Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Alisema haondoki Ukraine na kweli hajaondoka. Huoni huo ni uaminifu?

Mpaka sasa ameonesha hafurahii watu wake kuuawa, huo ni uadilifu.

Katikati ya mapambano anapewa fursa ya kwenda nchi nyingine aondokane na hatari za vita lakini yeye kakataa. Huo ni ushupavu!!
Siku akiondoka utasemaje? Nina uhakika kwa huu ujinga anaojazwa na marekani, ipo siku atatoweka
 
Zelensky ni kiongozi mpumbavu sana, na anataka aonewe huruma na dunia nzima kwa upumbavu wake.
Zelensky anapambana na wapumbavu wa dunia wanaodhani uendawazimu ni kitu cha kusifiwa. Mwendawazimu kadhani anaweza kuweka vibaraka wake Kyiv aliposhindwa kazusha vita ya kipumbavu kabisa. Zelensky amekuwa ni kama daktari kwa wendawazimu waliotopea kwenye ulevi wa madaraka.
 
Alisema haondoki Ukraine na kweli hajaondoka. Huoni huo ni uaminifu?

Mpaka sasa ameonesha hafurahii watu wake kuuawa, huo ni uadilifu.

Katikati ya mapambano anapewa fursa ya kwenda nchi nyingine aondokane na hatari za vita lakini yeye kakataa. Huo ni ushupavu!!
Kutoondoka Ukraine ndio uaminifu?
Before war Ukraine ilikuwa ni most corrupt country in Europe siuoni uaminifu hapo.

Donetsk sio watu wake? Mbona amekuwa akiwaua kwa past 8-9 yrs mfululizo?

Aondoke alafu malengo ya marekani yatakamilika namna gani?

Njoo na hoja zingine ndugu Allan sio hizi.
 
Zelensky anapambana na wapumbavu wa dunia wanaodhani uendawazimu ni kitu cha kusifiwa. Mwendawazimu kadhani anaweza kuweka vibaraka wake Kyiv aliposhindwa kazusha vita ya kipumbavu kabisa. Zelensky amekuwa ni kama daktari kwa wendawazimu waliotopea kwenye ulevi wa madaraka.
Daktari analialia kila siku kuomba msaada. Wewe kweli kiazi
 
Siku akiondoka utasemaje? Nina uhakika kwa huu ujinga anaojazwa na marekani, ipo siku atatoweka
Hata kuwa mtu wa kwanza kutowesha na wendawazimu wenye akili za kikatili kama Hitler. Unaweza kujiuliza ilitokeaje Hitler akaweza kuangamiza wale mamilioni ya watu wakati dunia inaangalia? Kumbe kuna wapumbavu waliokuwa wamamshangilia Hitler!!
 
Vita ilisababisha mapinduzi wakati watu walianza kuona njaa, au mazishi yalizidi, au makosa na uwongo wa viongozi vilikuwa dhahiri, au hofu ya watawala iliwafanya kutumia nguvu ya kinyama dhidi ya maandamano, au mchanganyiko wa sababu hizo...
nchi za Ulaya hakuna mazishi, na hadi sasa uchumi haukwami.
Urusi kuna mazishi. Uchumi unarudi nyuma, mwaka jana mapato ya gesi na mafuta yalifika bado, lakini mapato yanapungua sana. Njaa bado.
Mwaka ujao tutaona kama pesa za ustawi wa jamii na misaada kwa watu maskini itatosha au la. Putin ameongeza udhibiti wa media na intaneti, hivyo tutaona kama atafaulu kuendeleza kiwango cha propaganda . . . .
Tupe data za uchumi wa nani unashuka na wa nani unapanda na wanani upo sawia (inabidi sasa tukuandikie kwa lugha ya idhaa ya bbc landani ili utuelewe, mzungu utakijua tuu kiswahili vzr...kazana)
 
Kama haupo kwenye kundi la wenye akili huwezi kuwatambua walio na akili. Inawezekana Russia wanaona Zelensky hana akili, lakini hata wao wanajua ndani kabisa ya nafsi zao, kuwa jamaa ni shupavu, muadilifu na muaminifu kwa wananchi wake!!
Acha kumpamba ujinga mwenzako Mr. Zele bhana..anaushapavu gani? Ujinga tu...kasababisha hasara kubwa na isiyolipika kwa Mali za nchi na maisha ya raia wake. Halafu Leo unaibuka na kuanza kusifu upupu.
 
Mambo ya LGTB siyo mambo ya Wamarekani bali ya chama cha siasa kinachoitwa Democratic ambacho ndicho chama tawala kwa sasa nchini Marekani. Kwa ivo wakija Republican haya mambo ya ushoga kushadadiwa hutayasikia tena.

Leo Republican wangekuwa madarakani, Uganda ingeshangiliwa kwa hatua yake ya kupambana na ushoga badala ya kukaripiwa. Jambo rahisi unalifanya liwe gumu bila ya sababu za msingi!!
Hicho chama "Democratic " ulichotaja humu ni Cha wakongomani? Imenibidi niingilie tu, huku kulishana ujinga hapana. We bwana mdogo usiwe namna hiyo..Hilo jina lako sio LA watu wajinga wajinga.
 
Pata bahati siku moja uingie chumba cha upasuaji (theatre) uone jinsi madaktari wanavyoomba vifaa vya kufanyia operesheni. Lakini ukiwa daktari wa machizi unadhani utaacha kuomba msaada toka kwa watu kuja kukusaidia kuwashika machizi??
Huo ndio uchizi. Daktari wa ukweli kabla ya kufanya oparation, anaakikisha kila kitu kipo sawa, yaani kama vile PUTIN dakitari wa ukweli. Amewekewa vikwazo vyote unavyovijua lakini uchumi wake unazidi kupaa. Madakitari machizi yalioweka vikwazo ndio yanayoumia
 
Hicho chama "Democratic " ulichotaja humu ni Cha wakongomani? Imenibidi niingilie tu, huku kulishana ujinga hapana. We bwana mdogo usiwe namna hiyo..Hilo jina lako sio LA watu wajinga wajinga.
Cha wamarekani. Kwa ivo kwani Republican wanaopinga ushoga wao siyo wamarekani?? Ushoga siyo sera ya nchi ya Marekani bali huwa ni sera ya serikali ya Marekani pale serikali ya nchi hiyo inapoongozwa na Democratic. Usijadili kitu kama unakijua wakati hukijui!!??
 
Back
Top Bottom