Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

The Czech initiative "Gift for Putin" collected 30 million crowns (over 1.2 mln Euro) to purchase a RM-70 multiple rocket launcher for Ukraine. The transfer is planned in the coming weeks.

[emoji1086][emoji177][emoji1255]

#StandWithUkraine

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Since February 24, 2022, the UN Human Rights Monitoring Mission in Ukraine has documented 621 cases of enforced disappearance and unlawful detention of civilians by the russian armed forces.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hakuna asiyetaka Marekani kuwa na nguvu. Ndiyo maana Urusi aliondoa silaha za Nuclear huko Cuba.
Marekani lipewa nafasi ya kusaidia dunia katika Currency kwamba dunia itumie $ kama currency ya kuuziana kwenye international business.
Lakini cha kushangaza USA na washirika wake wameifanya dollar kuwa silaha. Sasa unataka huyu aendelee kujitanua na kunyanyasa watu?
1. Vietnam aliua watu wengi
2. Yugoslavia
3. Iraq
4. Afghanistan
5. Libya
6. Syria
7. Somalia

Sasa mwenzetu unataka USA asiweze kufugika?
Hizo nchi zoote Marekani Alienda KUTETEA UHAI Ambao madkiteta sugu walikuwa wanauchezea!
 
On March 24, 2022, the Armed Forces of Ukraine launched a missile strike on russia’s base in the sea port of temporarily occupied Berdiansk and dispelled the myth about the invulnerability of the russian naval fleet.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Huyu Dogo angekuwa Rais wa Russia mpaka Sasa hii vita ingeshaisha na kungekuwa hakuna nchi inayoitwa Ukraine

View attachment 2563733

🇷🇺🇺🇦🇺🇸🇪🇺Medvedev: "If it is necessary to go to Kiev, then we will go to Kiev,if it is necessary to go to Lviv, then we'll have to go to Lviv,in order to exterminate this contagion."
Sure nakumbuka enzi zake Mikheil Saakashvili alijichanganya ndani ya siku 3 Georgia ilikuwa imekalishwa. Nakumbuka kama siku ya 5 waziri mkuu Vladimir Putin alionekana juu ya APC moja ndani ya Georgia ameenda kutembelea vikosi vya Urusi
 
IMG_20230324_174259_780.jpg
 
Zelensky analalamika kwamba imekuwa vigumu sana kuwa na meeting na Rais Xi Jinping

Anasema kwamba wanajitaidi ku organise meeting lakini China inawapiga mateke ya mbavu...

Huyu Zelensky atulie tu, watu malengo yao ya SMO bado hayajakamilika yeye analilia Negotiation.
Screenshot_20230324-175632_Telegram.jpg
 
ww kichwani humo kuna maharage![emoji56]
Hivi mbuzi wanao firana vingungutj wamefundishwa na west???
Usituletee mahaba humu![emoji35][emoji12]
Usifanye dhambi ya ushoga ni kubwa kuliko dhambi nyimgine!
Allah dhambi pekee Asiyo Samehe hii hapa!
[emoji116][emoji116]
إِنَّ اللَّهَ لَا يَغْفِرُ أَن يُشْرَكَ بِهِ وَيَغْفِرُ مَا دُونَ ذَٰلِكَ لِمَن يَشَاءُ ۚ وَمَن يُشْرِكْ بِاللَّهِ فَقَدْ ضَلَّ ضَلَالًا بَعِيدًا

[ AN-NISAAI - 116 ]
Hakika Mwenyezi Mungu hasamehi kushirikishwa na kitu. Lakini Yeye husamehe yasiyo kuwa hayo kwa amtakaye. Na anaye mshirikisha Mwenyezi Mungu basi huyo amepotea upotovu wa mbali.
Aise we kweli utakua shoga yaani unadiriki kuutetea na kuulinganisha na dhambi zingine
Bora nisikie kuwa mwanangu ni mwizi kuliko nisikie kuwa mwanangu ni shoga
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji106]
Ukraine’s Deadly Mistakes Condemning Country To Death — Ex-Pentagon Advisor

Former Pentagon adviser Colonel Douglas McGregor stated that the Ukrainian Armed Forces are facing a critical situation and won’t be able to hold out much longer because Kiev is making too many mistakes.

"Everyone continues to adhere to the version that Kiev is doing everything right and will eventually win… It's all nonsense," he said.

President Joe Biden should now be thinking about how to get out of the Ukrainian crisis, McGregor stressed, adding that he is “well aware” the conflict is not developing in the best way for the West but does not want to tell the truth.

McGregor claimed that the only way for the US to end the conflict was to offer Russia the chance to start negotiations without preconditions.

Subscribe to RT
Hii waione Pro USA /NATO wote wa humu JF.
Huyu ni General wa jeshi kubwa na lililo well informed in the world.
Lkn utakuta kijitu kimekazana TU ukriane anashindwa.
Labda wanashinda njaa.
Vipo vichambuzi mbuzi uchwara humu vinadhani vinajua kuliko huyo Gen mshauri wa masuala ya usalama wa USA mstaafu.
 
Nakubaliana na wewe lakini Republican wanaona si sawa mtu kuwa shoga ila shoga akiuawa na wao hulaani mauaji ya huyo shoga. Ila kama haki fulani fulani zinatamkwa kisheria basi hakuna budi kutekelezwa hata kama aliyeko madarakani ni Republican.
Mkuu hata nchini Tanzania ni jinai kumwua mtu yeyote, kama ni shoga au si shoga . . .
 
Aisee,huyo Macron Si achane na Huo mpango wa kuongeza Umri wa kustaafu kutoka 62 to 64 years!
Tatizo ni kwamba serikali inakuwa haina hela ya kuwalipa hao wastaafu.

Pia tambua kwamba, kwa wenzetu life expectance ipo juu sana. Unaweza kuta ni hadi 80+.

Sasa hapo kuna miaka kama 18+ ya serikali ya kumlipa huyo mtu.

Kwa hiyo wanapiga actuarial calculations na kuona wakianza kustaafu na 64, serikali itapunguza mzigo.
 
Aisee,huyo Macron Si achane na Huo mpango wa kuongeza Umri wa kustaafu kutoka 62 to 64 years!
Ingekuwa rahisi wangeshabadilisha 😆😆😆😆😆, ukweli uchumi umeyumba,
Wameongeza miaka miwili kama kamari wakitabiri Vita itakuwa imeisha na maisha kurudi kama zamani, maana hapo kuna maelfu ya wafanyakazi wanatakiwa kustahafu na wanatakiwa kulipwa stahiki zao wakati uchumi hauruhusu
 
Tatizo ni kwamba serikali inakuwa haina hela ya kuwalipa hao wastaafu.

Pia tambua kwamba, kwa wenzetu life expectance ipo juu sana. Unaweza kuta ni hadi 80+.

Sasa hapo kuna miaka kama 18+ ya serikali ya kumlipa huyo mtu.

Kwa hiyo wanapiga actuarial calculations na kuona wakianza kustaafu na 64, serikali itapunguza mzigo.
Hata ukiongeza hiyo miaka miwili,unatoa guarantee gani kuwa baada ya miaka kadhaa hutarudi kutaka kuongeza Tena?
Hiyo miaka miwili ndio muarobaini?
Hali imekuwa mbaya baada ya macron kutaka kupitisha hizo reforms bila idhini ya bunge!
 
Back
Top Bottom