiyo maana Urusi aliondoa silaha za Nuclear huko Cuba.
Marekani lipewa nafasi ya kusaidia dunia katika Currency kwamba dunia itumie $ kama currency ya kuuziana kwenye international business.
Lakini cha kushangaza USA na washirika wake wameifanya dollar kuwa silaha. Sasa unataka huyu aendelee kujitanua na kunyanyasa watu?
1. Vietnam aliua watu wengi
2. Yugoslavia
3. Iraq
4. Afghanistan
5. Libya
6. Syria
7. Somalia

Sasa mwenzetu unataka USA asiweze kufugika?
USA ni mbwa kichaa na dawa yake ni kuwa eliminated tu.
 
Itapiganwa kivipi ndani ya USA? Do you think USA ataruhusu hilo? Do you think USA ni mjinga kiasi hicho cha kuingia kichwakichwa bila kuusoma mchezo? Maana naamini na yeye anajua kuwa anawindwa.
Siungi mkono USA Lkn natamani kujua kwa facts kuhusu Uwezekano WA USA kuchapika kwa kuchangiwa na hayo mataifa rafiki (China, Russia, North Korea na Iran) tena vita ipiganwe ndani ya USA.. !
Mkuu hatusemi mambo ya kubuni hapa - jaribu kufatlia historia ya taifa hili la ajabu linapo kuja suala la kujiingiza kwenye mambo ambayo hayamuhusu kabisa kabisa - leo hii kwa mfano Blinken kamwambia nini Museveni?? Huo ni mfamo mdogo - sasa tuje kwenye mikubwa ambayo Merikani iliwahi kujiingiza kichwa kichwa bila ya kutafakari mambo kiundani, la kwanza lilikuwa vita ya Korea (1950 -1953) jeshi la Merikani na washirika wake walitandikwa kweli kweli na jeshi la Korea kaskazini likishirikiana na wanajeshi kutoka Uchina - wakarudishwa nyuma mpaka nyuzi 38 parallel, blunder nyingine ni ya kujingiza kichwa kichwa kwenye vita ya VietNam mwanzo WavietNam walikuwa wanapigana na Ufaransa, walipo washinda Wafaransa basi Wamerikani wakajiingiza kwenye vita hiyo kisiri siri kwanza tangu 1955 lakini watu wengi idhani USA iliingilia vita ya VietNam kuanzia 1965 - 1975 hii si kweli hata kidogo, ukweli wa mambo ni kwamba USA imepigana vita VietNam kwa miaka 20 sio kumi kama baadhi ya watu wanavyo amini.

Narudia kukumbusha kwamba USA ikiendeleza vurugu zake Duniani hasa hizi za kijinga za Biden kuamini kwamba anaweza kumuondoa madarakani au kumburuza Putin vyo vyote anavyo taka au kujaribu kuidhoofisha Russia kijeshi,kiuchumi na eventually kuisambaratisha - Biden akipania kufanya makosa hayo na ikathibitika moja kwa moja kwamba US/NATO wanataka kujiingiza moja kwa moja kwenye mgogoro huu - basi watamchangia na kuipa kipigo kitakatifu USA yenyewe bila ya kujali type ya silaha anazo miliki ambazo nyingi zake Russia ilisha zijulia jinsi ya kuzi intercept na kuziangamiza juu kwa juu - sisemi Urusi haiwezi kupata hasara lakini ilisha jitayarisha siku nyingi jinsi ya ku-deal na NATO specifically USA hata bila ya kitegemea Uchina,Korea Kaskazini na Iran - in case mataifa hayo yakihamua kushirikiana kiipa findisho US watahakikisha vita hii inapiganwa kwenye aridhi ya Merikani kweyewe for the first time,means and ways ya kifika huko Merikani mataifa hayo tajwa hapo juu yanayo sana - mark my word.
 
Hawana mda wa kuhangaika na vipepeo..wao wanaunda nyuki na nyigu..ukiskia nnzzwiiiii fanya toba haraka angalau roho iwe safi..hat uwe futi 500 chini
Hawana mda wa kuhangaika na vipepeo..wao wanaunda nyuki na nyigu..ukiskia nnzzwiiiii fanya toba haraka angalau roho iwe safi..hat uwe futi 500 chini
Hili ni jibu lenye mshiko kweli kweli - BRAVO.
 
Mkuu unazungumzia uvamizi...yeye anazungumzia mapigano...hizo nchi alizotaja hazitakubali vita ipiganwe kwao tuu, watahakikisha uchokozi wa US ukileta vita basi ipiganwe hadi kwenye ardhi ya US..
Ndio tunajiuliza hayo majeshi yatavamia ardhi ya US ili kuleta Vita ?..Na kama ni hivyo, je yatavuka bahari au yatapitia mipaka ya Mexico na Canada ili kuifikia ardhi ya US ?
 
Sio wapinzani wa jadi... Marekani anaenda kusakizia mgogorodogo uwe vita ili auze silaha..yaani kama mna ugomvi yeye hasimami upande wenye haki...anasimama kule ambako hakuna haki hadi mpigane apate pakuuzia silaha..na kama ulikua hujui hili tambua hilo.. Angalia maeneo yote alikokita kucha zake..ni ule upande ambao hawana haki ya hcho kinachogombaniwa... Chungeni sana kuhusu Tz na Znz, muungano wenu huu wa koti likikubana livue, mpaka wa ziwa nyasa kati ya Tz na Malawi, wanawazooom tuu..wapate pa kuingiza mguu..
Ndiyo maana tunaombea urusi ishinde
 

updates: Ukraine signals counterattack to come 'very soon' as Wagner mercenaries suffer large losses​


Holly Ellyatt
WATCH LIVE

Ukraine's most senior ground forces commander sent a strong signal Thursday that the country's armed forces will launch a much-anticipated counteroffensive "very soon" to take back lost territory.

Colonel-General Oleksandr Syrskyi said that the Wagner Group of mercenaries fighting in Donetsk were losing manpower, equipment and "considerable strength" and that "very soon" his forces would take advantage of the "opportunity" that presented.

A repainted mural depicting the logo of Russia's Wagner Group on a wall in Belgrade, Serbia, on Jan. 19, 2023.

A repainted mural depicting the logo of Russia's Wagner Group on a wall in Belgrade, Serbia, on Jan. 19, 2023.
Darko Vojinovic | AP

The comments come just as Russian forces are seen to be losing momentum in Donetsk in eastern Ukraine.

Separately, the head of the Wagner Group of mercenary forces in Ukraine, Yevgeny Prigoin, denied a Bloomberg report suggesting that he is preparing to reduce Wagner's involvement in the conflict after a major dispute with Russia's Ministry of Defense.
 

If Putin were arrested abroad after ICC warrant it would mean a "declaration of war," Russian official says​

From CNN's Radina Gigova in London and Nadine Schmidt in Berlin


Dmitry Medvedev attends a military parade on Victory Day in Red Square, Moscow, Russia, on May 9.
Dmitry Medvedev attends a military parade on Victory Day in Red Square, Moscow, Russia, on May 9. (Maxim Shemetov/Reuters)

If Russian President Vladimir Putin gets arrested overseas following the International Criminal Court’s (ICC) warrant, that would mean "a declaration of war against Russia," Russian Security Council Deputy Chairman Dmitry Medvedev said Thursday, according to state news agency TASS.

"Clearly, such a situation is never going to happen but still, let’s imagine that it has happened. The incumbent head of a nuclear country arrives in, say, Germany, and is arrested. What does it mean? A declaration of war against Russia," Medvedev said, responding to a media question. "In such a case, all our weapons will target the Bundestag, the [German] chancellor’s office and so on."

Responding to German Federal Minister of Justice Marco Buschmann’s remark that Berlin would have to implement the ICC decision and arrest the Russian president if he arrived in Germany, Medvedev said: "Does he even realize that it would be a casus belli, a declaration of war?

Medvedev also reiterated that the ICC’s decision would have detrimental impact on Moscow’s relations with the West.

"Our relations with the Western world are already poor; they are perhaps at their worst ever. Even when Churchill delivered his Iron Curtain speech, our relationship was better. And all of a sudden, they make such a move against our head of state," Medvedev said, according to TASSS.
 
[emoji298][emoji298]If Russia is afraid of depleted uranium shells, it can withdraw its tanks from Ukraine, this is my recommendation to them, – John Kirby.

Join our telegram channel for more videos - link in comments



Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 

Ukraine will be able to go on the offensive in Bakhmut "very soon," says top commander​

From CNN's Vasco Cotovio and Svitlana Vlasova


Ukrainian soldiers ride atop a tank on the front line in Bakhmut, Donetsk region, Ukraine on Wednesday, March 22.
Ukrainian soldiers ride atop a tank on the front line in Bakhmut, Donetsk region, Ukraine on Wednesday, March 22. (Libkos/AP)

The ongoing depletion of Russian forces fighting for Bakhmut will allow Ukraine go on the counteroffensive in the eastern city "very soon," a top Ukrainian general said in a Telegram post on Thursday.

“[Russians] are losing significant forces [in Bakhmut] and are running out of energy,” said Col. Gen. Oleksandr Syrskyi, commander of Ukraine's land forces.
“Very soon, we will take advantage of this opportunity, as we did in the past near Kyin Kharkiv, Balakliya and Kupyansk," he said, referring to instances where Russian troops have previously retreated in the face of Ukrainian counteroffensives.
Syrskyi said Russian forces — made up mostly of fighters from the Wagner private military company — continue to try and take Bakhmut “at any cost, despite losses in both manpower and equipment.”

The commander, who has paid frequent visits to soldiers close to the front line in and around Bakhmut, also paid tribute to Ukrainian soldiers defending the city.

“Under continuous fire from enemy artillery and aircraft, our soldiers at the front demonstrate superhuman resilience, courage and bravery,” he said. “In particular, the units of the 93rd, 10th, 57th and 5th Brigades who are now defending our homeland in the east of the country.”

Some context: In an update Wednesday, Ukraine's military said Russia's offensive capacity is diminishing in and around Bakhmut as Moscow's forces expend large numbers of troops trying to capture the city in fierce fighting.
 
Uhitaji uliopo ni national reserve=total currency yako..wee badilishana pesa na wale unaofanya nao biashara tuu..hao wengine haihitajiki kuwa na pesa yao..tuna option ya cryptocurrency..kwa nchi ambazo hufanyi nazo biashara sana..ila ndio hivo..dola inadondoka...
Okey boss
 
Uhitaji uliopo ni national reserve=total currency yako..wee badilishana pesa na wale unaofanya nao biashara tuu..hao wengine haihitajiki kuwa na pesa yao..tuna option ya cryptocurrency..kwa nchi ambazo hufanyi nazo biashara sana..ila ndio hivo..dola inadondoka...
Okey boss
 
[emoji298][emoji298]If Russia is afraid of depleted uranium shells, it can withdraw its tanks from Ukraine, this is my recommendation to them, – John Kirby.

Join our telegram channel for more videos - link in comments



Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Russia wakitumia wasiseme ni uvunjaji wa Haki za binadamu.
 
Umri na kuelewa mambo havina uhusiano. Wewe unayedhani kwamba unaelewa kama inashindikana kujieleza ueleweke, hilo litakuwa ni tatizo lako siyo langu. "Basic Knowledge" kwa nani??

Ninachojua ni kwamba Mataifa mengi duniani China na Urusi zikiwemo yanaitegemea Marekani na Marekani inayategemea mataifa hayo. Chuki kwa Marekani haiondoi ukweli kwamba kwa sasa yenyewe ndiye kinara wa uchumi na kijeshi duniani!!
Hahahahahah mahaba ndindindi🤣 mtafeerwa sana awamu hii!
 
Ndio tunajiuliza hayo majeshi yatavamia ardhi ya US ili kuleta Vita ?..Na kama ni hivyo, je yatavuka bahari au yatapitia mipaka ya Mexico na Canada ili kuifikia ardhi ya US ?
Yatapitia Alaska - kwani kuna umbali gani kutoka Urusi kuingia Alaska - Canada hawana ubavu wa kudhibiti majeshi ya Urusi,Uchina,Korea Kaskazini - hawaji kwa miguu wanakuja na zana zote za mashabulizi ya kweli kweli, watatumia vile vile hypersonic missiles kwenye infrastrures muhimi - ambazo ni highly valued kama airbases na Naval bases ICBM silos command centers majengo yanayo jishighulisha na masuala ya Ulinzi/Wizara nk hapo zitatumwa SARMAT ICBM laden with MRIV kwa kupitia South Pole zinahibukia Mexico na kusambaratisha all designated targets mentioned above.
 
Yanayoendelea mitandaoni si hali halisi. Hebu sikia wanaojua vita wanavyosema.
🇺🇸⚔️🇨🇳🇷🇺The Pentagon does not consider war against Russia or China inevitable

American General Mark "Kyiv could fall within 72 hours"Milley said that he does not consider war against Russia or China inevitable

The chairman of the Pentagon's Joint Chiefs of Staff,Mark "Kyiv could fall within 72 hours"Milley , said that Russia and China have competing national security interests and the ability to threaten them, but war with these countries does not look inevitable.

"Both the People's Republic of China and Russia have opportunities to threaten our interests and way of life. However, a war with Russia or China is neither inevitable nor impending," Mark "Kyiv could fall within 72 hours"Milley said at a congressional hearing. The fact that there was no conflict of great powers in the world, Mark "Kyiv could fall within 72 hours"Milley explained the international order that was created after World War II, as well as "the military potential of the United States and its allies."
Russia Bado tu haijaamua lakini ikiamuani masaa 72 tu kazi inaisha. Aione mbishi KIPANYA
 
[emoji298]️The Indian Air Force states that Russia is unable to deliver vital defence supplies it had committed to India's military because of the war in Ukraine, Reuters reported.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom