Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wajerumani wameshtukia njama za Ukraine kuhusu Bomba la gesi [emoji1][emoji1]

Germany’s defence minister, Boris Pistorius, has warned against reaching premature conclusions on who was responsible for blowing up the Nord Stream pipelines, suggesting the attack could also have been a “false flag” operation to blame Ukraine.
 
Baada ya kuona prigozhn ameshindikana .....EU .( Wajinga sana) [emoji16][emoji16]wakaamua kumuweka sanction mama yake ...... Napo ameshinda rufaa

The mother of Wagner’s Prigozhin has won an appeal against European Union sanctions imposed on her last year for her alleged support of the mercenary group, which is now fighting in Ukraine.

Via Al Jazeera
 
Huo mji kila mtu ametabiri utadondoka ila hadi leo bado.

Ukraine inapeleka reinforcements
Hamna lolote wanacho fanya wao ni kujichimbia kwenye miles and miles za underground reinforced concrete bunkers za enzi za kisoviet pamoja na silaha zao - jeshi la Urusi linajua vizuri sana ramani yoye ya underground reinforced concrete bunkers network - ndio maana Putin amewapa muda ku-surrender kabla hawajawa smoked out na kutokomezwa wote kwa kutumia mabom ya concrete busters wakafa wote. Hata hivyo wengi wanakuwa wakahidi kwa kuogopa kutambulika kwamba wengi wao ni wanajeshi wa NATO including UK&USA baadhi yao niliwasikia wakizungumza a very refined English wakiwaongoza/wapa amri wanajeshi wa Ukraine na wengine ni nini cha kufanya - kiukweli vita hii ni baina ya Urusi na NATO/USA, Ukraine inatumiwa kama chambo tu.
 
Ulishawahi kuangalia aljazeela au chombo chochote kikubwa Cha habari??.., habari ileile inarudiwa kuripotiwa zaidi ya mara 10 ndani ya siku Moja tu..,na siku inayofuata habari hiyohiyo inarudiwa Tena kuripotiwa,..,kama hauwezi kupata access ya hivyo vyombo vikubwa vya habari,basi nunua hata kiredio Cha shilling elf kumi na Tano (15000) Ili ufuatilie matangazo ya mashirika makubwa ya habari kama DW.., BBC Swahili..., RFI kiswahili.., na vinginevyo vingi Ili uone vinavyofanya kazi..,Nina uhakika utakuja Tena hapa kunishukuru [emoji106][emoji106]
Hiyo inamaanisha latest zako ni chache na kwa vile ni lazima uwe unatuma muda wote unalazimika kurudiarudia
 
Baada ya kuona prigozhn ameshindikana .....EU .( Wajinga sana) [emoji16][emoji16]wakaamua kumuweka sanction mama yake ...... Napo ameshinda rufaa

The mother of Wagner’s Prigozhin has won an appeal against European Union sanctions imposed on her last year for her alleged support of the mercenary group, which is now fighting in Ukraine.

Via Al Jazeera

Kwa akili za kawaida tu, sanction kwa mama yake Prigozhin zilikuwa na mantiki gani kama sio kuonyesha kwamba NATO wameanza kuchanganyikiwa baada ya mipango yao kuhusu Ukraine kugonga mwamba/Putin, yetu macho.
 
Lengo bi Mkubwa amtulize mwanae
Katika historia ya vita Duniani sijawahi kisikia mama walio wazaa majemedari wanao ongoza vita wakisakwamwa na kutishwa tishwa - hayo tunayasikia kutoka kwa comedian Zelensky, Biden na EU baada ya kuguduwa kwamba kumbe Putin na Wagner Group CEO kawazidi kete mabeberu - mabeberu hawalali, masaa yote wanafikiria hujuma tu na vita ambavyo hawana uwezo wa kushinda jeshila Urusi - come rain or shine.
 
Wewe unayejua ndo ulete taarifa kamili na ushahidi. Vinginevyo ni kahawa tu.
Kuna uzi huko kaweka mrusi mwenzako jinsi mnavyo vunwa kama mahindi.
Wewe unayejua ndo ulete taarifa kamili na ushahidi. Vinginevyo ni kahawa tu.
Usipanick kwa kipigo we jamaa.

Haya soma uzi wa pro russia mwenzio akikiri kipigo mlichopata pamoja na video kaambatanisha. Ukishasoma urudi tujadili.
Thread 'Vita ya vifaru kule Vulhedar/Bakhmut ishara ya ushujaa wa Urusi' Vita ya vifaru kule Vulhedar/Bakhmut ishara ya ushujaa wa Urusi
 
Sawa nitakuwa napost hata zaidi ya mara kumi, ukiona unakerwa kajinyonge..,sawa eeh?[emoji6][emoji6]
Naanzaje kukerwa na ww

Ww ni mmoja kati ya marafik zangu ambao hatujawah kuonana na kila uchwao lazima nisome comment zako

Hii kuwa timu tofaut inatokana na nyinyi jamaa zetu kuamua kuchagua wali kuku wa kizungu na kudharau Dona na mchemsho wa kuku kienyej lkn pindi siku mtajua umuhim wa chaguo letu na ndio maana tunajaribu kuwavumilia
 
Back
Top Bottom