kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Itakuwa hio $56 au zaidi maana sio kwa kulalamika kiasi hicho. Yani wameumia kama wametiwa banzi la kende. 😀😀😀Kuna blog zimasema no $56M zingine $32M wewe $16M sasa sijui bei halisi ni ipi? Ila kivyvyote tunarudisha gharama za ukarabati was bomba
Achana na huyo shoga asikupotezee mdaKainchi kadogo hizo Himars zinatoka Ukraine? 🤣 Tumia akili hata kidogo.
Kitendo cha NATO kumjaza silaha Ukraine ni kushiriki moja kwa moja kupigana na urusi.
Hata wewe ukigombana na ndugu yako namimi nikaja kumpa silaha za kukuumiza zaidi huwezi kusema ati unapigana na ndugu yako pekeako bali utakuwa unapigana na sisi wote.
Shoga kweli kweli mkosa akili hata punje. 🤣Achana na huyo shoga asikupotezee mda
Alafu hao wanakuwa na hasira sana kama askari kutoka drpo wakatinwa uchaguzi TZ😂Kwa taarifa hao wapya au ingizo jipya litakumuisha makundi kama wagner na chenchen brother na wengine ambao tayar wanauziefu wa kijeshi na vita pia
Kwa tz unachukua kk security wale au suma jkt unawaingiza jeshin
Naumia sana nchi iliyo vitani kupata mapato mengi kuliko Tanzania huruUkraine's trade turnover amounted to $16.6 billion in January-February 2023, or 30% less than in the same period of 2022.[emoji298]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ngoja tu consult google kibusu Bei kama hawaja editItakuwa hio $56 au zaidi maana sio kwa kulalamika kiasi hicho. Yani wameumia kama wametiwa banzi la kende. 😀😀😀
Bila kusahau pia anatoa msaada wa chakula kwa bahadhi ya nchi za kiafrika!!Naumia sana nchi iliyo vitani kupata mapato mengi kuliko Tanzania huru
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hii nayo point Babu kubwa👍Wakati tukisubiri wajuzi waje kutuhabarisha, mtazamo wangu ni kuwa yale mafuta hayakuwa sababu ya kuanguka. Bali mafuta yalitumika kuwarahisishia kujua wapi ilidondokea.
Kuanguka kulitokana na ndege ya Russia kugusisha bawa lake kwenye banga boi za hiyo drone na kupelekea kukatika
Vyombo vya angani vinavyotumia jet fuel vyote vina option ya ku dump fuel hii iliwekwa makusudi in case of malfunctioning chombo kiweze kupunguza uzito na kutua kikiwa chepesi au kupunguza uwezekano wa mlipuko mkubwa wa chombo in case of emergency au crash landing, tukirud kwenye drone kumwagiwa mafuta kuna theory tatu za msingi ambazo zinaweza kuwa sababuNa nyongeza ya swali hapa, mafuta wamespray vipi?
Kwani ipo hiyo option ya kumwaga mafuta wakati chombo kiko angani?
Au inakuaje yani, angalau wadau mtueleweshe tupate mwanga juu ya hili tukio.
Maana Rusia naona wanatufanyia mengi yasioyozoeleka kuonekana (Unexpected things).
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Ulitegemea we lkama Mani kweli vichaa in wengi watu wana mipango yao wewe kujifanya mchambuziAsante kwa jibu zuri ambalo ni tofauti na mengi yanayopelekwa hapa.
Kwa sehemu ya maelezo yako, nigeomba utaje moja kwa moja vyanzo unavyorejelea.
1. Kuhusu vyanzo vya magharibi - ndio ilhali Urusi haitangazi chochote kinachofanana na hali halisi tunatumia yale yaliyopo. Ukraine imefaulu hadi sasa kuficha pia askari na vifaa vilivyopotea. Si ajabu, hii tunaona pande zote mbili.
Isipokuwa media za kimataifa (za nchi za NATO pamoja na nchi za kusini) zinaleta data na makadirio.
Idadi zote si za kuamini bali za kutafakari. Angalau media nyingi za nchi za NATO zinasimama zaidi upande wa Ukraine, hata hivyo -tofauti na Urusi- ni media huru hivyo tunaona makadirio tofauti ya vifo upande wa Ukraine - nimeona hadi lakhi ingawa serikali ya Ukraine inajitahidi kuficha.
2. Kuhusu idadi tofauti zinazotajwa. japa naomba utaje taarifa ya IISS unayojerelea pamoja na link yake. Sioni ajabu kwamba wanatafuta vifaru bora vya magharibi. Hakuna uhakika kama watapata idadi ya kutosha. Lakini vifaru vyao vilivyopo ni vya zamani na kwa jumla Warusi walileta vifaru bora zaidi ( ambavyo walitumia vibaya na hivyo kupoteza vingi). Wote wanaodai eti Warusi hawakupotea vifaru vingi - basi waeleze kwa nini siku hizi taarifa zinaongezeka kuhusu T-62 zinazopelekwa uwanjani (kifaru cha kale kabisa kinachotolewa sasa kutoka akiba).
3. Kuhusu makombora tutaona. Dalili za uhaba zipo; mashambulio hutokea kila baada ya wiki kadhaa , tena tunaona mchanganyiko wa aina nyingi, chache za kisasa na nyingine za zamani.
4. Yale unayoona sijaona mimi. Taarifa kuhusu kupotea kwa vifaa vilitolewa mfululizo. Oryx hawakusimamisha kazi yao. Sijaona kwamba "Urusi wanareport kuchukua kijiji after kijiji after mji after jiji". Tangu kuchukua mji wa Soledar ni miezi mingapi? Vuhledar tulipata video nyingi jinsi vifaru vyao vililipuka kibao. Sasa wanajaribu kukamata Bakhmut; nilitegemea wangemaliza tayari miezi iliyopita lakini bado hawawezi kusogea mbele ila mita chache hapo na pale. Ukiona ni mafanikio - basi.
"Mama mkanye mwanao" styleLengo bi Mkubwa amtulize mwanae