Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

View attachment 2564072

Mara ya kwanza sikuamini, nilibisha sana, tena sana.... Yaaan guUrusii guwe na aircraft carrier moja tuu. Nilizani ni mazingaombwe ya mabeberu kumbe ni kiini macho cha mrussi. Ndugu zangu tazama hiyo hapo juu the only aircraft carrier of Russia. Embu angalia inavyo fuka moshi, na iko peke yake tuu hakia rusia ka bongo tu
Acha ushamba kasome doctrine ya mapigano ya kisoviet( Military doctrine ).

Halafu utajua kwa nini hajawekeza kwenye hilo jeneza linalo Elea.
 
Kwa kifupi hizo nchi 3 tu zinamkalisha chini mapema sana
Baba nchi tatu zote hizo?
Urusi peke yake inamkarisha USA .
Na wao USA wanalijua hili.
Na ndio sababu ya USA kuweka makambi Dunia nzima kumzunguka Urusi,kuunda NATO kumakribia Urusi.
Ukweli ni kwamba baada ya vita ya pili ya Dunia Urusi iliamua kuwekeza kwenye sayansi ya silaha na kijeshi kuliko kitu chochote.na usa wanajua hilo.

Utachelewa kuamini.
 
Kipi kinachobadil mwonekano wa sura yako mara baada ya kuitizama hii picha?
View attachment 2563912

Mie ni Lavrov na Medvedev nyuma, af nakua kama wao 🤣🤣🤣. Kingine temhea ya Putin na Xi, hiyo miguu as if wana piga Gwaride... left-left, right-right.
Kwa kifupi Putin ana ushawishi mkubwa sana.
Tofauti na media za west zinavyoaminisha walimwengu.
 
View attachment 2564072

Mara ya kwanza sikuamini, nilibisha sana, tena sana.... Yaaan guUrusii guwe na aircraft carrier moja tuu. Nilizani ni mazingaombwe ya mabeberu kumbe ni kiini macho cha mrussi. Ndugu zangu tazama hiyo hapo juu the only aircraft carrier of Russia. Embu angalia inavyo fuka moshi, na iko peke yake tuu hakia rusia ka bongo tu
We unajua inatumia fuel ya type gani, inatumia Marine Heavy Fuel Oil, kufuka moshi mweusi haina maana meli au engine ni mbovu??

Dharau tu, siku hizi nani anahitaji floating coffin ambazo zinaweza kushambuliwa kirahisi na hypersonic missiles za Urisi na zikazamishwa kirahisi na kusababisha wanamaji na maafisa zaidi ya 2,500, ndege za kivita na helicopter zaidi ya arobaini vyote kuzama - nani?

Kwa taarifa yako Warusi si wajinga kwa kutounda airctaft carrier waliangalia advantage na disadvantage between air craft carrier na submarine, lightening fast torpedos, coast anti ship missiles na submarine drones zilizo sheheni 200 MT za thermonuclear bomb, hakuna US carrier group yoyote inayo weza kusurvive a Russian 200 MT underwater explosion, hakuna - bomb hilo sio kwamba linaweza kuzamisha aircraft carrier group tu, bali vile vile lona uwezo wa ku-generate a massive TSUNAMI tidal wave yenye urefu wa zaidi ya mita 500 kwenda juu, hakuna kitu kinacho weza kusalimika na ikilipukia karibu na pwani baai hilo linaweza kisababisha miji yote karibu na pwani kuharibika structually na watu wengi kufa maji/kuzama.

Tukiwambieni kwamba Urusi si taifa la kuchezea hamtusikii/mnatupuzia.
 
Ufaransa mapinduzi? Sijui. Nchi zote za Ulaya zinapambana na changamoto ya kuzeeka kwa jamii, yaani idadi ya wazee inaongezeka. Mifumo ya tiba ni nzuri hivyo watu hufikia umri mkubwa, ilhali kila mzee ana haki ya malipo. Karibu nchi zote zimeshaongeza umri wa kustaafu... Inawezekana serikali ya Ufaransa itabadilishwa, ila hii si jambo geni katika mfumo wao.
Sikusema Urusi iko kwenye "blink of revolution". Ila naona uwezekano kama vita itaendelea vibaya.
Mfumo wa Putin haina nafasi ya kuandamana na kupinga. Ukimya au mlipuko. Ufaransa wanaweza kuchemka kidogo hadi joto litakapopungua.
Unadhani watu mamilioni waliopo barabarani wote ajenda yao ni Pensheni?
Regime change itatokea West kabla ya Russia.
 
kuzalisha TSUNAMI tidal wave yenye urefu wa zaidi ya mita 500 kwenda juu, hakuna kitu kinaweza kusalimika
Sasaa io collateral ya vifo vya watu wengine wasio na hatia umeijumlisha kwenye hesabu zako. Labda embu elezeaa kwa ufasaa zaidi ni jinsi gani kanuni ya kirusi haijali uhai wa watu wasio na hatia, au utuambie hilo bom atapiga bahari ipi na asilete madhara kwa watu wengine
 
Aise we kweli utakua shoga yaani unadiriki kuutetea na kuulinganisha na dhambi zingine
Bora nisikie kuwa mwanangu ni mwizi kuliko nisikie kuwa mwanangu ni shoga
Acha kufuru ww kafir!
Mimi nimenukuu maneno ya Allah! Kwa hiyo qauli yako nchi nyingine unageuzwa qibla
 
Hiki ki Zelensky kijinga sana.
Hivi bado kina matuamaini ya kushinda kweli kwa silaha za kuombaomba?

Ndegevita zitasaidia Nini Sasa kwa nchi kama Urusi?

Hao NATO wenyewe wanaogopa ma S400,S500,S550.

Kama wa baba wazima NATO waliogopa kuweka no fly zone,wataweza kweli kupeleka ndegevita?

Nahisi Ukraine wanaongozwa na Rais mjinga.
Kanasema hivyo Kwa kuwa anajua wanataka Ukraine ishinde Siyo Ukraine Bali ni nchi za west, na anajua wanajeshi wake wengi wamekufa na waopigana sasa hivi ni mamluki toka ulaya hana uchungu nao
 
A year ago, three family members of Olena Sukhenko were kidnapped by Russian forces in Kyiv Oblast. They were later found shot dead, with their hands tied behind their backs and signs of torture on their bodies. Read more in our story about the family.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298]️The Council of EU removed Ukraine from the blacklist of countries that undermine the fight against corruption.

The Council of Europe's Group of States against Corruption welcomed progress in preventing corruption against members of parliament, judges and prosecutors in Ukraine.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom